Kuna malaya wengi sana kanda ya ziwa, mnaokuja huku chukueni tahadhari

Kaka nakuomba

Nenda Tarime vijijini,kuna sehemu waniita nyamongo au nyamwaga watu wanajiuza kama hawana akili nzuri
 
Ongea na boda kuna chocho hauzijui ww kuna malaya hapo Mimi nimekaa siku moja na nilikula vizuri.

Hakuna sehemu isiyo na malaya Tanzania
 

Hahahaha sawa legend
 
Kuna kisiwa kinaitwa Kalangala kipo upande wa Uganda, kule sex inauzwa kama bia. Mwanamke mzuri nje ya chumba chake kuna benchi wateja wanasubiri akitoka mtu aingie mwingine.

Kuna kijiji kinaitwa Bwendero, mabango ya ukimwi na kutumia kinga yamewekwa makubwa. Na kondomu zimesambazwa mpaka nyumba ya mjumbe watu wapunguze maambukizi
 
Kwa hapo nkome na kakubiro ni wengi saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…