Tanganian JF-Expert Member Joined Jan 27, 2025 Posts 7,464 Reaction score 12,564 Aug 19, 2026 #21 Mtili wandu said: Kule nako mmh, nilitetemeka baridi wananiambia hapa ndiyo joto wenzako tunaona. Click to expand... Kumenishinda kabisa .
Mtili wandu said: Kule nako mmh, nilitetemeka baridi wananiambia hapa ndiyo joto wenzako tunaona. Click to expand... Kumenishinda kabisa .
Xmonster JF-Expert Member Joined Apr 22, 2020 Posts 1,784 Reaction score 2,457 Aug 19, 2026 #22 Traxtion said: Halafu mkoa wa Tanga sijawahi kufika. Inabidi siku nipange safari nikazurure Tanga. Nikapaone huko Lushoto. Nasikia kuna baridi Click to expand... Karibu na Tanga mjini pia
Traxtion said: Halafu mkoa wa Tanga sijawahi kufika. Inabidi siku nipange safari nikazurure Tanga. Nikapaone huko Lushoto. Nasikia kuna baridi Click to expand... Karibu na Tanga mjini pia