Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Sijaona kosa lake mkuuUshimen Platinum member yupo JF tangu mwaka 2012. Kwa kweli JF imeshuka hadhi sana. Kuna kipindi ilikiwa platinum member akianzisha mada lazima iwe mada fikirishi. Lakini siku hizi mhhh! Sijui masharti ya kuwa platinum member yamelegezwa 😂
View attachment 3702075
Kweli Mzee wangu umezeeka na kamiwani pembeni bhashhhhhh, alafu hayo Mafuta ya Vaseline ni ya nini Mzee wangu au mambo ya p Diddy kwa hawa mabinti🤣🤣.
😁😁😁nina degree ya civil engineering.acha kubeba tofali zitakuuwa njoo uombe kazi nikupe hata ya kumwagilia maji sote utakufa mapema kwanini hukusoma? ujinga shuleni hadi hapa jf😁😁😁Bro, endelea na kuchukia watu usiowajua.
Wenzako wanawekeza kwenye wealth multiplication wewe uko busy na maisha ya watu.
Wenzako tukichoka kubeba matofali ndio uchovu tunakuja JF kufurahia maisha.
Wewe na kadegree kako ka political science, Huna kazi Huna uzoefu wowote, Huna connection, Huna kitu ndio maana uko busy kuchukizwa na maisha ya watu usiowajua.
Njoo tubebe tofali huku kwa Mzee Baba
Hamna mtu aliyesoma engineering ana ufinyu wa fikra, kiasi cha kuacha kuhangaika na maisha na kuanza kuchunguza maisha ya mtu mwingine.😁😁😁nina degree ya civil engineering.acha kubeba tofali zitakuuwa njoo uombe kazi nikupe hata ya kumwagilia maji sote utakufa mapema kwanini hukusoma? ujinga shuleni hadi hapa jf😁😁😁
Kwahio kwenye huu mtandao sisi tulio soma haturuhusiwi kuchangia humu?unaona ulivyo mjinga?Hamna mtu aliyesoma engineering ana ufinyu wa fikra, kiasi cha kuacha kuhangaika na maisha na kuanza kuchunguza maisha ya mtu mwingine.
Kwa akili za kawaida, iweje engineer aache mambo yake ya msingi awe busy na kumchunguza mbeba matofali?
Very shame
Utapigwa shoo shoo ufe na presha mzee mwenzanguLeo nilikua najaribu tu mkuu, ila dahh haya mambo kumbe sio ya kujitapa aiseee...😒
Nani kakukataza kuchangia? HEBU HIGHLIGHT NILIPOKUKATAZA KUCHANGIAKwahio kwenye huu mtandao sisi tulio soma haturuhusiwi kuchangia humu?unaona ulivyo mjinga?
badirika mzee kubeba tofali kusikufanye kuwa mjinga.
Kwa hadhi ya cheo chako hii sio mada ya kuandikwa na wewe humu jamiiforums, hasa hiyo picha uliyoiweka piaKaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu...
Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...😂
Leo nimekajaribu kwa salam..
Mimi: mambo
Yeye: niko poa kabisa
Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani haukopoa nikutumie pesa kidogo" nika kata sim" hapa naangalia sms zinavyo miminika tu naitwa majina yote mazuri....😂
Haka ni ndio kale kaliko nisevu eti "mubaba wangu"
View attachment 3702074
Picha itoe bhana 😄😄😏Roho inananiuma nikikumbuka
Hiyo Vaseline ni kihatarishi mkuu.
Achana nae huyo anatafuta kiki kupitia jina lako mkuu, mpotezee kijana huyo🤣Nani kakukataza kuchangia? HEBU HIGHLIGHT NILIPOKUKATAZA KUCHANGIA
Kapotea mwenyeweAchana nae huyo anatafuta kiki kupitia jina lako mkuu, mpotezee kijana huyo🤣
Hahahaaaa🤣Kapotea mwenyewe