Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

Ukitaka kuidharau USA jiulize kwanza kwa nini Chura Kiziwi alikwenda kuzindua Royal Tour USA na sio Dubai , Moscow, Beijing ama Teheran ?
Usiifananishe Beijing na mambo ya kipumbavu.
Dunia ya sasa China ni taifa lenye nguvu duniani kuliko USA.
Nenda kamsikilize Ursula Von derleyen mwenyekiti wa EU.
 
USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
We Dada inaonekana hata Baba yako hajawahi kujenga nyumba ya kuishi, hizi akili inaonesha umekulia nyumba za kupanga
 
USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Condom za bure ni msaada wa USAID, MIKOPO YA WB NA IMF AMBAYO SAMIA NA MWIGULU WANAIGOMBANIA NI PESA YA USA.
 
Ni kawaida asiyejua kumuita anayejua mjinga.
Pole yako.
Nchi yako yenyewe inaishi kwa misaada na mikopo ya haohao USA.

Halafu anatokea kapuku mmoja wa Kijijini huko kolomije anasema USA haina faida yeyote.
 
Misaada gani vital ambayo USA anaipatia Tanzania!?
Tanzania inakopa USA au WB/IMF!?
Unaweza ukaniletea hata mradi mmoja wa maana ambao ni crucial ambao USA imeisaidia Tanzania kuinuka kiuchumi na kujitegemea mfano kama reli ya TAZARA na viwanda vya URAFIKI!?
Pia kama isingekua nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania kulazimishwa SAP strategies unadhani Tanzania ingekua hapa ilipo!?
 
USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Kama huna akili huna tu,
 
World bank ni tatizo kwa africa ndiyo wanakuambia tunakukopesha pesa za mradi ila shariti mwanaume kuolewa na mwanaume mwenzie ...unajua kwanini world bank alipo msusia jpm kumpa fedha za miradi ila yeye aliweza kufanya hiyo miradi walipo gundua kuwa anaweza kufanya bila fedha zao walikuja mbio kwake na kutaka kumfadhiri ...kumbuka walipo kuja kwenye sgr nk unajua kwanini waliogopa jpm kufanikisha miradi pasipo wao kutoa pesa.
Wewe uliwahi kupewa hilo sharti?
 
Mtafute mwanafunzi wa kidato cha nne akufundishe
Stupid unadhani mimi ndiyo wewe mlio soma kuwa mlima kilimanjaro kagundua mzungu ....najua ulivyo na akili mbovu unaweza kusema marekani kipindi hicho nso walikuwa siyo huru 😁😁😁😁😁 wewe kweli chizika
 
USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Mkuu kama hujui jambo ni bora ufiche ujinga wako usiaibike.
 
Ila shida yako ni kukataa kwamba ni taifa linalozidi taifa lako kwa mambo mengi, siyo? Kuna takwimu za Marekani kuisaidia Tanzania, lakini sina takwimu za Tanzania kuisaidia Marekani. Labda kwenye post inayofuata kila mtu aje na hizo takwimu. Labda tuanzie hapo.
Hata mababu zetu walikuwa na akili kama zako walipewa vioo wakatoa dhababu wakidhani wamesahidiwa ....wewe ujiulizi kwanini marekani na ufaransa wanawewe seka kuona urussi inataka kuchukua nafasi zao africa ...ukiwa hauna akili.uwezi kujua hujuma wanazo fanya wazungu ....waafrica hatujawai kupewa msahada wowote na wazungu kama unayo akili utajua ninacho kuambia ...wazungu wanakupa sh 100 kisha wanakushurutisha kisheria na kukwapua sh10000 ...madini yaliyopo tz peke yake yanazalisha mabilioni ya dola ila watakuambia uongo kuhusu madini ...toka jpm afariki na samia kushika nchi umesha sikia madini yoyote yskipatikana yenye dhamani kubwa labda jiwe kubwa la tanzanite au almas?
 
Stupid unadhani mimi ndiyo wewe mlio soma kuwa mlima kilimanjaro kagundua mzungu ....najua ulivyo na akili mbovu unaweza kusema marekani kipindi hicho nso walikuwa siyo huru 😁😁😁😁😁 wewe kweli chizika

Aliyekuambia mlima Kilimanjaro kagundua mzungu Nani? Au ndîo Elimu umekariri

Ukisoma ELEWA.
 
Hata mababu zetu walikuwa na akili kama zako walipewa vioo wakatoa dhababu wakidhani wamesahidiwa ....wewe ujiulizi kwanini marekani na ufaransa wanawewe seka kuona urussi inataka kuchukua nafasi zao africa ...ukiwa hauna akili.uwezi kujua hujuma wanazo fanya wazungu ....waafrica hatujawai kupewa msahada wowote na wazungu kama unayo akili utajua ninacho kuambia ...wazungu wanakupa sh 100 kisha wanakushurutisha kisheria na kukwapua sh10000 ...madini yaliyopo tz peke yake yanazalisha mabilioni ya dola ila watakuambia uongo kuhusu madini ...toka jpm afariki na samia kushika nchi umesha sikia madini yoyote yskipatikana yenye dhamani kubwa labda jiwe kubwa la tanzanite au almas?
Shida hapa ni kutojitambua. Matatizo yako unaona yanasababishwa na mtu mwingine. Hii shida itatuchukua muda mrefu hadi hapo tutakapotambua kwamba sisi ndio wenye shida, na wala si watu wengine. Unalima shamba bila kufuata utaratibu wa kilimo bora, unavuna kidogo, halafu unasema jirani yako kakuroga.
 
Jifunze somo la kilimwengu ..wewe hata dini yako ujui kitu maana ungekuwa na akili.hata yakujua na kuzielewa hizo dini mnazo shabikia kama maanithi wa akili usinge thubutu kuongea upumbavu mkuu kiasi hiki...
Somo ...ASILIMIA 90 YA MATATIZO YA DUNIA NI YA KUSABABISHIWA NA WANADAMU...AKILI ZAKO WEWE NI ZA KIPUMBAVU KAMA YULE MJALAANA ALIYE SEMA WATU WANAJITEKA NA KUJIUA WAKISINGIZIA CCM ...maana ile kauli.inasema sawa sawa na wewe kuwa wanajitengenezea matatizo ya kujiteka.
 
Aliyekuambia mlima Kilimanjaro kagundua mzungu Nani? Au ndîo Elimu umekariri

Ukisoma ELEWA.
Soma nilicho andika vizuri wewe zuzu wa ccm ...serikali pumbavu ya ccm ndiyo inayo sema kuwa mzungu ndiyo kagundua ..tena siyo serikali tu na wasomi wenu feki wa UDSM ndiyo wanao sema hivyo.
 
Sio kwamba wanaichukulia poa ila ni kwamba zama zimebadilika. Vita ikianza si kwamba atapiga hizo nchi kwenye ardhi yake tu kama ambavyo alizoea kufanya huko nyuma bali ni kwamba hata yeye atapigika kwenye ardhi yake pia na hilo asingependa litokee.
Vita zake zote alizopigana alikuwa vita ni kwenye ardhi ya anayepigana naye kwake hakuna kabisa ila sasa kwa mambo jinsi yalivyo hata yeye kwake kutapata impact hata kama akishinda na ndio maana anachukia sana kusikia wenzake wana test mabomu yanayoweza kuruka hadi kumfikia.
Kiduku alishamwambia yeye linashuka New York pale pale
 
Jifunze somo la kilimwengu ..wewe hata dini yako ujui kitu maana ungekuwa na akili.hata yakujua na kuzielewa hizo dini mnazo shabikia kama maanithi wa akili usinge smthubutu kuongea upumbavu mkuu kiasi hiki...
Somo ASILIMIA 90 YA MATATIZO YA DUNIA NI YAKUSABABISHIWA NA WANADAMU...AKILI ZAKO WEWE NI ZAKIPUMBAVU KAMA YULE MJALAANA ALIYE SEMA WATU WANAJITEKA NA KUJIUA WAKISINGIZIA CCM ...maana ile kauli.inasema sawa sawa na wewe kuwa wanajitengenezea matatizo ya kujiteka.
Kwanza kwa aina ya lugha unayotumia wewe si mstaarabu. Hapa tunajadili mambo, hakuna haja ya kutoleana lugha mbaya. Hakuna mwenye jibu sahihi. Sasa kama sijui kitu na wewe unajua kila kitu kwa nini unahangaika na mtu asyejua? Kama wewe una akili sana kwa nini uhangaike na mimi nisiye na akili? Najizuia sana kutumia lugha chafu kama ya kwako.
 
Jifunze somo la kilimwengu ..wewe hata dini yako ujui kitu maana ungekuwa na akili.hata yakujua na kuzielewa hizo dini mnazo shabikia kama maanithi wa akili usinge thubutu kuongea upumbavu mkuu kiasi hiki...
Somo ...ASILIMIA 90 YA MATATIZO YA DUNIA NI YA KUSABABISHIWA NA WANADAMU...AKILI ZAKO WEWE NI ZA KIPUMBAVU KAMA YULE MJALAANA ALIYE SEMA WATU WANAJITEKA NA KUJIUA WAKISINGIZIA CCM ...maana ile kauli.inasema sawa sawa na wewe kuwa wanajitengenezea matatizo ya kujiteka.
Naona umeshusha points tupu. Hongera sana kwa akili yote hii uliyotumia hapa!
 
Back
Top Bottom