Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Hata ukiniheshimu, huniongezei chochote.Nmekudharau ghafla
Ukinidharau, hunipunguzii chochote.
Tuliza muwasho wa mqundu wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ukiniheshimu, huniongezei chochote.Nmekudharau ghafla
Binafsi sijaona tofauti ya uandishi wa hizo msg ulizopost hapo, wanawake wanajulikana vyema miandiko Yao hasa wakivurugwa ndio kabisaa wanavuruga na uandishi mazima.Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi.
Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama ambavyo nliandika uzi jana. Sisemi single mothers wote wapo hivi ila huyu wangu ni kilaza. Nlimuamini sababu ana degree alimaliza CBE na ni dada mzuri wa sura , umbo na rangi. Nlidhani pia kwa kufiwa na kuwa na mtoto angekuwa matured. Bado ana upumbavu mwingi kichwani.
View attachment 2866044View attachment 2866046View attachment 2866048View attachment 2866049
Kwanza huyu manz anaonekana yupo distorted psychologically baada yakufiwa namumewe anahs hatokuja kupata mwenz wa kumkubali yeye na mwanaye na wakaish kwa upendo hapo kifupi kazi unayoNi jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi.
Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama ambavyo nliandika uzi jana. Sisemi single mothers wote wapo hivi ila huyu wangu ni kilaza. Nlimuamini sababu ana degree alimaliza CBE na ni dada mzuri wa sura , umbo na rangi. Nlidhani pia kwa kufiwa na kuwa na mtoto angekuwa matured. Bado ana upumbavu mwingi kichwani.
View attachment 2866044View attachment 2866046View attachment 2866048View attachment 2866049
Kama mamaJ vile[emoji1787]Ila baadhi ya majibu yake yanachekesha![emoji1787][emoji1787]
Mchango murua kabisa huu[emoji3578]Dr Restart mi natofautiana na wewe.
1. Mtoto wa miaka 7 kujikojolea sio sahihi, unless ana tatizo la kiafya. Mimi nilimchapa wakwangu akiwa na 5 ama 6 kama siokosei....na aliacha immediately maana katabia kenyewe kaliibuka out of nowhere. Watoto wana tendency yakujaribu watu kwakufanya makosa kwa makusudi pale wanapoamini they'll get away with it. Kuna mtoto wa dada yangu (12 yrs old), huwa anakojoa kitandani, tena sometimes asubuhi kushakucha. Nimeshasafiri nae mara mbili, biti analopigwa kuhusu kujikojolea ugenini huwa lina matokeo chanya, which proves nyumbani huwa anafanya makusudi maana anaeishia kugombezwa ni dada wa kazi na sio yeye.
2. Kama nimeelewa sahihi Tuta Absoluta Kantangaze alikua na malengo na mpenzi wake, so jambo la kuruhusu/taka mtoto awe sehemu ya muda wao pamoja halina ubaya wowote. Ilikua vizuri ili watengeneze bond, lakini pia imemsaidia kujua huyo dada ni mama wa aina gani. Angekuja kugundua miaka miwili/mitatu baadae wameshaongeza wakwao ingekua mbaya zaidi.
3. Jamaa haonyeshi kutokumpenda mtoto, nnachoona ni kwamba analazimishwa kumkubali na tabia zake hata ambazo sio nzuri pamoja na aina ya malezi anayopewa. Kitu ambacho sio sahihi. If we are being honest, huyo mwanamke anaweza kuona kama anamsaidia mwanae kwakumuendekeza (sio kumpenda) ila anamuharibu.
All in all, the guy is right. Kupitia maongezi yao inaonekana kabisa he's done his best, ila single mother hana shukrani wala hataki hata ku-acknowledge juhudi za jamaa. Amuache akachoshane na mtu mwingine mbele ya safari.
Nna watoto 5, ila hamna Mtoto hata mmoja alievuka 4 yrs anajikojolea kitandani.Dr. Unakubaliana mtoto wa miaka Saba kujikojolea?mtoto kuacha kukojoa kitandani wengi kuanzia miaka 3 wenye akili shape ni 2.8....huyo dada analea vibaya mtoto uongo ni dhambi,
Afu wanatabia flani hivi wanajifanya wanasusa ubembeleze, wakiona umekaza, wanakuja na plan b kujishusha ili Mambo yarudi sawa.Ila uandishi wa demu wako umefanana na mama J wa DeepPond wao wanajilipua tu liwalo na liwe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kumpenda Mtoto Sio kuendekeza tabia za kijinga, Mtoto lazima anyooshwe, at Kama sio mlezi Bali hata ulimwengu utamnyooshaHapo we ndo mwenye matatizo ukiamua kuoa mama na mtoto wapende wote.
Umtaki mtoto.
Sasa akakae vipi kwa bibi yake hali mama yake yupo
anaamini kabisa kwamba mtoto wa miaka 7 atasikia milio ya paa paa,halafu asijue kinachoendelea[emoji38][emoji38][emoji38]
Wee jamaa akili zako bhana[emoji4]Wee dr hawa watu tulishatoaga ushauri kuwa hamnaga mechi inaanza 1-0 sasa kama wao wanajiona ni wajanja wacha waendelee na ujinga wao
Kasema ukweli kabisa,mi mwnyw naunga mkono hoja,[emoji4]Unataka kugombanisha watu[emoji28][emoji28]
Miaka saba kujikojolea alafu achkewe tu ni upuuzii...!! jamaa kaamua kujitwika gunia la mibaaaa acha anyooke si anataka umbo zurii na shapee haya sasa alipe 300k kodi[emoji3][emoji3][emoji3]asimfokeee junior ataliaa sana na kupata dpression
Mi nishakubaliana na ule msalaba wangu[emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema nataka kumuudhi baba J anavyompenda kipenzi chake
booo, baada ya kusoma hizo mixer za l na r nikakumbuka ana degree hio degree ni ya kuvukia barabara? mtoto wa miaka saba analala na mama yake vipi wanakulana?
Elimu zetu kina dada wanabebwa bebwa sanaHuo mwandiko wake unaonesha huyo Singo maza Kama Ana degree ni ya Chupi.