Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

Nyege mzaee unakuwa na kisirani na gubu muda wote.
Lakini pia kuanzisha au ku keep up na mahusiano mapya inakuwa changamoto sanaaa sababu umeshazoea kuwa huru muda wote, no drama, no stress za babe hajapokea simu kifupi unakuwa hujazoea/ushasahau zile hekaheka za mahusiano.
 
Nyege tu hakuna kingine...mi namiaka mitatu saiv
 
Hakuna madhara yeyote mkuu we chill tu masta hakuna madhara yeyote kiafya mzee
 
Me naona madhara yake ni chanya kabisa.

1. Bajeti ya pesa inakua inaeleweka na inaenda kwenye mipango ya maendeleo binafsi na mishe zinaenda.

2. Stress binti wa watu mara yuko wap, anaongea na nan anacheat, ananiwaza, anaumwa, kapata ajali n.k zote zinakua hamna unachojali ni mamb yako binafsi na familia yako.

3. Kupiga piga masimu yasiyo na lazima (binafsi mimi hua sipendi) yaani ukiwa kwenye mahusiano hayo masim hayakwepeki, usipopiga humjari tuu. Ukipiga hmna stori ya kuongea, mtaongea nin na mmetoka kuongea lisaa limepita.

4. Mizinga isiyo na kichwa wala miguu. Badala ya dem akushauri mtumie hela kufany vitu vya maana yeye ni hela ya kutumia mamb yake tuu, tena mamb yenyewe sio hata ya kudum (kwa kigezo eti yeye kaumbwa kuhudumiwa) mbona kwa baba yake hamwambii hivyo.

5. Magonjwa. Siku hizi kila mtu sio mwaminifu. Ukiwa kwenye mahusiano unakua kwenye mnyororo wa mahusiano ya watu zaidi ya 6. Dem anamabwana 5 na mchizi ana madem 5. Magonjwa ni nje nje.

6. Ingekua ukiwa kwenye mahusiano ni moja ya kupata mtu ambae anakushauri maisha basi ingekua rahisi ila hawa madada zetu mmmh.
 
Back
Top Bottom