Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Njoooo
Eishhhhh! Hata mimi fellow single mother nakuunga mkono 💯
Achana nae huyo single mother wako maana utoto umemjaa sana.

Excuses zake zote ni za kipuuzi 100%. Ata/mtaleaje mtoto kwa style hiyo eti kisa baba yake kafariki..?🙄🙄
Njoo nikuoe
 
Njoooo
Eishhhhh! Hata mimi fellow single mother nakuunga mkono 💯
Achana nae huyo single mother wako maana utoto umemjaa sana.

Excuses zake zote ni za kipuuzi 100%. Ata/mtaleaje mtoto kwa style hiyo eti kisa baba yake kafariki..?🙄🙄
Njoo nikuoe
 
Umezungumza ukweli ambao wengi hawautaki honestly mtoto wa miaka 7 wnakojoa kitandani unless anatatizo
 
Mtoto wa miaka saba anajikojoleaje! Labda kama kukojoa kitandani. Na kwenyewe,mbona hata usipotumia fimbo kumchapa,ni rahisi?! Kuna kutomzoeza vinywaji mida ya jioni hadi anapoenda kulala, au kumuamsha usiku. Sasa kama amelelewa hivyo,haguswi,hasemwi, huyo ni mtoto hapo? Si yule wageni wakija anawauliza eti kwani mtaondoka saa ngapi?

Japo ni nje ya mada kidogo,lakini ni kiashikia cha malezi ya watoto. Kuna doctor mmoja Mwanza huko,alikuwa na watoto wawili tu. Wa kwanza wa kike akiwa F6, mdogo wake wa kiume akiwa na miaka 4. Siku moja,tulienda duka la nguo,tukiwa na baba yake. Mtoto,hakutaka kuingia ndani,basi nikaona tusimuache mwenyewe. Yeye,macho yake tu yapo kwenye ile midoli ya kike.
Nikavunga nimegeuka simuangalii. Mtoto acha aanze kuchezea nyeti za mdoli,huku akigeuka kuangalia kama hakuna anaemuona. Kwa vile alikuwa anashinda na kulala na wasichana wa kazi,ilionekana huenda wakivua anakuwepo na wanamgusisha kwenye nanili zao. Sasa,huyu unajiuliza,akiendelea mpaka miaka 7 hiyo,atakuwa kitu gani?

Mtoto ukimuendekeza,ukubwani utajuta. Siyo lazima akuogope,kumchapa kwa kosa alilofanya na kumkataza kitu,atazoea tu. Ila inaonekana hata mama yake huyo,hakuwa tayari kuzaa,ni bahati mbaya tu.
 
Huyo ke ni muuzaji aliekubuhu kabisa.
300k x 6 months=1.8m
Hizo sio akili za mwanamke anaekupenda na anaewaza kufanya maisha nawewe. Yupo kimaslahi zaidi.
Ke akishatanguliza maneno kama hayo ya we bahili sio wa kumzingatia tena.
Mdau atakuwa aliokota singomaza retired veteran malaya wa Dar es laam
NB: HUYU MDAU ATAKUWA HALOGEKI COZ PASIPO NA SHAKA HUYO KICHAA ANAMILIKI UCHAWI 🙏🙏🙏🙏🙏
 
Njia sahihi ( applicable for all) ni ipi???
Nilidhani wewe Doctor utakuwa na uelewa zaidi yetu sisi wengine. 🙄🙄

Wataalam watafafanua zaidi. Lakini sababu za kukojoa kitandani zipo nyingi inaweza ikawa makusudi kama huyo wako, tatizo la kisaikolojia, au ugonjwa.
Sasa bila kujua sababu si utapiga hadi uchoke?

Pia Inawezekana mtoto hakuwa trained vizuri tangu akiwa mdogo, tatizo ni lako mzazi kushindwa kumfundisha tangu mapema. Ungeanza kujicharaza mwenyewe viboko kabla hujamcharaza mtoto.
 
Kabla hujanitag kwenye comment yako mpe kwanza yule mwanao wa darasa la 3 aone kama umeandika point ndo unitag. Ukisema watoto wenye changamoto za kiafya inajulikana ni tatizo na huwezi kumchapa. Mimi nilivyokuwa O - level kuna mwenzetu alikuwa anakojoa hadi form IV. Na kulikuwa na ndugu zake wawili wa damu kwenye shule hiyohiyo ambao hawakuwa na hiyo changamoto ila yeye ilikuwa inajulikana kabisa ana matatizo.
 
Dah mkuu huyo mwanamke ni sikio la kufa😬, umemjibu majibu ya busara sana lakini bado anashikilia misimamo yake ileile kwa malezi ya mtoto wake huku akikuita unaroho mbaya na bado anakuongezea gharama ya kumpangia apartment
Kuna wanawake vichaa aisee
 
Nimependa ulivyo mlea mwanao,ila hapo kwenye kumuanda mdogo wake hapana jaman yy Bado mdogo pia Hilo jukumu lako.
 
Kweli Hawa wanawake wa kuanzia late 80s kuja mpaka early 2000s wanafikiri wanaume wapo kwajiri ya kuwa huduma bila acount ability yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…