Kuna mambo ukifanya watu hawafikirii mara mbili kujichukulia sheria mkononi

Watu wana kazi kweli. Ukiona hana uaminifu muache
Tafuta maisha mengine. Kama umemfumania fungua kesi ya madai ukamdai mgoni wako.
Sahihi, hata huko kufungua kesi siju za madai ya mgoni bado ni ujima, kupoteza muda na kujichoresha tu, ila ndio hivyo Waafrica na Waarabu wengi bado wako kwenye enzi za mke ni mali ya mume wake.
 
Sahihi, hata huko kufungua kesi siju za madai ya mgoni bado ni ujima, kupoteza muda na kujichoresha tu, ila ndio hivyo Waafrica na Waarabu wengi bado wako kwenye enzi za mke ni mali ya mume wake.

Mke ni mali ya Mume
Mume NI Mali ya Mke

Labda kama hujui maana ya Ndoa
 
Mimi ukitoka na mama yeyoo yangu nakufir@ na mafuta ya nazi
 
Tu/Wanaofanya uhalifu WA Kutoka na wake au waume za Watu waô hawaleti huo uvunjifu wa Amani?

Unajua maana ya Amani?
Hakuna uhalifu hapo ni makubaliano ya pande mbili.

Itahesabika kuwa ni uhalifu endapo nguvu itatumika.

Lakini watu waongee na kuelewana kisha waongozane kwenda Guest House!

Uhalifu uko wapi hapo?
 
Sahihi, hata huko kufungua kesi siju za madai ya mgoni bado ni ujima, kupoteza muda na kujichoresha tu, ila ndio hivyo Waafrica na Waarabu wengi bado wako kwenye enzi za mke ni mali ya mume wake.
Saana . Huwezi kumiliki binadamu mwenzako kama mali. Ukiona hivyo hivyo ujue wamekosa mambo ya msingi ya kufanya. Mbona mnaachana tu na maisha yanaenda fresh. Nabinafikia wakati unasahau hata kama mlikuwa na mawasiliano.
 
Watu wanakufa sababu ya kutoombewaaa, mtuombeeni..... watoombeeni

Wanapata majanga sababu ya kutoombewaaa.....
 
Mwanamke au Mwanaume anaruhusa ya kumuacha mwenza wake. Siô Kosa.
Lakini cheating ni Kosa.
Kwanza huzijui ndoa za kikatoli, hazivunjwi labda tu kama hamuwezi kufanya ngono.
Cheating ni kosa kama la kujamba mbele ya umati wa watu.
 
Sheria zipo za kufuata endapo mtu atatembea na mke au.mume wako. Unaona sasa wanaenda kufia jela. Ujinga mtupu.

Wewe unaogopa Jela kumbe, ndio maana Huwezi kuwa mtenda HAKI.

Kama Sheria NI kandamizi, mtu kaonewa, kaibiwa Mke au Mume alafu adhabu ya aliyemuibia NI ndogo unafikiri hiyo NI Haki?

Wewe kama unaogopa Jela elewa siô kîla Mtu anaogopa hasa pale anapohisi kuonewa na hajatendewa HAKI.

Hoja ya Uzi huu NI HAKI Kwa wanaoibiwa Wake au waume zào. Hayo ya Jela Wala siô sehemu yake Kwa sababu hata Kabla sijaandika hapa kila siku tunasikia màtukio ya mauaji kisa mapenzi.

Unafikiri Wanaofanya hayo hawajui kûna serikali?
 
Kwanza huzijui ndoa za kikatoli, hazivunjwi labda tu kama hamuwezi kufanya ngono.
Cheating ni kosa kama la kujamba mbele ya umati wa watu.

Kwèñu Civilized personal ndîo cheating ni Sawa na Kosa la kujamba mbele za Watu

Nenda kachukue Mke WA RPC au WA Kiongozi wako WA katoliki mwenye Ñguvu alafu uone Kile atakufanya
 
Wenye ndoa zao kaeni na wenza wenu vizuri, sio kumnyanyapaa mke mwishowe anavhukuliwa na mme wa mtu kumbe sababu ni wewe! Tatizo wanaume huzani wao ndiyo wenye hisia pekeyao kumbe wanajidanganya, wewe unamwacha mke anaranda randa hovyo na stress kibao unategemea nini hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…