Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

Nina miaka 30 sijawai kuwa kwenye mahusiano tokea nazaliwa Hadi Sasa na nimetomba mademu 150+ mpaka Sasa....kwaiyo kama issue ni kutokuwa kwenye mahusiano basi hamna madhara
 
Hakuna madhara yeyote yale kikubwa piga tizi na kuwa busy na kazi hata faida hata utulivu wa akili utaupata.
 
Ukiwa bila mahusiano kunatunza sana kibunda na uchumi unakua kwa kasi sana , sasa jichanganye uone utakavyo filisika
 
faida ni nyingi hakuna hasara wala

Hakuna stress
pesa yako inatulia

hakuna dhambi na magonjwa

unakuwa na nguvu na kujiamini sana kama hupigi nyeto.

unakuwa na akili na inafanya kazi sana tofauti na wenye mahusiano yaan unaweza kufokas
 
Faida

Utapata ututivu Wa mwili nafsi na roho.

Hasara

Kama utaamua kununua Malaya utaambulia mikosi na kuua nguvu yako ya Asili.

Ushauri

Positive relationship ni muhimu.

Toxic relationship sio muhimu.

Ukiwa na mwanamke hakikisha sio omba omba. Na sio masikini.
Fact malaya wana mikosi
 
Mnawezaje kuwa single!!🤷🤷🤷
Matumizi mabaya ya rasilimali watu.
Unawazungumziaje Mapadre Maaskofu, masista na watu wa namna hiyo? labda na hata wao huwa wanapigia Chabo wanakwaya humo Kanisani...
 
Back
Top Bottom