Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Jf ata ukiwa na stress zako kikubwa una hema tu humu uta jiona we hauna stress kabsa
 
Binafsi sijaona tofauti ya uandishi wa hizo msg ulizopost hapo, wanawake wanajulikana vyema miandiko Yao hasa wakivurugwa ndio kabisaa wanavuruga na uandishi mazima.
 
Kwanza huyu manz anaonekana yupo distorted psychologically baada yakufiwa namumewe anahs hatokuja kupata mwenz wa kumkubali yeye na mwanaye na wakaish kwa upendo hapo kifupi kazi unayo
 
Uyo mwanamke wako akili zake na uandishi wake Ni MAMAJ mtupu[emoji3]
 
Hivi wakuu Hii dhana ya kumtumia mwanamke ndo ikoje wakuu, wapiganiaji wa haki za wanaume, hamlioni hili?[emoji848]
 
Mchango murua kabisa huu[emoji3578]
 
Dr. Unakubaliana mtoto wa miaka Saba kujikojolea?mtoto kuacha kukojoa kitandani wengi kuanzia miaka 3 wenye akili shape ni 2.8....huyo dada analea vibaya mtoto uongo ni dhambi,
Nna watoto 5, ila hamna Mtoto hata mmoja alievuka 4 yrs anajikojolea kitandani.
 
Ila uandishi wa demu wako umefanana na mama J wa DeepPond wao wanajilipua tu liwalo na liwe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Afu wanatabia flani hivi wanajifanya wanasusa ubembeleze, wakiona umekaza, wanakuja na plan b kujishusha ili Mambo yarudi sawa.
 
Miaka saba kujikojolea alafu achkewe tu ni upuuzii...!! jamaa kaamua kujitwika gunia la mibaaaa acha anyooke si anataka umbo zurii na shapee haya sasa alipe 300k kodi[emoji3][emoji3][emoji3]asimfokeee junior ataliaa sana na kupata dpression

[emoji23][emoji23][emoji23]ety depression
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…