Kuna kubwa la kujifunza hapa. Pumzika kwa Amani Aziza (Janet) Frisby

[emoji843]Kuelekea siku yetu wanyama nawaletea mzigo huu, logo lamps zina effects na zinabadilika rangi 7 ukitaka unabonyeza ibaki rangi moja tu
[emoji843]Bei 18,000 tu inatumia ysb au battery za kawaida
 
Muovu anapo uwawa na waovu wenzake,ibilisi kamwe hawezi kukutea kwenye anga zake, suppose angekuwa anampenda Mungu, yuko nyumbani katulia, sumu angewekewa saa ngapi!? Kifupi huko aliko anatamani angepata DK 1 , atubu.. Mshahara wa dhambi ni mauti.
Wanaoshinda nyumbani hawawekewi sumu?.
 
true!! ,ata mimi ilishanitokea lakini nika2mia akili ya kazi,kama nivowai kusema pamoja na sikosi pesa ya kula beer,lakini huwa napenda sana kuingi kwenye ubanda kupata mnazi kidogo,,kwa nini? kwa sababu ya ladha yake,na pia kujichanganya na masela kwani wengi wao ni vibaka,so unapokuwa nao ukiwanunua fegi na pombe wanakukubali na huwezi kuibiwa kwani jini likujualo halikuli ukakwisha!!!...sasa bhana kuna mzee mmoja jirani yangu yeye kumbe ananichukia kwani naskia alikuwa akisema haiwezkani huyu jamaa anapaki gari hapa alafu anakunywa mnazi na ela bia anayo,huyu jamaa lazma atakuwa anatuchuza mambo ye2 na kutuchoma,anyway,,,yule babu siku akaacha kukaa na wazee wenzake na kuja kujichanganya na masela,,,sasa simu ikaita nikaenda kuongelea mbali kidogo kwa pale ubandani kulikuwa na kele ya mziki wa bendi ya less wanyika na wimbo wao wa sina makosa,,,kumbe huku nyuma yule mzee kuna msela akamwona anaweka kitu kwenye kikombe changu,,basi wakati narudi yule mzee nae akasimama na kwenda choo,nikashangaa yule msela akachukua kikombe cha yule mzee na kuweka kwangu,na changu akamwekea yule babu,nikaamuliza,mwana vipi??? ananiambia yule kuna kitu kakuwekea sasa kunywa yake nae anywe yako alaf utauona mziki wake,,,,,,kweli yule mzee alipokuja akanywa pome ile yote na akahamia kwa madingi wenzake,,,baada ya nusu saa,nikaona walevi wanapiga kelele kwenda pale nikaona yuule babu kalala chini mapovu yakimtoka!!!!!...da!!! akapewa maziwa mengi tu na akaanza kutapika!!!baada ya hapo akapelekwa dispensary akawekewa drip za maji kesho yake akatoka!!,,,,,,sasa kila nikikutana nae anaona aibu!!!
 
Kuna majitu ni majinga sana!
 
Sasa ww chawa mbona unashikilia bango kwamba sumu ndio Imemuua bila ushahidi wkt huo unampinga mwenzako anayesema sio sumu?

Huyo ameshakufa hana haki tena
 
Mimi hata nikienda kwenye kikao nikifungua maji nikirudi siyanywi tena unaweza kuta ametegeshewa bomu mtu mwingine likakupata wewe maana kina kajamba nani hakuna anayetufuatilia
Chuki haichagui kajamba nani au mdosi... walimwengu wakikudhamiria hawakushindwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…