Me naona madhara yake ni chanya kabisa.
1. Bajeti ya pesa inakua inaeleweka na inaenda kwenye mipango ya maendeleo binafsi na mishe zinaenda.
2. Stress binti wa watu mara yuko wap, anaongea na nan anacheat, ananiwaza, anaumwa, kapata ajali n.k zote zinakua hamna unachojali ni mamb yako binafsi na familia yako.
3. Kupiga piga masimu yasiyo na lazima (binafsi mimi hua sipendi) yaani ukiwa kwenye mahusiano hayo masim hayakwepeki, usipopiga humjari tuu. Ukipiga hmna stori ya kuongea, mtaongea nin na mmetoka kuongea lisaa limepita.
4. Mizinga isiyo na kichwa wala miguu. Badala ya dem akushauri mtumie hela kufany vitu vya maana yeye ni hela ya kutumia mamb yake tuu, tena mamb yenyewe sio hata ya kudum (kwa kigezo eti yeye kaumbwa kuhudumiwa) mbona kwa baba yake hamwambii hivyo.
5. Magonjwa. Siku hizi kila mtu sio mwaminifu. Ukiwa kwenye mahusiano unakua kwenye mnyororo wa mahusiano ya watu zaidi ya 6. Dem anamabwana 5 na mchizi ana madem 5. Magonjwa ni nje nje.
6. Ingekua ukiwa kwenye mahusiano ni moja ya kupata mtu ambae anakushauri maisha basi ingekua rahisi ila hawa madada zetu mmmh.