Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

Wana JF ningependa tulikunjue hili jamvi pamoja ase!

Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?
ndio yapo madhara ya kutokua na mahusiano, mfano ya kimapenzi kwa muda mrefu🐒

mathalani,
kupoteza umakini, kusahausahau mambo, kua mbishi na hasira za haraka, kua mbea na mropokaji, kupenda picha na video ngono, kuzoea punyeto na usagaji, rahisi kupata zinaa n.k kwa uchache tu.....

kutokua na mahusiano ya kibiashara na wenzako pia kuna madhara yake, kaa chonjo 🐒
 
Back
Top Bottom