Matako makubwa!miili mikubwa sana(mawowo)
Kufanya nini?Vp kuhusu masista NAO wavue?
WanagongwaUjinga tu watu wameendekeza tamaa ya ngono sana,we zunguka kwenye vijiwe vyao 90% ya story ni ngono tu
Na wale wanaochemelea Makalio?Ila yote ya yote wanawake wanaovaa kama waislam wanavyovaa wanavutia sana , binafsi naona wanawake wa kiislam uvaaji wao ni mzuri sana na huwa nawaona kama wasafi mno na wenye mvuto wa kipekee na wa kiheshima mno.
Hao siwajui na si wafuatilii na kwenye cycle yangu siwezi kutana nao na sitaki kuwajua , ninao wajua mimi ni ndio hao nimewataja.Na wale wanaochemelea Makalio?
Kuhusu kuvutiwa/kutamani hili ndilo ninalosema kwenye uzi. Suala la uvaaji wa heshima inategemea/ni legacy zaidi ya mazingira ya utamaduni wa dini/imani ulioyokuzwa.Ila yote ya yote wanawake wanaovaa kama waislam , wanavyovaa wanavutia sana , binafsi naona wanawake wa kiislam uvaaji wao ni mzuri sana na huwa nawaona kama wasafi mno na wenye mvuto wa kipekee na wa kiheshima mno.
Unaweza kuvutiwa na usiwe na tamaa, mimi navutiwa na jinsi wanavyopendeza kwenye mavazi ya stara,binafsi wanawake wakiislamu wanavaa vizuri sana .Kuhusu kuvutiwa/kutamani hili ndilo ninalosema kwenye uzi. Suala la uvaaji wa heshima inategemea/ni legacy zaidi ya mazingira ya utamaduni wa dini/imani ulioyokuzwa.
Mimi nawaona huku nilipo kavaa safi kapendeza akipita mbele kageuza mgongo juu kajifunika baibui ila kuanzia kwenye kiuno kushuka chini hapo kunakua na muonekano tofautuHao siwajui na si wafuatilii na kwenye cycle yangu siwezi kutana nao na sitaki kuwajua , ninao wajua mimi ni ndio hao nimewataja.
Sasa huo uvaazi si maamuzi ya mtu binafsi kufanya hivyo? Mbona wapo wengi wanaovaa vizuri bila kuwa kama unavyodai wewe?Mimi nawaona huku nilipo kavaa safi kapendeza akipita mbele kageuza mgongo juu kajifunika baibui ila kuanzia kwenye kiuno kushuka chini hapo kunakua na muonekano tofautu
USAFI ni sehemu ya Ibada kwa Mwanamke wa Kiislam, na Uislam unakamilika na usafi kwa kila area ya maishaIla yote ya yote wanawake wanaovaa kama waislam , wanavyovaa wanavutia sana , binafsi naona wanawake wa kiislam uvaaji wao ni mzuri sana na huwa nawaona kama wasafi mno na wenye mvuto wa kipekee na wa kiheshima mno.
Kwa hilo siwapingi , kukuta mdada wa kirangi anasugua ndala 24hrs ni kawaida , vipi kuhusu usafi wa mazingira yanayowazunguka ?USAFI ni sehemu ya Ibada kwa Mwanamke wa Kiislam, na Uislam unakamilika na usafi kwa kila area ya maisha
Uislam ni Usafi nimesema katika maeneo yote ya maisha, including sorroundings, ila tu wengi wanajali usafi wa mwili zaidi na kidogo ndani ya nyumba za kulala..ila usafi unapaswa kufanyika koteKwa hilo siwapingi , kukuta mdada wa kirangi anasugua ndala 24hrs ni kawaida , vipi kuhusu usafi wa mazingira yanayowazunguka ?