Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

😆😆😆😆kwahiyo miaka miwili mtoto alale mwenyewe?
miaka 4 ?
Kwanini ?
Unless nafasi hairuhusu mtoto akiacha kunyonya tu ni muda stahiki wa kulala mwenyewe!
Aanze kujifunza kujitegemea.
 
Yeye hana akili.
Na wewe una roho mbaya kweli unahesabu nimekupa hela ya.. hela ya.. hela ya..
Yaani ndio umeona vya maana kujitetea kwamba umempa ili asikusakame kuvunja mahusiano yenu!
Pipa na mfuniko.
Hivi ulishalipa mahari au unamtumia tu dada wa watu halafu unataka kumpangia jinsi ya kulea mtoto wa mwenzio?

Ila hii kama kama chai vile??[emoji477]
Hivi singo mother nao wanalipiwa mahali?[emoji848]
 
DeepPond yani ulivoridhika na msalaba wako mwenyewe yani dah!
kila siku nasikiaga hasira , ila leo nimejikuta nacheka sina mbavu!
Ha ha ha.....yaan mi nshamchukulia mamaJ na icho ndo kilema chake, ata siumizi kichwa kumbadilisha Wala kumwambia kakosea, Cha muhimu ananipa mauno, Ayo mengine atajua mwnyw[emoji4]
 
😆😆😆😆kwahiyo miaka miwili mtoto alale mwenyewe?
Kabisa
Amemaliza kunyonya, anakaa kwapani kwa mama kufanya nn?
mtu anashushia ugali na ndondo fresh kabisa huyo , yupo mpaka kwenye ratio ya makande!
Niendelee kulala nae? Weee sio kweli!
Saa ngapi ntakumbatiana na babake?
Naisema jokely, but on a very serious note!
By 2 yrs, mtoto anakula vizuri, hanyonyi, anatembea, ameanza kusema,
Kumtoa pembeni ya mama ni kuanza kumpa pre-self reliance skills!
Atajifunza kupambana na changamoto za umri wake, kama giza ,haja ndogo/kubwa!
Huwezi kuwa unalala na mtoto mpk miaka 4 utarajie awe sharp.
Kiukweli kabisa mimi napenda mtoto anayejitegemea.
Ajimudu kwa baadhi yanayomkabili.
 
Kuna madogo wa miaka 7 ni machokoraaa huku mtaani yaani wewe jiulize aliacha kulala na mama ake lini????

Machokoraaa wana akili sana kuliko hawa wa mageti kali.
Matajiri wengi self made ni machokoraaaa.
 
booo, baada ya kusoma hizo mixer za l na r nikakumbuka ana degree hio degree ni ya kuvukia barabara? mtoto wa miaka saba analala na mama yake vipi wanakulana?
Hata mimi nilijiuliza kama wewe.. yaani sijui hiyo degree kaipata vipi..Kwa uandishi wake tu anaonekana kichwa maji
 
Binti anamlea mtoto kama yai

wadada wengi wanajua ukiwapenda basi usisimamie misimamo yako ni Ujinga sana

wangine kama uyo anasema kwan ulikua huenjoy mapenz na mm? means ukiondoa hicho hana makubwa zaid

Hahahaha 300k ? hapo anajua unajiweza lkn ni ujinga kumsikiliza

Aende kwa bibi yake uko kijijini
 
ndio maana tunasema watoto huharibikia mikononi mwa mama zao.
ona huyu hataki mwanaye achapwe na alale peke yake miaka 7[emoji2][emoji2][emoji2].

anaamini kabisa kwamba mtoto wa miaka 7 atasikia milio ya paa paa,halafu asijue kinachoendelea[emoji38][emoji38][emoji38]
Huyo dada anazingua kwakweli
 
Hata huyu hawezi kumuacha,wanawake wanaojilipuaga hivi Huwa mnawapenda sana...imagine anamwambia una roho mbaya halafu hapohapo anamwambia nipangie nyumba ya laki tatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio utajua hujui
Wanatumia madawa hao single mother, uwa wana test madawa kama yanafanya kazi, wakiona mwanaume Kawa mgumu kwenye kutoa pesa, warudi tena kwa wataalamu ili kupewa dawa nyingine, Vijana ambao hawaja oa na hawa familia wanatakiwa wapite mbali na Wanawake walio zalishwa bila kuolewa, wengi wao wanataka kulelewa watoto wao tu, uku Baba mtoto akiachwa ana raha mjini.
 
Uzingatiwe,una kitu!
 
Unapoint Uzingatiwe
 
Yeye hana akili.
Na wewe una roho mbaya kweli unahesabu nimekupa hela ya.. hela ya.. hela ya..
Yaani ndio umeona vya maana kujitetea kwamba umempa ili asikusakame kuvunja mahusiano yenu!
Pipa na mfuniko.
Hivi ulishalipa mahari au unamtumia tu dada wa watu halafu unataka kumpangia jinsi ya kulea mtoto wa mwenzio?

Ila hii kama kama chai vile??☕
Pole yako. Wewe ulianza kutiwa baada ya kulipiwa mali kweli? Sema ukweli. Na kama hutaki kupangiwa jinsi ya kulea mtoto umefuata nini kwangu na mtoto wako? Si usubiri kwako uje tolewa mahari?
 
Back
Top Bottom