Ni form four au two?The law of use and disuse sijui ushawahi isoma hii form two??
HahahahahaMnawezaje kuwa single!!π€·π€·π€·
Matumizi mabaya ya rasilimali watu.
Hello mr singulaπ€£Hahahahaha
Ni kama form two hivi??Ni form four au two?
Kwani mapadre wana uhusiano? Mbona wanaishi vizuri, acha kuendekeza ujingaWana JF ningependa tulikunjue hili jamvi pamoja ase!
Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?
Mimi nakumbuka kama ni form four. Ni zamani sana jamaniNi kama form two hivi??
HahahahahahaHello mr singulaπ€£
Hujajibu maswali yote mawili.Mahusiano kwa maana ya relationship.
Muda mrefu ipe tafsiri binafsi.
KATAA NDOA OKOA UCHUMIndio yapo madhara ya kutokua na mahusiano, mfano ya kimapenzi kwa muda mrefuπ
mathalani,
kupoteza umakini, kusahausahau mambo, kua mbishi na hasira za haraka, kua mbea na mropokaji, kupenda picha na video ngono, kuzoea punyeto na usagaji, rahisi kupata zinaa n.k kwa uchache tu.....
kutokua na mahusiano ya kibiashara na wenzako pia kuna madhara yake, kaa chonjo π
Haaaah miaka mingapi imepita?Mimi nakumbuka kama ni form four. Ni zamani sana jamani
Kwamba niniUsije ukapata kutu mkuuπ
kataa ndoa family mbona ni maskini kichizi, uchumi gani wanaokoa bana πKATAA NDOA OKOA UCHUMI
kataa ndoa family mbona ni maskini kichizi, si ndio maana wanaogopa kuoa,KATAA NDOA OKOA UCHUMI
Mkuyenge wake hautumiki so usije ukapata kutuKwamba nini
Ni msemo tuu kama ya kwenye daladalakataa ndoa family mbona ni maskini kichizi, uchumi gani wanaokoa bana π
π π π π π πKATAA NDOA OKOA UCHUMI
Kama 16 hiviHaaaah miaka mingapi imepita?
utakua tayari umedevelope tabia flani hivi ya kipekee na ya kushangaza sana tofauti na binadamu wengine πKama 16 hivi