We jamaa husomi kwa ufahamu. Na pengine hujaelewa kitu kwenye bandiko la huyu mdau.Hapo we ndo mwenye matatizo ukiamua kuoa mama na mtoto wapende wote.
Umtaki mtoto.
Sasa akakae vipi kwa bibi yake hali mama yake yupo
Kuna mtu alisema hivyo hivyo 😁Kama mamaJ vile[emoji1787]
Sema huyo dada hafai kwa huyu Mtanzania bora kwa malezi ya kizazi kijacho.Nyie muachane ikiwa bado mapema sana maana kila mmoja hamfai mwenzake.
Mfano mama J wako.Wanawake was hivi tunakutanaga nao Sana tu sema tunajiaminishaga watabadilika
Hi kulea mtoto kwa social media ndio madhara yake. Kuna familia nilienda eti mtoto amelia tu kidogo nikasikia maza ake anasema dogo apewe simu aangalie katuni funny na video za kuchekesha huko youtb ili anyamaze .Nikasema DAAH! Mungu atusaidie sana. 50 to 100 yrs to come sijui kutakuwa jamii gani.Hahah eti kama ni hivyo nipangie nyumba ya vyumba viwili na jiko ya laki 3 niajiri dada wa kazi ili nikiwa nakuja kwako niwe namuacha na dada...nimegundua huyo analea mtoto kama yai na bibi yake mtoto hapendi ujinga ndo maaana hataki akae nae..yani analea bomu..
Huyu mwanamke ni pasua kichwa..yani kama utamrudia kisa sijui mzuri...walai utakufa kabla ya siku zako..
Mmmh kupelekewa pipe...??Wote mna changamoto.
Tukianza na wewe, hupaswi kumuadhibu mtoto kwa kujikojolea. Ukweli ni kuwa kukojoa kutakoma baada ya muda. Ungetafuta namna ya kumsaidia, ama aamshwe usiku akakojoe au kuweka vizuia unyevu kupenya kwenye godoro.
Lakini pia, kama unaona ungekuwa na ualakini katika malezi basi usingemruhusu kutoka awali aje na mwanae. Kama alikataa kumpeleka kwa mama yake basi nawe ungekataa kukaa naye.
Tukirudi kwake, hapaswi kukulazimisha umpende mwanae. Upendo huja automatically, haulazimishwi.
Lakini pia, ana akili za kimalaya. Kwamba, unapawa kumhudumia kwa sababu unamtumia. Sijui namna gani unamtumia, ila nadhani ni kulala naye. Kama unamfanyisha kazi basi anastahili mshahara.
Ngono si one side sided. Kila mmoja anawajibika kwa mwingine. Ninyi wote mnafurahia.
Lakini pia, amezidisha mapenzi kwa mwanaye. Mpaka analazimisha mambo ya hovyo. Kutotaka mtoto wa miaka 7 alale mwenyewe ni upuuzi. Mtoto hawezi kulala mwenyewe wala si traumatization. Ni malezi bora kabisa akajilalie mwenyewe.
Kulala na mtoto wa miaka saba ukiwa na mpenzi wako kitanda kimoja ni unyanyasaji. Mtoto wa 7 years ni mkubwa sana. Anaelewa vitu vingi. Kusikia mama yake analia huku anapelekewa pipe, ni unyanyasaji.
Cha msingi hamtawezana. Kila mtu afuate muelekeo wake.
Astakafillahbooo, baada ya kusoma hizo mixer za l na r nikakumbuka ana degree hio degree ni ya kuvukia barabara? mtoto wa miaka saba analala na mama yake vipi wanakulana?
Wee jamaa mchawi 😅😅😅😅😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅Ngoja kwanza , twende taratibu na ujibu hili swali Kabla ya kuamua kuishi nae huyo single maza ulijua sababu ya kifo cha mume wake?
Maana tunawaambia kila siku vijana siyo tuu muonyeshwe kaburi na cheti cha kifo mkaridhika ,hata kujua sababu ya kifo cha mume wake ni point ya msingi sana kuiweka maanani.
Sasa wewe ungemfanyaje mama yake? Dude lililokubuhu, likashindikana na mwanaume, wewe ungewezaje kumnyoosha?Mwishowe mitoto inakuja kuwa mishoga kwa kuendekeza upumbavu wa kuwalealea kizungu... Sijui kwanini nimejikuta natamani huyo mtoto aje aishi kwetu nadhani angenyooka wote na mama yake😬😬🤦
Miaka 50 mbalii..miaka 20 tuu ijayo..ni aibuHi kulea mtoto kwa social media ndio madhara yake. Kuna familia nilienda eti mtoto amelia tu kidogo nikasikia maza ake anasema dogo apewe simu aangalie katuni funny na video za kuchekesha huko youtb ili anyamaze .Nikasema DAAH! Mungu atusaidie sana. 50 to 100 yrs to come sijui kutakuwa jamii gani.
Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi.
Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama ambavyo nliandika uzi jana. Sisemi single mothers wote wapo hivi ila huyu wangu ni kilaza. Nlimuamini sababu ana degree alimaliza CBE na ni dada mzuri wa sura , umbo na rangi. Nlidhani pia kwa kufiwa na kuwa na mtoto angekuwa matured. Bado ana upumbavu mwingi kichwani.
View attachment 2866044View attachment 2866046View attachment 2866048View attachment 2866049
Sio Mimi, Namaanisha wazazi wangu wangewanyoosha kweli nakwambia😂😂.. Mzee wangu Mimi Hana lelemama,.. Nadhani angeanza na huyo dogo within a week kujikojolea ingekua historia, hata bila kuambiwa mda wakulala ukifika anaongoza mwenyewe chumbani kwake kulala pekeyake.. Halafu angefata mama yake Kuna lifestyle tu moja hivi ya kijeshi angepitishwa kiburi chote na kujitoa ufahamu angeacha..Sasa wewe ungemfanyaje mama yake? Dude lililokubuhu, likashindikana na mwanaume, wewe ungewezaje kumnyoosha?
Wote mna changamoto.
Tukianza na wewe, hupaswi kumuadhibu mtoto kwa kujikojolea. Ukweli ni kuwa kukojoa kutakoma baada ya muda. Ungetafuta namna ya kumsaidia, ama aamshwe usiku akakojoe au kuweka vizuia unyevu kupenya kwenye godoro.
Lakini pia, kama unaona ungekuwa na ualakini katika malezi basi usingemruhusu kutoka awali aje na mwanae. Kama alikataa kumpeleka kwa mama yake basi nawe ungekataa kukaa naye.
Tukirudi kwake, hapaswi kukulazimisha umpende mwanae. Upendo huja automatically, haulazimishwi.
Lakini pia, ana akili za kimalaya. Kwamba, unapawa kumhudumia kwa sababu unamtumia. Sijui namna gani unamtumia, ila nadhani ni kulala naye. Kama unamfanyisha kazi basi anastahili mshahara.
Ngono si one side sided. Kila mmoja anawajibika kwa mwingine. Ninyi wote mnafurahia.
Lakini pia, amezidisha mapenzi kwa mwanaye. Mpaka analazimisha mambo ya hovyo. Kutotaka mtoto wa miaka 7 alale mwenyewe ni upuuzi. Mtoto hawezi kulala mwenyewe wala si traumatization. Ni malezi bora kabisa akajilalie mwenyewe.
Kulala na mtoto wa miaka saba ukiwa na mpenzi wako kitanda kimoja ni unyanyasaji. Mtoto wa 7 years ni mkubwa sana. Anaelewa vitu vingi. Kusikia mama yake analia huku anapelekewa pipe, ni unyanyasaji.
Cha msingi hamtawezana. Kila mtu afuate muelekeo wake.
Kuna watoto wanapigwa na bado wanajikojolea.Sio Mimi, Namaanisha wazazi wangu wangewanyoosha kweli nakwambia😂😂.. Mzee wangu Mimi Hana lelemama,.. Nadhani angeanza na huyo dogo within a week kujikojolea ingekua historia, hata bila kuambiwa mda wakulala ukifika anaongoza mwenyewe chumbani kwake kulala pekeyake.. Halafu angefata mama yake Kuna lifestyle tu moja hivi ya kijeshi angepitishwa kiburi chote na kujitoa ufahamu angeacha..
Wapo watoto wagonjwa, hivyo tunapaswa nao kuwaadhibu kwa sababu wanajikojolea?Nakubali kote ila hapo kwene mtoto wa miaka saba kukojoa et ni sawa !! Bi no
labda n ukoo wenu
sisi miaka 4 nakumbuka nimeacha chekechea