Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

Ukitaka kuidharau USA jiulize kwanza kwa nini Chura Kiziwi alikwenda kuzindua Royal Tour USA na sio Dubai , Moscow, Beijing ama Teheran ?
Usiifananishe Beijing na mambo ya kipumbavu.
Dunia ya sasa China ni taifa lenye nguvu duniani kuliko USA.
Nenda kamsikilize Ursula Von derleyen mwenyekiti wa EU.
 
We Dada inaonekana hata Baba yako hajawahi kujenga nyumba ya kuishi, hizi akili inaonesha umekulia nyumba za kupanga
 
Condom za bure ni msaada wa USAID, MIKOPO YA WB NA IMF AMBAYO SAMIA NA MWIGULU WANAIGOMBANIA NI PESA YA USA.
 
Ni kawaida asiyejua kumuita anayejua mjinga.
Pole yako.
Nchi yako yenyewe inaishi kwa misaada na mikopo ya haohao USA.

Halafu anatokea kapuku mmoja wa Kijijini huko kolomije anasema USA haina faida yeyote.
 
Nchi yako yenyewe inaishi kwa misaada na mikopo ya haohao USA.

Halafu anatokea kapuku mmoja wa Kijijini huko kolomije anasema USA haina faida yeyote.
Misaada gani vital ambayo USA anaipatia Tanzania!?
Tanzania inakopa USA au WB/IMF!?
Unaweza ukaniletea hata mradi mmoja wa maana ambao ni crucial ambao USA imeisaidia Tanzania kuinuka kiuchumi na kujitegemea mfano kama reli ya TAZARA na viwanda vya URAFIKI!?
Pia kama isingekua nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania kulazimishwa SAP strategies unadhani Tanzania ingekua hapa ilipo!?
 
Kama huna akili huna tu,
 
Wewe uliwahi kupewa hilo sharti?
 
Mtafute mwanafunzi wa kidato cha nne akufundishe
Stupid unadhani mimi ndiyo wewe mlio soma kuwa mlima kilimanjaro kagundua mzungu ....najua ulivyo na akili mbovu unaweza kusema marekani kipindi hicho nso walikuwa siyo huru 😁😁😁😁😁 wewe kweli chizika
 
Mkuu kama hujui jambo ni bora ufiche ujinga wako usiaibike.
 
Hata mababu zetu walikuwa na akili kama zako walipewa vioo wakatoa dhababu wakidhani wamesahidiwa ....wewe ujiulizi kwanini marekani na ufaransa wanawewe seka kuona urussi inataka kuchukua nafasi zao africa ...ukiwa hauna akili.uwezi kujua hujuma wanazo fanya wazungu ....waafrica hatujawai kupewa msahada wowote na wazungu kama unayo akili utajua ninacho kuambia ...wazungu wanakupa sh 100 kisha wanakushurutisha kisheria na kukwapua sh10000 ...madini yaliyopo tz peke yake yanazalisha mabilioni ya dola ila watakuambia uongo kuhusu madini ...toka jpm afariki na samia kushika nchi umesha sikia madini yoyote yskipatikana yenye dhamani kubwa labda jiwe kubwa la tanzanite au almas?
 
Stupid unadhani mimi ndiyo wewe mlio soma kuwa mlima kilimanjaro kagundua mzungu ....najua ulivyo na akili mbovu unaweza kusema marekani kipindi hicho nso walikuwa siyo huru 😁😁😁😁😁 wewe kweli chizika

Aliyekuambia mlima Kilimanjaro kagundua mzungu Nani? Au ndîo Elimu umekariri

Ukisoma ELEWA.
 
Shida hapa ni kutojitambua. Matatizo yako unaona yanasababishwa na mtu mwingine. Hii shida itatuchukua muda mrefu hadi hapo tutakapotambua kwamba sisi ndio wenye shida, na wala si watu wengine. Unalima shamba bila kufuata utaratibu wa kilimo bora, unavuna kidogo, halafu unasema jirani yako kakuroga.
 
Jifunze somo la kilimwengu ..wewe hata dini yako ujui kitu maana ungekuwa na akili.hata yakujua na kuzielewa hizo dini mnazo shabikia kama maanithi wa akili usinge thubutu kuongea upumbavu mkuu kiasi hiki...
Somo ...ASILIMIA 90 YA MATATIZO YA DUNIA NI YA KUSABABISHIWA NA WANADAMU...AKILI ZAKO WEWE NI ZA KIPUMBAVU KAMA YULE MJALAANA ALIYE SEMA WATU WANAJITEKA NA KUJIUA WAKISINGIZIA CCM ...maana ile kauli.inasema sawa sawa na wewe kuwa wanajitengenezea matatizo ya kujiteka.
 
Aliyekuambia mlima Kilimanjaro kagundua mzungu Nani? Au ndîo Elimu umekariri

Ukisoma ELEWA.
Soma nilicho andika vizuri wewe zuzu wa ccm ...serikali pumbavu ya ccm ndiyo inayo sema kuwa mzungu ndiyo kagundua ..tena siyo serikali tu na wasomi wenu feki wa UDSM ndiyo wanao sema hivyo.
 
Kiduku alishamwambia yeye linashuka New York pale pale
 
Kwanza kwa aina ya lugha unayotumia wewe si mstaarabu. Hapa tunajadili mambo, hakuna haja ya kutoleana lugha mbaya. Hakuna mwenye jibu sahihi. Sasa kama sijui kitu na wewe unajua kila kitu kwa nini unahangaika na mtu asyejua? Kama wewe una akili sana kwa nini uhangaike na mimi nisiye na akili? Najizuia sana kutumia lugha chafu kama ya kwako.
 
Naona umeshusha points tupu. Hongera sana kwa akili yote hii uliyotumia hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…