Kuna mambo nikikumbuka moyo wangu unauma sana wakuu...

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,788
Reaction score
113,025
Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu...
Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...πŸ˜‚
Leo nimekajaribu kwa salam..
Mimi: mambo
Yeye: niko poa kabisa
Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani haukopoa nikutumie pesa kidogo" nika kata sim" hapa naangalia sms zinavyo miminika tu naitwa majina yote mazuri....πŸ˜‚

Haka ni ndio kale kaliko nisevu eti "mubaba wangu"
 
Usiwe serious sana na maisha mkuu, hii ID niliinunua kwa mzee wangu na anatamani namimi nije nimuuzie mtoto wangu..🀣
 
Ushimen hizi siku umeanza kukaribia menopause ya kiume.Umekua mtu mzima na lazima tukufanyie send-off! Believe it or don't we, surely ,gonna do it!
 
Mtoto mpendwa wa Dr. Unepewa V shaped fruit, bado huridhiki
 

Huyu ndio alijaza mtungi mkubwa wa gesi kwa kuupuliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…