Kuna Matumizi Mabaya sana ya Fedha za Walipa Kodi nchini Tanzania

Una hoja nzuri sema machawa waliopo hapa watakupinga kwa maslahi yao kwa ufupi sana watanzania tulio wengi bado hatujitambui hko mikoani ndo kabisa hasa mkoa wa dodoma
 
Unaandika ujinga tu, hizo hela wanazotapanya CCM ni kodi zetu. Hoja hapa ni kuwa bajeti inayotengwa kwa ajili ya matumizi ya anasa yz serikali ya CCM ni kubwa mno kulinganisha na bajeti ya huduma na maendeleo ya jamii.
Nenda mahakamani unajifanya unajua kumbe waoga tu ukiambiwa utoke maandamano unatia mashuka mavi!
 
Kuna nchi rais anawapa wachezaji nyumba na magari sembuse magoli mbona ni kidogo sana pili CCM ina majihela na miradi mbali mbali....lissu anasema tuandamane kuitoa ccm je upo tayari!
WEwe upoo,haupo?
 
Wamarekani wanamsema Rais wao Donald Trump kuwa ni Dictator na Tyrrant

Na kwa Ujinga wao, bado wakamchagua. Na kwa ujinga wao wakaachia fedha zao walizokatwa kodi zikatapanywa duniani kote kama peremende.

Waingereza nao wanasema mfalme Charles sio mfalme wao. Ujinga wao umewafanya watawaliwe tuu na familia hiyo hiyo aka nenda rudi. Ujinga sana ati leo hii ndio wanaamka.
 
😜
 
Ukishindwa kupigana nao jiunge nao.
Vijana mkipata nafasi msiichezee.
CCM wameinajisi nchi, haiwezi kusafishika
 
hao ndio wajinga wenyewe hao. hata majina ya kijinga wanayo mbaya zaidi Vichwa vyao vimetawaliwa na fikra za wazungu unategemea nn hapo?

ss Watanzania tuwasikilize hawa mamluki na vibaraka wa kibeberu? Ili iweje?

Rais wa Marekani Donald Trump amekanyaga Katiba ya huko Marekani na karibia kila Executive order ametoa., huwasikii hawa wakikemea maovu yake, amempa Netanyahu Billioni za madola kuendelea mauaji ya wanawake na watoto anataka kuvunja wizara ya elimu, kawafukuza kazi wote ambao wanakinzana na sera zake. Huwasikii hawa wakikemea?? Jiulize kwanini
 
Hayo yote unayosema hayatafanikiwa maana Katiba ya Marekani imejenga mifumo imara sana.

Tulia uone Trump anavyopigwa speed governor na mifumo.
 
Watu wanakatika uno "kadanse ya mama" miunooo miunoo tu

Ova
 
Hao Walikuwa Wanazurura Na Helicopter Anga La Dodoma, Tu Wakijiona Wapo Mawinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…