Kuna kundi limechukizwa na maridhiano yanayoendelea

Inaonyesha wazi huna akili timamu, wewe ni nani uite waTanzania wengine ni taka taka, ninyi ni wale mliiba pesa za nchi hii kwa kukwepa Kodi au ufisadi maofisini, kiasi mkajiona mko kwenye haki, na mlipo banwa mkajiaminisha tena kua mnaonewa, majuzi makubwa nyie Kuna siku siyo tu kufilisiwa, mtakuja kunyongwa
 
Mashtaka dhidi ya mbowe yalifunguliwa mwaka upi na chininya uongozi wa nani? Wajinga ni nyinyi mnaoona hii nchi kila kitu kinawastahili na msikosolewe mnaanza ita watu sukuma gang.
 
Takataka ni kitu ambacho kipo sehemu isiyo stahili
 
Mataga CCM ikitawala milele si ndio furaha kwako?!
Inavyoonekana kuna wengi sana waliokuwa upinzani kwa sababu ya kuona wenzao wakiteswa, kuuawa, kufilisiwa, kuvunjiwa heshima.

Leo mapatano yamesababisha hao hao waumie na kuona chadema imekosea
 

Huyu mzee aliwanyoosha yaani keshakufa zaid ya miaka miwili sasa ila mnapambana na kivuli chake,sisi nyie wote mliofanya maridhiano ni DHAIFU sana kwetu,tunawasubili mjilambishe Asali zenu alafu tuje tuwaonyooshe vizuri..... sisi sio Mafala .
 
Sukuma gang, Sasa tone la maji kwenye ndoo, au piliton, kujimwambafai kumeisha Sasa.
 
Inavyoonekana kuna wengi sana waliokuwa upinzani kwa sababu ya kuona wenzao wakiteswa, kuuawa, kufilisiwa, kuvunjiwa heshima.

Leo mapatano yamesababisha hao hao waumie na kuona chadema imekosea
Hao ni wale waliokuwa wamejificha kwenye kivuli cha ccm yenye ouvu mwingi chini ya Jiwe.

Kundi hili lilikuwa linanufaika na hali ya machafuko
 
Hata akisoma huu uharo wako hupati uteuzi ng'o
 
Hii nchi Kuna wajinga wengi sana.
Ni mwizi na fisadi TU ndie atakaesema kuwa upngozi wa Samia ni mzuri
Toka tunapata uhuru hakuna uongozi mzuri, ila kuna uongozi afadhari. Na uongozi mzuri hauwezi kuja gafla. Kwanza inabidi kutengeneza katiba nzuri na system nzuri ya utawala. Kwa katiba hii tulionayo hata aje nani ataonekana ni kiongozi mbaya tu Samia ni mzuri ila ana matatizo kidogo sana la kutochukua hatua kwa wabadhirifu na mafisadi. BADO NAMWANGALIA ATACHUKUA HATUA GANI KWA WATOROSHAJI WA FEDHA ZA UMMA NA KWENDA KUFICHA CHINA
 
Hilo unalotegemea alifenyi ni ndoto ya abunuasi
 
Hao ni wale waliokuwa wamejificha kwenye kivuli cha ccm yenye ouvu mwingi chini ya Jiwe.

Kundi hili lilikuwa linanufaika na hali ya machafuko
Mi nimefurahi chadema kuachana na uanaharakati na kuwa wanasiasa.

Ukienda Israel kule lazima vyama vishirikiane kutawala.

Ukienda Marekani kuna wakati vyama hukubaliana kwa mstakabali wa nchi
 
Subirini 2025 machadema yaoneshwe show
 
Mimi labda niulize wanaridhiana kitu gani? Kuridhiana ni compromise kati ya pande mbili kwa maana ya huyu anapata hiki na yule anapata kile ili kifikia common ground. Mbona makubaliano ya walichoridhiana hayawekwi hadharani? Kila upande una-gain nini katika hili? Je ni kwa manufaa ya wanachi au wanasiasa waroho wa madaraka na mali? Maana tukisema ni maridhiano ya vyama vya siasa sasa mbona ni chadema peke yake? Zamu ya vyama vingine vya upinzani kuridhiana ni lini? Mwisho nimalizie kwa kusema wanadamu wakipanga na Mungu nae hupanga. Mnaungana kuhakikisha mnaendelea kuwanyonya na kuwaibia watanzania halafu mnapongezana na kuita maridhiano. Tutaona mwisho wenu, muda si mrefu ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…