Ndio maana sijasema hakuna jua. Nimesema hatulioni. Yani kwa lugha nyingine namaanisha "Mawingu yametanda muda wote", hivyo yaniHamlioni tu ila lipo ndio maana hali ya hewa imebalance...lasivyo mngeshakufa kwa kuganda na sisi barafu tusingeona chochote apo zaidi ya snow, ht picha usingeweza piga
Alright, Moshi pasafiNdio maana sijasema hakuna jua. Nimesema hatulioni. Yani kwa lugha nyingine namaanisha "Mawingu yametanda muda wote", hivyo yani
Mfano rahisi mawingu yasipotanda anga linakuwa clear na jua unaliona. Panakuwa kama hivi
View attachment 3653229
Halafu mkoa wa Tanga sijawahi kufika. Inabidi siku nipange safari nikazurure Tanga. Nikapaone huko Lushoto. Nasikia kuna baridiUnapajua lushoto , na huyo mwenyeji wanakuambia ukiona kuna jua kali mpaka linachoma , ujue kunakuja mvua ...Nilienda kuzika Magamba huko , mvua siku tano nzima na watu wanapiga mishe zao kama kawaida.
Ila hakusema kwamba halipo...Hamlioni tu ila lipo ndio maana hali ya hewa imebalance...lasivyo mngeshakufa kwa kuganda na barafu na sie tusingeona chochote apo zaidi ya snow, ht picha usingeweza piga sheikh
Kule nako mmh, nilitetemeka baridi wananiambia hapa ndiyo joto wenzako tunaona.Unapajua lushoto , na huyo mwenyeji wanakuambia ukiona kuna jua kali mpaka linachoma , ujue kunakuja mvua ...Nilienda kuzika Magamba huko , mvua siku tano nzima na watu wanapiga mishe zao kama kawaida.
Mbeya kipindi cha mvua na chenyewe kunakuwa na siku nyingi za bila jua. Moshi leo ni siku ya 4 hatulioni jua. Ni mawingu yametanda tu muda wote hata kama hakuna mvua. Wenyeji wananiambia sometimes inaweza kufika wiki 2-3 pako hivi
Uzuri wa hali kama hii ni kwamba unaweza kutoka nje hata mchana ukatembea kwa amani bila kuunguzwa na jua. Pia siku nzima inakuwa na kaubaridi kazuri na hali ya utulivu.
Though hasara zake ni kwamba nguo zinachelewa kukauka na mazingira yanaonekana yamepauka as if yana rangi ya kijivu hivi. Hali kama hii nimeona wengi wanaotokea UK wakieleza kuwa ni common sana nchini kwao
Sehemu gani Tanzania umewahi kukaa ambako msimu wa mvua ukifika unaweza kukaa wiki 3 bila kuliona jua?
📷 Moshi in the last 4 days
.......................
View attachment 3653213
View attachment 3653214View attachment 3653215View attachment 3653216View attachment 3653217View attachment 3653218View attachment 3653219View attachment 3653220
Giza ? Yaani ukungu wa baridi unamaanisha au giza tu bila baridi!Kuna sehemu Moro kunaitwa kiloka maembe kwa juu, aisee saa tisa mchana kuna giza kbs km saa 12jioni.
Kuna baridi ila barabara yake ni hatari , kuanzia Mombo .Juzi hata kumetokea ajali .Halafu mkoa wa Tanga sijawahi kufika. Inabidi siku nipange safari nikazurure Tanga. Nikapaone huko Lushoto. Nasikia kuna baridi