Kuna kubwa la kujifunza hapa. Pumzika kwa Amani Aziza (Janet) Frisby

Mkuu uko sahihi Sana, na kwa sababu watu wanafikiri wamejiumba wenyewe, hata kama Mungu atumuoni ila tutambue tupo kwenye mamlaka kamili ambayo inatupasa kufuata sheria, ukiwa muovu hapa duniani ni swala la muda, utaenda unapopachagua.
ukiwa mwema hapa duniani ni suala la muda utaenda wapi pa tofaut na mwovu alipo enda
 
Wote humu msijali, hamna wa kuwawekea sumu, Asa ndugu yangu wewe ...... nani akuwekee sumu nakati ushakata moto, hata sheta hana mpango na wewe.
 
KWenye kazi wakiwa nchi za watu wanatabia za kichawa na kujipendekeza kwa bosi, wakiwa nchini kwao wanatabia za kubaguana ki makabila. Ukiwajua hawakusumbui kabisa ku deal nao
Una exposure kubwa sana Masta kiraka 👍🏾👊🏾🙌🏾
 
Wivu wa aina hio ni level ya uchawi kabisa. Mchawi yupo radhi ufe tu sababu unakula wali nyama kila siku.
 
Sisi wenye shule ya forensic medicine huyo kilicho muua ni death by aspiration in sleep hakuna cha sumu wala Nini alizidisha kiwango cha pombe
Mkuu what if postmortem report imedeclare ni toxic substances
 
Kama ni sumu basi ni sumu ya kijasusi japo kwa aina ya watu aliokuwa nao sidhani kama wangeweza kuipata. Kwa mazingira hayo haiwezi kuwa sumu maana kwa sumu ya kawaida asingeweza kufanya mambo yake club na akarudi nyumbani mzima, jambo lingemtokea kulekule club. Tuache kuzusha na kupotosha mambo.
 
Uzi uishie hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…