Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Mkuu mbona ghafla tena si juzi uliitwa kikao ukampiga chini mbele ya maza ake?Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu...
Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...π
Leo nimekajaribu kwa salam..
Mimi: mambo
Yeye: niko poa kabisa
Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani haukopoa nikutumie pesa kidogo" nika kata sim" hapa naangalia sms zinavyo miminika tu naitwa majina yote mazuri....π
Haka ni ndio kale kaliko nisevu eti "mubaba wangu"
View attachment 3702074
Andropause.Ushimen hizi siku umeanza kukaribia menopause ya kiume.Umekua mtu mzima na lazima tukufanyie send-off! Believe it or don't we, surely we,gonna do it!
Upo makini mkuu wangu.Andropause.
nyie wazee mna mambo yahovyo mnoo π π π ujinga gani huu mnafanya hapa watoto wakikagua id zenu watawazarau sanaView attachment 3702141
Huyu ndio alijaza mtungi mkubwa wa gesi kwa kuupuliza?
mrembo vipi.leo hausemi astaghafilullah?Upo makini mkuu wangu.
Funga tu mlango πNimeacha mlango wazi moyoni mwangu, ebu ingia chap kabla nafasi haijakwisha...π
Unajutesa sana kwa kunichunguza. Mimi ndio Baba Mdogo wake Ushimen ambaye tulipelekwa kupumzika kwenye ward ya psychiatric na Mzee Baba mwenyewe.nyie wazee mna mambo yahovyo mnoo π π π ujinga gani huu mnafanya hapa watoto wakikagua id zenu watawazarau sana
wewe tokea kipindi unajiita girles mwenye matako mtetemo haubadiriki tu?
Pole classmateKaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu...
Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...π
Leo nimekajaribu kwa salam..
Mimi: mambo
Yeye: niko poa kabisa
Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani haukopoa nikutumie pesa kidogo" nika kata sim" hapa naangalia sms zinavyo miminika tu naitwa majina yote mazuri....π
Haka ni ndio kale kaliko nisevu eti "mubaba wangu"
View attachment 3702074
taka hapa mjinga mmojaUnajutesa sana kwa kunichunguza. Mimi ndio Baba Mdogo wake Ushimen ambaye tulipelekwa kupumzika kwenye ward ya psychiatric na Mzee Baba mwenyewe.
Swadakta, una lolote jipya la nyongeza, zaidi ya chuki zako?taka hapa mjinga mmoja
nakuelimisha siwezi chukua mjinga kama wewe tena mzeeSwadakta, una lolote jipya la nyongeza, zaidi ya chuki zako?
Rudia kusoma sentensi yako mara mbili. Sifa kuu ya ujinga ni kutojua au kushindwa kusoma na kuandikanakuelimisha siwezi chukua mjinga kama wewe tena mzee
wewe mbona unajua kusoma na kuandika lakini bado ni mjinga wa kiwango cha lami?Rudia kusoma sentensi yako mara mbili. Sifa kuu ya ujinga ni kutojua au kushindwa kusoma na kuandika
Mind your own business brother. Ni aibu mwanamume kufuatilia maisha ya mtu hapa jukwaani.wewe mbona unajua kusoma na kuandika lakini bado ni mjinga wa kiwango cha lami?
licha yakuwa humu muda mrefu sana lakini uko vilevile tu haubadiriki kimtazamo kwanini?
mimi naweza kabisa kuvumilia kijana mpumbavu kwasababu najua ujana ni maji ya moto atabadirika tu lakini nyie wazee ndio siwezi kuwavumilia mnakera sana mtabadirika lini?Mind your own business brother. Ni aibu mwanamume kufuatilia maisha ya mtu hapa jukwaani.
Ujinga wangu unakuathiri nini? OK. Unataka nierevuke, werevu utakusaidia nini?
Kweli changamoto ya afya ya akili is real. Thread yenyewe ni ya kujifurahisha tu, unataka tuteme madini. Ubwege daraja la kwanza.
Kwanza mtu mwerevu kuhangaika na mjinga kunaonesha kwamba wewe ni mwehu kabisa
Bro, endelea na kuchukia watu usiowajua.mimi naweza kabisa kuvumilia kijana mpumbavu kwasababu najua ujana ni maji ya moto atabadirika tu lakini nyie wazee ndio siwezi kuwavumilia mnakera sana mtabadirika lini?
ukute mnaangalia hadi x videos ππ