Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo ake hawakupishana sana.so ni kumsaidia vitu vidogo vidogo maana he is 5yrs yeyeNimependa ulivyo mlea mwanao,ila hapo kwenye kumuanda mdogo wake hapana jaman yy Bado mdogo pia Hilo jukumu lako.
Wanawake hawanaga kabisa huruma na hela zetu,Ukilipa hiyo 300k wewe unafaidika na nini? Maana utelezi hautoshi kwa hiyo pesa
Mshahara wa mwalimu kabisa huo yeye anaona simple tu
Mwambie atafute zake akajipangie hiyo nyumba
hio ni gunia la ndulele hazifai hata kwa biashara ni hasara tuu.Navyozidi kusoma ndo naona jinsi hii kenge haifai maishani mwako
Tia block (broku) tafuta mtu mwingine
Huyu mwanamke usikute ukiweka anaguna kimahaba ila baadae linakuja kusema ulikua unalitumia
MweeeMbona anakomalia sana kuhusu mtoto kulala nae, ama wanakulana🤣🤣🤣🤣
Hata wanyama wanamkataaHuyu sijui ni Dr wa nini, labda wanyama
Kwa nn unajitetea tutawaita bodaboda sasa hiviBraza hakuna Mwalimu anayelipwa mshahara wa laki tatu. Scale za mishahara ya Watumishi wa umma nazifahamu. Acheni kuwachafua
Inatesa nakumbuka Usiku nilikua nakifunga na kamba za viatu nikiamka kimashika ganzi kama niniTobaaaa 😲😲😲🙆🙆🙆🙆🙆
Ilikuwaje ukaacha?au ulitumia dawa?Inatesa nakumbuka Usiku nilikua nakifunga na kamba za viatu nikiamka kimashika ganzi kama nini
Ule n uginjwa sio kitu mtu anapenda asee nilikua naumiaga sana
Iliacha tu yenyeweIlikuwaje ukaacha?au ulitumia dawa?
Hakika aongeze maombi huyo mwanamke ni shida.Mdau atakuwa aliokota singomaza retired veteran malaya wa Dar es laam
NB: HUYU MDAU ATAKUWA HALOGEKI COZ PASIPO NA SHAKA HUYO KICHAA ANAMILIKI UCHAWI 🙏🙏🙏🙏🙏
Sitawalea watoto wangu kwa fear. Nyie endeleeniTumekuza na fear hadi tumefika hapa. Tumewakuza mibaba na mibinti karibia na nyie kwa fear na wametoka na kuwa wa maana. Tusidanganyane, fear ni muhimili mkuu wa kumkuza mtoto ambaye ni intelligent. Ukiwa na mtoto kilaza sawa.
😁🤣
Na kina Jr je??🙄
Njoo nae tu ntawapenda wote. Dm😁🤣
Na kina Jr je??🙄
Nmekudharau ghaflaNormally akiendelea kujikojolea at the age of 8+ ndiyo tunaweza kusema ni changamoto kiafya.
Currently at his age, bado yupo normal kabisa.
Mama yake tu ajikaze katika kumuamsha.