Kuna mambo ukifanya watu hawafikirii mara mbili kujichukulia sheria mkononi

Kuna mambo ukifanya watu hawafikirii mara mbili kujichukulia sheria mkononi

Watu wana kazi kweli. Ukiona hana uaminifu muache
Tafuta maisha mengine. Kama umemfumania fungua kesi ya madai ukamdai mgoni wako.
Sahihi, hata huko kufungua kesi siju za madai ya mgoni bado ni ujima, kupoteza muda na kujichoresha tu, ila ndio hivyo Waafrica na Waarabu wengi bado wako kwenye enzi za mke ni mali ya mume wake.
 
Sahihi, hata huko kufungua kesi siju za madai ya mgoni bado ni ujima, kupoteza muda na kujichoresha tu, ila ndio hivyo Waafrica na Waarabu wengi bado wako kwenye enzi za mke ni mali ya mume wake.

Mke ni mali ya Mume
Mume NI Mali ya Mke

Labda kama hujui maana ya Ndoa
 
NASISITIZA, YAPO MAKOSA UKIFANYA KAMA KUTOKA NA MUME AU MKE WA MTU UTAFANYIWA UHUNI AU UKATILI BILA KUJALI SHERIA ZÎPO AU HAZIPO. MBINGUNI AU DUNIANI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Usidanganywe na porojo zisizo na kichwa Wala miguu kuhusu kile kinachoitwa Haki za binadamu, sijui Serikali, sijui Sheria Kali, sijui uwèpo wa Mungu. Usije ukadanganywa.

Hivyo vyote nilivyovitaja hazitazungatiwa endapo utamfanyia Mtu Baadhi ya Makosa.

Huwezi toka na Mume au Mke wa Mtu alafu ukaleta mambo ya Haki za binadamu, sijui Sheria za serikali, sijui Mungu kasemaje, ndugu yàngu, utaumia, utasagika, utakandwa na kma haitoshi watakuua.

Ukiona Mtu umemuibia Mkewe ya Mumewe alafu kakuacha tuu usije ukadhani anabusara nyingi Sana, Jua NI Hana uwezo wa kukufanya chochote. NI Ile ya kumuachia Mungu tuu.

Lakini Mtu mwenye uwezo, mamlaka, nguvu Huwezi mfanyia Makosa ya namna hiyo alafu utegemee akuache salama. Utaumia ndugu yàngu.

Vijana lazima waambie ukweli na jamii ijulikane hivyo. Kuwa Yapo Makosa ukifanya lazima ukutane na Moto.

Jamii Zenye Sifa za kichawi au ushirikina mfano mbona inakua ngumu Mtu aende Pemba atoke na Mke au Mume WA Mtu, wengi tunajua nini kitatokea hata kama ni nadharia.

Unàtaka Haki z binadamu ufanyiwe Linda heshima yako, Linda heshima ya Watu Wengine full stop.

Ukitumia utashi wako kufanya uhalifu kuchukua wake au waume za Watu usilaumu hao utakaowachukulia Wakitumia utashi waô kukushughulikia.

Serikali haijui uchungu wa Mtu kuubiwa mume au Mke. Ndîo maana hata sheria Zake NI nyepesi.
Yàani Sheria za Ugoni.

Atleast Sheria za mîungu zîpo wazi Mtu akichukua Mke au Mume WA Mtu adhabu zake zote huwa na Kali, mpaka kuua Kabisa.

Hizô Asasi sijui mashirika ya kiraia huenda hazijui au hazina uzoefu WA kutendawa Makosa ya namna hiyo

Au Tuseme NI kizazi cha Làana, kizazi cha nyoka, kizazi cha Kataa Ndoa.

Wanawake wàpo wangapi mpaka ufuate Mke wa Mtu? Kama siô dharau, kiburi na Uhuni.
Madanguro yapo kibao ya kununua makahaba, Huko telegram wapo Malaya kibao why Utoke na Mke WA Mtu.
Hakika, Sisi Watibeli tunajua n kutambua Haki za waliooa na kuolewa, Haki za Mume na Haki za Mke. Hatutalaumu Mtu yeyote atakayetenda na kulipa kisasi cha aina yoyote Kwa Mtu àmbaye amemuibia Mke au Mume Kwa ku-cheat.

Hatutaki jamii za kionevu, dhulma, jamii ya zinaa.

Wanaume wàpo wangapi mpaka uende Kwa Mume WA Mtu bhana kama siô kiburi na dharau.

Viongozi wôte wakiwemo Marais, Mawaziri, Wakuu WA Vyombo vya Dola, viongozi wa Dini, matajiri najua ninyi mnaelewa nimeandika kitu gàni.
Najua miongoni mwenu Hakuna hata Kiongozi mmoja àmbaye yupo tayari kuona Mkewe au Mumewe akiibiwa na najua wengi wenu maamuzi gàni huwa mnachukua.

Sasa nashauri ziwekwe Sheria za HAKI za Mahusiano ya wanandoa.
Haiwezeniki Mtu akifumaniwa na Mtu Mwingine adhabu yake haieleweki. Huko ni kuhalalisha zinaa Kwa wanandoa na baadhi ya wanandoa kuonewa na kuumizwa
Wekeni Sheria Kali ili Watu wasione sababu ya kulipa Visasi vikali ili kuridhisha Nafsi zào.

MTU kama amechoka Ndoa aombe Talaka ili akafanye Kile anachotaka.

Nawajua mabinti wengi walioharibu Ndoa za Watu na kuacha Wake na Watoto waliokuwa ndoani kuumia na kuharibu future yao.

Nawajua Wanaume wengi tuu àmbao Wake zào wamekuwa wakilala na wanaume wengine na hawana cha kufanya wala Hakuna wakuwatetea. Hiyo NI dhulma, hiyo siô Sawa.

Iwekwe Sheria kuwa Kutoka na Mke au Mume WA Mtu NI jinai na adhabu yake íwe Kali angalau jela Miaka 30.
Aliyetoka nje ya Ndoa na hiyo aliyetoka naye wôte wafungwe miaka 30.

Iwekwe Sheria, Ikiwa MTU ataomba talaka bila sababu ya msingi Kwa lengo la Kuoa au kuolewa na Mtu Mwingine ataacha Nusu ya Haki ya vile anavyomiliki (alichochuma)katika Ndoa ya Kwanza.

Itolewe Sheria kuwa, Ndoa ya Wake wengi NI ruhusa lakini lazima iwepo sehemu àmbayo Mke WA Kwanza ataweka saini na kuridhia. Yàani kukubali.

Lakini Sheria za kihuni, kitapeli, zisizoangalia maumivu ya Watu Wengine Kwa sababu labda siô jinsia yako, siô Dini au kabîlà lako, au Kisa hamfanani hiyo ni dhulma.

Ni jukumu la Mume kumshawishi Mkewe kama kûna ulazima WA kuongeza Mke Mwingine. Na Mke anahiyari ya kukubali au kukataa shauri Hilo Ikiwa Hana Imani na Àkili na Upendo WA Mumewe.

Yawepo Makubaliano tangu awali Ikiwa Mwanaume anampango wa Kuoa Wake wengi.

Hata hivyo aina ya Ndoa inayofungwa NI makubaliano tosha mfano Mwanamke yeyote àmbaye Kwa hiyari Yake alikubali kuolewa Kwa Ndoa ya Kimila au kiislam hakutakuwa na ulazima WA kumuuliza kuhusu kuoa Wake wengi kwani tayari Sheria na Kanuni za Mila za kiafrika na Dini ya kiislam zîpo wazi kuhusu suala Hilo.

Kwa Watibeli Mwanaume Hana ruhusa ya kuuliza Wala kuomba Kuoa Mke Mwingine Kwa Mkewe isipokuwa Mkewe ndiye mwenye hiyo HAKI ya kutaka kuongezewa Mke mwenza Ikiwa ataona kûna uhitaji.
Kama ilivyo Kwa Mwanaume WA kitibeli anayohaki ya kumruhusu Mkewe aolewe au Kulala na Mwanaume Mwingine Kutokana na sababu kuu Mbili, Mosi, Ugonjwa, kama Mwanaume ameumwa Kwa kipindi kirefu kinachozidi Miaka 10 anaweza kumruhusu Mkewe aidha aolewe na Mwanaume Mwingine au alale na Mwanaume Mwingine lakini huyo mwanaume hapaswi kuwa mume wa mtu.

Pili, Ugumba, Ikiwa Mwanaume ikabainika kuwa anaugumba úwe wa kuzaliwa au ugonjwa au ajali au Ugumba uliosababishwa na Jambo lolote. Atakuwa na ruhusa Kwa hiyari Yake kumruhusu Mkewe ambaye sio tasa yaani mwenye uwezo wa kuzaa akazae na Mtu Mwingine Ikiwa ameona Mkewe asiondoke Duniani Bila Mtoto Kwa sababu Yake. Au akaolewe na Mwanaume Mwingine.

Kwa Watibeli inaruhusiwa Mwanaume mgumba kuchagua Mwanaume Mwingine wa kumpatia uzao. Lakini hiyo íwe kimaandishi na íwe Kisheria.

Tukio la kugawa uzao litafanyika Mpaka pale Mimba itakapotungwa. Kisha Mwanaume aliyeiweka hiyo Mimba hataruhusiwa tena kuwa na uhûsiano na Mwanamke huyo. Wala kuwasiliana Kwa namna yoyote inayohusu mapenzi au Mtoto atakapozaliwa.

Itakuwa NI jinai Ikiwa Mwanaume aliyetoa uzao kujihusisha tena kimapenzi au kujihusisha na Mtoto.
Itakuwa pia ni jinai Kwa Mke ikiwa atajihusisha na Mwanaume aliyeombwa na Mumewe Kutoa uzao.

Mimi Acha nipumzike

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa, Kibidula, Mafinga
Mimi ukitoka na mama yeyoo yangu nakufir@ na mafuta ya nazi
 
Tu/Wanaofanya uhalifu WA Kutoka na wake au waume za Watu waô hawaleti huo uvunjifu wa Amani?

Unajua maana ya Amani?
Hakuna uhalifu hapo ni makubaliano ya pande mbili.

Itahesabika kuwa ni uhalifu endapo nguvu itatumika.

Lakini watu waongee na kuelewana kisha waongozane kwenda Guest House!

Uhalifu uko wapi hapo?
 
Sahihi, hata huko kufungua kesi siju za madai ya mgoni bado ni ujima, kupoteza muda na kujichoresha tu, ila ndio hivyo Waafrica na Waarabu wengi bado wako kwenye enzi za mke ni mali ya mume wake.
Saana . Huwezi kumiliki binadamu mwenzako kama mali. Ukiona hivyo hivyo ujue wamekosa mambo ya msingi ya kufanya. Mbona mnaachana tu na maisha yanaenda fresh. Nabinafikia wakati unasahau hata kama mlikuwa na mawasiliano.
 
Watu wanakufa sababu ya kutoombewaaa, mtuombeeni..... watoombeeni

Wanapata majanga sababu ya kutoombewaaa.....
 
Mwanamke au Mwanaume anaruhusa ya kumuacha mwenza wake. Siô Kosa.
Lakini cheating ni Kosa.
Kwanza huzijui ndoa za kikatoli, hazivunjwi labda tu kama hamuwezi kufanya ngono.
Cheating ni kosa kama la kujamba mbele ya umati wa watu.
 
Sheria zipo za kufuata endapo mtu atatembea na mke au.mume wako. Unaona sasa wanaenda kufia jela. Ujinga mtupu.

Wewe unaogopa Jela kumbe, ndio maana Huwezi kuwa mtenda HAKI.

Kama Sheria NI kandamizi, mtu kaonewa, kaibiwa Mke au Mume alafu adhabu ya aliyemuibia NI ndogo unafikiri hiyo NI Haki?

Wewe kama unaogopa Jela elewa siô kîla Mtu anaogopa hasa pale anapohisi kuonewa na hajatendewa HAKI.

Hoja ya Uzi huu NI HAKI Kwa wanaoibiwa Wake au waume zào. Hayo ya Jela Wala siô sehemu yake Kwa sababu hata Kabla sijaandika hapa kila siku tunasikia màtukio ya mauaji kisa mapenzi.

Unafikiri Wanaofanya hayo hawajui kûna serikali?
 
Kwanza huzijui ndoa za kikatoli, hazivunjwi labda tu kama hamuwezi kufanya ngono.
Cheating ni kosa kama la kujamba mbele ya umati wa watu.

Kwèñu Civilized personal ndîo cheating ni Sawa na Kosa la kujamba mbele za Watu

Nenda kachukue Mke WA RPC au WA Kiongozi wako WA katoliki mwenye Ñguvu alafu uone Kile atakufanya
 
Wenye ndoa zao kaeni na wenza wenu vizuri, sio kumnyanyapaa mke mwishowe anavhukuliwa na mme wa mtu kumbe sababu ni wewe! Tatizo wanaume huzani wao ndiyo wenye hisia pekeyao kumbe wanajidanganya, wewe unamwacha mke anaranda randa hovyo na stress kibao unategemea nini hapo!
 
Back
Top Bottom