Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Hii ndio inayosema waueni au? Ule uzi wako wa kwenda Peponi upo wapi?😀😀QURAN IMEWAONYA WAISLAM ZAMANI TU
"Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa marafiki zenu. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na anaye wafanya kuwa marafiki basi bila ya shaka yeye ni miongoni mwao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongozi watu wenye kudhulumu.
"Aya hii inawahimiza Waislamu kuwa waangalifu na kuchagua urafiki wao kwa kuzingatia maslahi ya dini yao. Tafsiri za aya hii zinaweza kutofautiana kidogo kulingana na maulamaa tofauti, lakini ujumla wake unasisitiza kujiweka mbali na urafiki wa karibu na makundi ambayo yanaweza kuleta athari mbaya katika imani ya Kiislamu.
Hakuna inayosema waueni. Kuna aya inasema kafiri kama wewe ukiwapiga waislam na wewe uuuliweHii ndio inayosema waueni au? Ule uzi wako wa kwenda Peponi upo wapi?😀😀
Na sisi wayahudi lazima tuyaue MAGAIDI pray for Israel TAIFA TEULEHakuna inayosema waueni. Kuna aya inasema kafiri kama wewe ukiwapiga waislam na wewe uuuliwe
Kama Mungu alijitambulisha yeye ni Mungu waisrael vip Watanzania Mungu wetu ni yup?Kabla ujafanya huo upuuzi,
Jiulize Kwanza, Ni lini Hao wayahudi waliwahi kuliombea taifa lako
Hawa watu wameelimishwa sana kuhusu hilo jambo.poor mind set! Asilimia kubwa wa israel sio wa kristo lkn waskristo walivyolishwa matango pori na wazungu ndo umefikia hatua hii
Na ndo anategemewa huyo,Tuacheni utani kuna watu ni wajinga kupitiliza aisee,mfano mzuri huyu mleta mada[emoji23], na jambo la kushangaza utakuta eti ni baba wa familia dah!
Kama unaamini ahadi za Mungu ni za kweli na nizamileleni rahisi sana kuwaombea Israel.(Ukijua Yeye mtunza maagano na ahadi zake lazima atakupea rewards zako kwa kuamini neno lake na kufanya hivo).Unqfiki wa kiroho. Ombea wote na wanaoteswa na Israel pia
Dah are you serious?!Mimi pia nimeelekeza familia yangu kufunga na kuomba kwa ajili ya taifa la Israel. Shetani hana nafasi ya kujitwalia utukufu mbele za Mungu wa Yakobo. Baba jina lako libarikiwe. Hakuna Mungu ila wewe; miungu yote itashindwa mbele zako ewe Mtakatifu wa Israel.
Mkristo ndio muisrael. Huu ulioandika ni kutoelewa kitabu cha wagalatiaKama unaamini ahadi za Mungu ni za kweli na nizamileleni rahisi sana kuwaombea Israel.(Ukijua Yeye mtunza maagano na ahadi zake lazima atakupea rewards zako kwa kuamini neno lake na kufanya hivo).
Na unajua Ukishakuwa Mkristo in the Spirit unakuwa mrithi rasmi wa Ibrahim kama Isaac na Yakobo tu kwaiyo kuna ile spiritual bond ambayo Mkristo yoyote anaemwamini Yesu kristo na yuko na mahusiano nae ni lazima awe nayo kwa wana wa Israel.
Kumbuka hata wakati wa wafalme waliofanya kila aina ya ubaya na hiyana ndani ya ile ardhi bado Mungu aliendelea kuwa penda na kutunza ahadi zake.
Naomba ukakisome tena Mkuu utaelewa kwanini Paul alikuwa na sinto fahamu na Petro juu ya hilo.Mkristo ndio muisrael. Huu ulioandika ni kutoelewa kitabu cha wagalatia
Mi mkristo ila naombea washenzi wale wateketezwe wakafie mbaliView attachment 3116170
Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱
Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel
Cha ajabu hadi huko Iran, wakristo Wanaliombea taifa LA Israel🇮🇱.
Nini maana yake? Israel ni taifa ni teule la Mungu. Mungu hapo zamani alijitambulisha kwamba ni Mungu wa Israel🇮🇱
HAPA KUNA SIRI!
View attachment 3116170

Kweli aliyewapa jina "kondoo" hajakosea.Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱