Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
miaka 4 ?
Kwanini ?
Unless nafasi hairuhusu mtoto akiacha kunyonya tu ni muda stahiki wa kulala mwenyewe!
Aanze kujifunza kujitegemea.
Hivi singo mother nao wanalipiwa mahali?[emoji848]Yeye hana akili.
Na wewe una roho mbaya kweli unahesabu nimekupa hela ya.. hela ya.. hela ya..
Yaani ndio umeona vya maana kujitetea kwamba umempa ili asikusakame kuvunja mahusiano yenu!
Pipa na mfuniko.
Hivi ulishalipa mahari au unamtumia tu dada wa watu halafu unataka kumpangia jinsi ya kulea mtoto wa mwenzio?
Ila hii kama kama chai vile??[emoji477]
Ha ha ha.....yaan mi nshamchukulia mamaJ na icho ndo kilema chake, ata siumizi kichwa kumbadilisha Wala kumwambia kakosea, Cha muhimu ananipa mauno, Ayo mengine atajua mwnyw[emoji4]DeepPond yani ulivoridhika na msalaba wako mwenyewe yani dah!
kila siku nasikiaga hasira , ila leo nimejikuta nacheka sina mbavu!
Akili ndogo...Mtoto wa miaka saba 7 kulala na mama na baba ni big no....
Huyo single mother anashida kubwa sio wife material.
hana akili.
Kabisa😆😆😆😆kwahiyo miaka miwili mtoto alale mwenyewe?
Hata mimi nilijiuliza kama wewe.. yaani sijui hiyo degree kaipata vipi..Kwa uandishi wake tu anaonekana kichwa majibooo, baada ya kusoma hizo mixer za l na r nikakumbuka ana degree hio degree ni ya kuvukia barabara? mtoto wa miaka saba analala na mama yake vipi wanakulana?
[emoji23][emoji23]“Mtoto amepoteza baba analala peke yake?[emoji23][emoji23]”
Kuna yatima wa miaka 5 huko duniani anakoroma kabisa anasema nini huyu[emoji23][emoji23]
Huyo dada anazingua kwakwelindio maana tunasema watoto huharibikia mikononi mwa mama zao.
ona huyu hataki mwanaye achapwe na alale peke yake miaka 7[emoji2][emoji2][emoji2].
anaamini kabisa kwamba mtoto wa miaka 7 atasikia milio ya paa paa,halafu asijue kinachoendelea[emoji38][emoji38][emoji38]
Wanatumia madawa hao single mother, uwa wana test madawa kama yanafanya kazi, wakiona mwanaume Kawa mgumu kwenye kutoa pesa, warudi tena kwa wataalamu ili kupewa dawa nyingine, Vijana ambao hawaja oa na hawa familia wanatakiwa wapite mbali na Wanawake walio zalishwa bila kuolewa, wengi wao wanataka kulelewa watoto wao tu, uku Baba mtoto akiachwa ana raha mjini.Hata huyu hawezi kumuacha,wanawake wanaojilipuaga hivi Huwa mnawapenda sana...imagine anamwambia una roho mbaya halafu hapohapo anamwambia nipangie nyumba ya laki tatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio utajua hujui
Uzingatiwe,una kitu!Wanatumia madawa hao single mother, uwa wana test madawa kama yanafanya kazi, wakiona mwanaume Kawa mgumu kwenye kutoa pesa, warudi tena kwa wataalamu ili kupewa dawa nyingine, Vijana ambao hawaja oa na hawa familia wanatakiwa wapite mbali na Wanawake walio zalishwa bila kuolewa, wengi wao wanataka kulelewa watoto wao tu, uku Baba mtoto akiachwa ana raha mjini.
Unapoint UzingatiweWanatumia madawa hao single mother, uwa wana test madawa kama yanafanya kazi, wakiona mwanaume Kawa mgumu kwenye kutoa pesa, warudi tena kwa wataalamu ili kupewa dawa nyingine, Vijana ambao hawaja oa na hawa familia wanatakiwa wapite mbali na Wanawake walio zalishwa bila kuolewa, wengi wao wanataka kulelewa watoto wao tu, uku Baba mtoto akiachwa ana raha mjini.
Kichwa kimejaa style za ngono tu, hapo wanatuwezea ndio maana wengi huishia kudanga wakifika 35+ wanafungua vigroseryMf: mamaJ
Kichwani Ni empty set
Ha ha ha..eti vigrosary[emoji1787]Kichwa kimejaa style za ngono tu, hapo wanatuwezea ndio maana wengi huishia kudanga wakifika 35+ wanafungua vigrosery
Pole yako. Wewe ulianza kutiwa baada ya kulipiwa mali kweli? Sema ukweli. Na kama hutaki kupangiwa jinsi ya kulea mtoto umefuata nini kwangu na mtoto wako? Si usubiri kwako uje tolewa mahari?Yeye hana akili.
Na wewe una roho mbaya kweli unahesabu nimekupa hela ya.. hela ya.. hela ya..
Yaani ndio umeona vya maana kujitetea kwamba umempa ili asikusakame kuvunja mahusiano yenu!
Pipa na mfuniko.
Hivi ulishalipa mahari au unamtumia tu dada wa watu halafu unataka kumpangia jinsi ya kulea mtoto wa mwenzio?
Ila hii kama kama chai vile??☕