Kwanza,napenda kuwashukuru wote ambao wamekuwa tayari kunipa msaada no matter what nimekumbana nacho.
Pia kwa wale ambao mnanikejeli asanteni pia,lakini tambua mna watoto pia kama mimi nilivyo mtoto wa mwanaume au mwanamke mwenzio hujui pia anapitia condition ipi.
Mtu akininiona hivi tu hawez jua kwamba ninashida kubwa katika akili na moyo wangu ila tu ndo hivyo.I know hadi nipo hapa for a reason,sijapenda nipitie situation kama hii ila tu ni Mungu karuhusu itokee because i know he has a purpose with me.Nitajitahidi kwa uwezo wangu kwa kumshirikisha Mungu zaidi anisaidie katika hili,nikishindwa basi but i know nimelia kwake na kumuomba sana.
Nilichogundua binadamu hawez kukusaidia bali kukusimanga na kukubeza ila wanasahau no body wanted to be in such situation. Have a nice life
Kama ni mambo uliyoyafanya mwenyewe kwa utashi wako usimsingizie Mungu, kama ni mambo ya kuhusu hisia basi Mungu muweke kando maana hahusiki.
Binafsi siamini kama Mungu anaweza kukushawishi utetende dhambi!! Hiyo sio kazi yake na huchukizwa nalo.
Mkuu kama jambo la kihisia basi waone wanasaikolojia wakusaidie.
Kwa jinsi ulivyohitimisha ni wazi kua maneno ya wanajf yana ukali na ukweli kwa kiasi chake.
Ungekua muwazi ungetukanwa na kushauriwa nini cha kufanya ila umekia kiburi na mkaidi matokeo yake watu wameishia kubeza na kutukana.
Lakini acha nikwambie...
Mkuu hamna kosa/dhambi kubwa kushinda nyingine.
Wewe unafeel guilty kwa hicho, mwenzio hicho anakiona kidogo, mwingine akidanganya anafeel guilty ila wengine uongo ndo kazi yao.
Mwingine akiiba anafeel poa ila mwingine akiiba anajuta maisha yote.
Na wote hao wanaofeel guilty wengi mwisho wa siku hukaa sawa maana kujua kua umekosea ni mwanzo mzuri wa kupatia.
As long as umejua ulikosea, tubu na usirudie only that, amini umesamehewa.
Ila kama unaendelea na kila unachokijutia hapo ni ishu nyingine, ila kama umeacha kabisa sioni sababu ya kujifeel vibaya.
Labda kama matendo yako ya nyuma yanaathiri maisha yako ya sasa moja kwa moja.