Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kama anapika ugali na miaka hio mvushe darasa [emoji1787]Miaka 7 ni mwanangu wa pil huyo yuko darasa la 3 sasa. Anaamka saa 11 na Nusu asubuh kkla siku za shule. Anajiandaa na kumuandaa mdogo ake kwenda shule. Anajipikia ugali wake mwenyewe.
Huyu nafikir mi angeniona ni zaidi ya mnyanyasaji maana mtoto haend shule bila kufanya kaz zinazomuhus nyumbani.
Viboko pia vipo wakizingua.
Huyo single maza angenikimbia siku ya kwanza tuu maana huwa sivungi
πππHata mimi fellow single mother nakuunga mkono π―
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Umeeleweka dr. Haya bwana mie ngoja njtume maombi nije tudanganyane.
Kama uwezo upo tatizo liko wapi???πIla sometimes bn dada zetu hua wanaona hela za wanaume kama hazina kazi hv....hv Hamna nachonufaika kutoka kwako afu Kila mwezi nikulipie 300k? Bora ww 300k mi nlimkazia wa 150k aliniita majina yote lkn waaaaap
Aisee umetumia cheo chako kumlubuni dogo π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Subiri kwanza huyu mwanachuo anichoke basi.π
Nalitolea wapi wakati nimeenda mpaka mbekenyera kwa mganga huko nikuze kibamia changu hamna kituπππππDe libolo la mzabzab π mzabzab
Mm nafaidika nini Dr? Mi naishi kibepari popote na kivyovyoteKama uwezo upo tatizo liko wapi???π
Hawa wana wake wa kizazi hiki haishangazi wanauza O716 kila siku.Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi.
Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama ambavyo nliandika uzi jana. Sisemi single mothers wote wapo hivi ila huyu wangu ni kilaza. Nlimuamini sababu ana degree alimaliza CBE na ni dada mzuri wa sura , umbo na rangi. Nlidhani pia kwa kufiwa na kuwa na mtoto angekuwa matured. Bado ana upumbavu mwingi kichwani.
View attachment 2866044View attachment 2866046View attachment 2866048View attachment 2866049
mamaaaaaa....π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Subiri kwanza huyu mwanachuo anichoke basi.π
πππAisee umetumia cheo chako kumlubuni dogo π€£π€£π€£π€£
βMtoto amepoteza baba analala peke yake?[emoji23][emoji23]β
Kuna yatima wa miaka 5 huko duniani anakoroma kabisa anasema nini huyu[emoji23][emoji23]
I'm sure ukiwa kwenye mahusiano na mtu sahihi lazima kuna namna atakua anaongeza value kwenye maisha yako. Kama hamna anachoongeza basi hata mi nakubali kwamba haina maana!ππΎMm nafaidika nini Dr? Mi naishi kibepari popote na kivyovyote
Hahaha sasa hapo inakuwaje tena student teacher sexscapade?πππ
Dogo...??? Unaweza kuta ni mbabu anatafuta zake PhD.π€π€£
Alafu nna uhakika mimi ndo nimerubuniwa!π₯΄
Huyu sio 1st year bana! πππmamaaaaaa....
Akishagraduate atanifundisha mimi! Hata saa hii ananifundisha mdogo mdogo...πHahaha sasa hapo inakuwaje tena student teacher sexscapade?
Hawa watoto wa kiafrika ukiwachekea atakojoa hadi miaka 15.Wote mna changamoto.
Tukianza na wewe, hupaswi kumuadhibu mtoto kwa kujikojolea. Ukweli ni kuwa kukojoa kutakoma baada ya muda. Ungetafuta namna ya kumsaidia, ama aamshwe usiku akakojoe au kuweka vizuia unyevu kupenya kwenye godoro.
Lakini pia, kama unaona ungekuwa na ualakini katika malezi basi usingemruhusu kutoka awali aje na mwanae. Kama alikataa kumpeleka kwa mama yake basi nawe ungekataa kukaa naye.
Tukirudi kwake, hapaswi kukulazimisha umpende mwanae. Upendo huja automatically, haulazimishwi.
Lakini pia, ana akili za kimalaya. Kwamba, unapawa kumhudumia kwa sababu unamtumia. Sijui namna gani unamtumia, ila nadhani ni kulala naye. Kama unamfanyisha kazi basi anastahili mshahara.
Ngono si one side sided. Kila mmoja anawajibika kwa mwingine. Ninyi wote mnafurahia.
Lakini pia, amezidisha mapenzi kwa mwanaye. Mpaka analazimisha mambo ya hovyo. Kutotaka mtoto wa miaka 7 alale mwenyewe ni upuuzi. Mtoto hawezi kulala mwenyewe wala si traumatization. Ni malezi bora kabisa akajilalie mwenyewe.
Kulala na mtoto wa miaka saba ukiwa na mpenzi wako kitanda kimoja ni unyanyasaji. Mtoto wa 7 years ni mkubwa sana. Anaelewa vitu vingi. Kusikia mama yake analia huku anapelekewa pipe, ni unyanyasaji.
Cha msingi hamtawezana. Kila mtu afuate muelekeo wake.
Ahahah..nilikua na plan hiyo ila nikajagundua kuwa hawa watahitim darasa la 6Kama anapika ugali na miaka hio mvushe darasa [emoji1787]
Alafu hizi encounters za discussion zinakuwa tamuu balaaa....ndio zinapovumbilika style mupya kama popo kanyea mbingu π€£π€£π€£π€£Akishagraduate atanifundisha mimi! Hata saa hii ananifundisha mdogo mdogo...π
Utasikia kuna paper hapa nataka usome then we'll discuss it later!π