Usiifananishe Beijing na mambo ya kipumbavu.Ukitaka kuidharau USA jiulize kwanza kwa nini Chura Kiziwi alikwenda kuzindua Royal Tour USA na sio Dubai , Moscow, Beijing ama Teheran ?
Dunia ya sasa China ni taifa lenye nguvu duniani kuliko USA.
Nenda kamsikilize Ursula Von derleyen mwenyekiti wa EU.