Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

Wazee si ndio hao mnasema wanawatilia kiwingu kwenye mambo yenu waache wakacheze na wajukuu zao😀😀
 
Dp weldi wameona kufanya kazi na mtanzania kwenye management ni mzigo, watz tunajua uwezo wetu na ufanisi wetu...UKO CHINI, yoyote anayetaka maximum output ni ngumu sana kuvumilia kufanya kazi na sisi. RAZIMA TUSEME UKWERI!!
Kwanza wengi ni wezi na wavivu
 
Acha upotishaji wewe poyoyo,sema Gati alizobinafsishiwa DP World ziko 3 Sasa ukisema zote unakuwa hazikutoshi.
 
Acha kunukuu taarifa za wahuni wenzako wa Chadema.Yaani Mayanja Masele ndio source Yako? Harafu jf Huwa wanapiga ban kuweka taarifa za account binafsi kama main source Sasa inakuaje wewe wamekuachia unapotosha?
Bahati nzuri huwezi na hauna mamlaka ya kuniagiza chochote.

Prove kama una akili kwa kuweka taarifa sahihi acha kupindisha mada kwa kutengeneza mashambulizi kwa mtoa hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…