Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #61
CCM wameinajisi sana hii nchi.Sio tu kodi za Watanzania hata kodi za Wamarekani tunazitumia vibaya😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM wameinajisi sana hii nchi.Sio tu kodi za Watanzania hata kodi za Wamarekani tunazitumia vibaya😃
Wanamalizia fuko la USAIDMsingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya kufanywa chochote kile. Na fedha hizo wanasiasa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na CCM.
Kusema ukweli TANZANIA sio masikini. Nchi hii ni tajiri sana ila ukweli ni kwamba fedha za walipakodi zimekuwa zikitapanywa na kutumiwa vibaya na Wanasiasa tena hovyo hovyo.
Ujinga wa Watanzania unawafanya pia kushangilia matumizi mabaya ya fedha zao. Na hili ndo linawafanya CCM leo hii kuendelea kung'ang'ania Katiba hii kwa kuwarubuni Watanzania eti Katiba haitawaletea ugali mezani.
Tanzania ndo nchi pekee ambayo Rais anajiamulia tu kununua magoli ya Timu (Club za michezo) bila fedha hizo kuidhinishwa kwenye bajeti yeyote ile alafu watu hawaulizi wala kuhoji chochote kile.
Tanzania ndo nchi ambayo Rais anaweza toa mamilioni ya fedha kununua gari la Askofu au kuchangia ujenzi wa kanisa au msikiti alafu mitanzania ikashangilia au kukaa kimya wakati walipaswa kumuhoji Rais anatumia fedha hizo kutoka kwenye fungu gani lililoidhinishwa kupitia bajeti ipi ya Serikali?
Hawajui kuwa Rais sio mmiliki wa fedha za wananchi. Fedha za wananchi zinapaswa kutumiwa kwa utaratibu ulioidhinishwa na Bunge tu kupitia bajeti iliyopitishwa Bungeni.
Ni ujinga tu wa Watanzania ila kiukweli fedha hizi ndo fedha zinazopaswa kwenda kununulia madawa ya hospitali, kulipa walimu wanaofundisha watoto wetu vizuri ili kuwapa motisha na kurekebisha miundombinu ya barabara ambazo ni mbovu karibia kwenye majiji na vijiji vyote.
Shughuli nyingi za Chama cha Mapinduzi zinazofanyika kwenye Mikoa na Wilaya zinatumia fedha za Serikali kutoka kwenye Ofisi za Halmashauri husika.
Wakurugenzi wa Halmashauri wanatoa mamilioni ya fedha kufadhili shighuli hizo za CCM kwa maelekezo ya Wanasiasa ili kulinda nafasi zao. Fedha hizi zinapaswa kutumiwa kwa shughuli za maendeleo ya wananch kama kuwanunulia madawa hospitali, kuwatengenezea barabara nzuri za lami na zege kwenye mitaa na vijiji vyao na kuwawekea miundombinu mizuri ya maji mpaka majumbani mwao.
Mfano mwingine tumeona jana kwenye sherehe ya miaka 48 ya chama cha Mapinduzi. Idara ya Itifaki ndiyo iliyokuwepo kwenye maadhimisho yale. Kwa maana nyingine fedha za kugharamia maazimisho yale zimetoka Serikalini tena kodi za wananchi.
Kutokana na ujinga wa Watanzania kamwe huwezi kukuta wakiuliza shughuli hizo za CCM zinaghalamiwa kwa fedha zipi zilizotoka wapi ila kila siku wanaona hawana huduma nzuri na kupata mahitaji mazuri ambayo ni haki zao za msingi.
Ila Watanzania hao wakiona Trump kasitisha misaada na ndugu zao wanakosa dawa za ukimwi na kuanza kufubaa huku wengine waliojiriwa kwenye mashirika ya marekani wakikaa nyumbani kwa kukosa kazi bado hawapati akili ya kuanza kudai KATIBA MPYA ili kuwabana vizuri hawa CCM wasitumie fedha zao vibaya na kuwafanya waishi maisha ya kubahatisha.
Hitimisho.
Kama kuna kitu Watanzania wote wanapaswa kukipambanania kwa nguvu zote na namna zote ni KATIBA MPYA.
Lord Denning
Dubai
Ha ha ha. Ngangali hii. Kubwa zima unakimbilia ad hominem. Una iyo akili timamu kweli ww. Ulete ww stori za vijiweni unisingizie mm. Tafuta mtyu ingine umu gaslight.Uzi umekuzidi sana uwezo bwana mdogo. Hizo stori za vijiweni kaendelee kuwadanganya wajinga wenzako hapo Lumumba.
Na kufanikisha hayo kwa makusudi kabisa wanaaiasa wameamua kutengeneza taifa la wajinga.Msingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya kufanywa chochote kile. Na fedha hizo wanasiasa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na CCM.
Kusema ukweli TANZANIA sio masikini. Nchi hii ni tajiri sana ila ukweli ni kwamba fedha za walipakodi zimekuwa zikitapanywa na kutumiwa vibaya na Wanasiasa tena hovyo hovyo.
Ujinga wa Watanzania unawafanya pia kushangilia matumizi mabaya ya fedha zao. Na hili ndo linawafanya CCM leo hii kuendelea kung'ang'ania Katiba hii kwa kuwarubuni Watanzania eti Katiba haitawaletea ugali mezani.
Tanzania ndo nchi pekee ambayo Rais anajiamulia tu kununua magoli ya Timu (Club za michezo) bila fedha hizo kuidhinishwa kwenye bajeti yeyote ile alafu watu hawaulizi wala kuhoji chochote kile.
Tanzania ndo nchi ambayo Rais anaweza toa mamilioni ya fedha kununua gari la Askofu au kuchangia ujenzi wa kanisa au msikiti alafu mitanzania ikashangilia au kukaa kimya wakati walipaswa kumuhoji Rais anatumia fedha hizo kutoka kwenye fungu gani lililoidhinishwa kupitia bajeti ipi ya Serikali?
Hawajui kuwa Rais sio mmiliki wa fedha za wananchi. Fedha za wananchi zinapaswa kutumiwa kwa utaratibu ulioidhinishwa na Bunge tu kupitia bajeti iliyopitishwa Bungeni.
Ni ujinga tu wa Watanzania ila kiukweli fedha hizi ndo fedha zinazopaswa kwenda kununulia madawa ya hospitali, kulipa walimu wanaofundisha watoto wetu vizuri ili kuwapa motisha na kurekebisha miundombinu ya barabara ambazo ni mbovu karibia kwenye majiji na vijiji vyote.
Shughuli nyingi za Chama cha Mapinduzi zinazofanyika kwenye Mikoa na Wilaya zinatumia fedha za Serikali kutoka kwenye Ofisi za Halmashauri husika.
Wakurugenzi wa Halmashauri wanatoa mamilioni ya fedha kufadhili shighuli hizo za CCM kwa maelekezo ya Wanasiasa ili kulinda nafasi zao. Fedha hizi zinapaswa kutumiwa kwa shughuli za maendeleo ya wananch kama kuwanunulia madawa hospitali, kuwatengenezea barabara nzuri za lami na zege kwenye mitaa na vijiji vyao na kuwawekea miundombinu mizuri ya maji mpaka majumbani mwao.
Mfano mwingine tumeona jana kwenye sherehe ya miaka 48 ya chama cha Mapinduzi. Idara ya Itifaki ndiyo iliyokuwepo kwenye maadhimisho yale. Kwa maana nyingine fedha za kugharamia maazimisho yale zimetoka Serikalini tena kodi za wananchi.
Kutokana na ujinga wa Watanzania kamwe huwezi kukuta wakiuliza shughuli hizo za CCM zinaghalamiwa kwa fedha zipi zilizotoka wapi ila kila siku wanaona hawana huduma nzuri na kupata mahitaji mazuri ambayo ni haki zao za msingi.
Ila Watanzania hao wakiona Trump kasitisha misaada na ndugu zao wanakosa dawa za ukimwi na kuanza kufubaa huku wengine waliojiriwa kwenye mashirika ya marekani wakikaa nyumbani kwa kukosa kazi bado hawapati akili ya kuanza kudai KATIBA MPYA ili kuwabana vizuri hawa CCM wasitumie fedha zao vibaya na kuwafanya waishi maisha ya kubahatisha.
Hitimisho.
Kama kuna kitu Watanzania wote wanapaswa kukipambanania kwa nguvu zote na namna zote ni KATIBA MPYA.
Lord Denning
Dubai
Hayuna jeshi jwtz halina tofauti na la kongoSaivi JWTZ limekuwa Jeshi la Wapiga Picha na kupenda sifa.
Shughuli ya Congo tu inawashinda kazi kujipendekeza wa Wanasiasa ili wapate vyeo.
Hii nchi tumeshakwama
Na wakata maunoNa kufanikisha hayo kwa makusudi kabisa wanaaiasa wameamua kutengeneza taifa la wajinga.
Well articulated!Msingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya kufanywa chochote kile. Na fedha hizo wanasiasa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na CCM.
Kusema ukweli TANZANIA sio masikini. Nchi hii ni tajiri sana ila ukweli ni kwamba fedha za walipakodi zimekuwa zikitapanywa na kutumiwa vibaya na Wanasiasa tena hovyo hovyo.
Ujinga wa Watanzania unawafanya pia kushangilia matumizi mabaya ya fedha zao. Na hili ndo linawafanya CCM leo hii kuendelea kung'ang'ania Katiba hii kwa kuwarubuni Watanzania eti Katiba haitawaletea ugali mezani.
Tanzania ndo nchi pekee ambayo Rais anajiamulia tu kununua magoli ya Timu (Club za michezo) bila fedha hizo kuidhinishwa kwenye bajeti yeyote ile alafu watu hawaulizi wala kuhoji chochote kile.
Tanzania ndo nchi ambayo Rais anaweza toa mamilioni ya fedha kununua gari la Askofu au kuchangia ujenzi wa kanisa au msikiti alafu mitanzania ikashangilia au kukaa kimya wakati walipaswa kumuhoji Rais anatumia fedha hizo kutoka kwenye fungu gani lililoidhinishwa kupitia bajeti ipi ya Serikali?
Hawajui kuwa Rais sio mmiliki wa fedha za wananchi. Fedha za wananchi zinapaswa kutumiwa kwa utaratibu ulioidhinishwa na Bunge tu kupitia bajeti iliyopitishwa Bungeni.
Ni ujinga tu wa Watanzania ila kiukweli fedha hizi ndo fedha zinazopaswa kwenda kununulia madawa ya hospitali, kulipa walimu wanaofundisha watoto wetu vizuri ili kuwapa motisha na kurekebisha miundombinu ya barabara ambazo ni mbovu karibia kwenye majiji na vijiji vyote.
Shughuli nyingi za Chama cha Mapinduzi zinazofanyika kwenye Mikoa na Wilaya zinatumia fedha za Serikali kutoka kwenye Ofisi za Halmashauri husika.
Wakurugenzi wa Halmashauri wanatoa mamilioni ya fedha kufadhili shighuli hizo za CCM kwa maelekezo ya Wanasiasa ili kulinda nafasi zao. Fedha hizi zinapaswa kutumiwa kwa shughuli za maendeleo ya wananch kama kuwanunulia madawa hospitali, kuwatengenezea barabara nzuri za lami na zege kwenye mitaa na vijiji vyao na kuwawekea miundombinu mizuri ya maji mpaka majumbani mwao.
Mfano mwingine tumeona jana kwenye sherehe ya miaka 48 ya chama cha Mapinduzi. Idara ya Itifaki ndiyo iliyokuwepo kwenye maadhimisho yale. Kwa maana nyingine fedha za kugharamia maazimisho yale zimetoka Serikalini tena kodi za wananchi.
Kutokana na ujinga wa Watanzania kamwe huwezi kukuta wakiuliza shughuli hizo za CCM zinaghalamiwa kwa fedha zipi zilizotoka wapi ila kila siku wanaona hawana huduma nzuri na kupata mahitaji mazuri ambayo ni haki zao za msingi.
Ila Watanzania hao wakiona Trump kasitisha misaada na ndugu zao wanakosa dawa za ukimwi na kuanza kufubaa huku wengine waliojiriwa kwenye mashirika ya marekani wakikaa nyumbani kwa kukosa kazi bado hawapati akili ya kuanza kudai KATIBA MPYA ili kuwabana vizuri hawa CCM wasitumie fedha zao vibaya na kuwafanya waishi maisha ya kubahatisha.
Hitimisho.
Kama kuna kitu Watanzania wote wanapaswa kukipambanania kwa nguvu zote na namna zote ni KATIBA MPYA.
Lord Denning
Dubai
Ndio maana CCM inapora uchaguzi maana wakiwa na wabunge wengi maana yake ruzuku nyingi. Lakini hizo ruzuku na mapato mengine yanaishia kwa watu wachache. Hata viongozi wa CCM ngazi za chini ni choka mbaya pia hawana chochote. Wanasubiri kipindi cha uchaguzi ili wapate neema. Ukweli ni kuwa Katiba mpya inatakiwa!Upumbavu ni kulia lia tu bila action lakini hii ya watu kutumia mapato yao ya chama mpumbavu unabaki kuwa mleta uzi!
Miradi haiingizi pesa kwenye chama ndiyo sababu pesa za serikali inatumika kukarabati viwanja na kulipa mishahara ya wafanyakazi wa CCM!Kuna nchi rais anawapa wachezaji nyumba na magari sembuse magoli mbona ni kidogo sana pili CCM ina majihela na miradi mbali mbali....lissu anasema tuandamane kuitoa ccm je upo tayari!
Weka ushahidi!Miradi haiingizi pesa kwenye chama ndiyo sababu pesa za serikali inatumika kukarabati viwanja na kulipa mishahara ya wafanyakazi wa CCM!
Katiba mpya inapatikana kwa maandamano je upo tayari!Ndio maana CCM inapora uchaguzi maana wakiwa na wabunge wengi maana yake ruzuku nyingi. Lakini hizo ruzuku na mapato mengine yanaishia kwa watu wachache. Hata viongozi wa CCM ngazi za chini ni choka mbaya pia hawana chochote. Wanasubiri kipindi cha uchaguzi ili wapate neema. Ukweli ni kuwa Katiba mpya inatakiwa!
Jambo la muhimu ni mabadiliko ccm must outMsingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya kufanywa chochote kile. Na fedha hizo wanasiasa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na CCM.
Kusema ukweli TANZANIA sio masikini. Nchi hii ni tajiri sana ila ukweli ni kwamba fedha za walipakodi zimekuwa zikitapanywa na kutumiwa vibaya na Wanasiasa tena hovyo hovyo.
Ujinga wa Watanzania unawafanya pia kushangilia matumizi mabaya ya fedha zao. Na hili ndo linawafanya CCM leo hii kuendelea kung'ang'ania Katiba hii kwa kuwarubuni Watanzania eti Katiba haitawaletea ugali mezani.
Tanzania ndo nchi pekee ambayo Rais anajiamulia tu kununua magoli ya Timu (Club za michezo) bila fedha hizo kuidhinishwa kwenye bajeti yeyote ile alafu watu hawaulizi wala kuhoji chochote kile.
Tanzania ndo nchi ambayo Rais anaweza toa mamilioni ya fedha kununua gari la Askofu au kuchangia ujenzi wa kanisa au msikiti alafu mitanzania ikashangilia au kukaa kimya wakati walipaswa kumuhoji Rais anatumia fedha hizo kutoka kwenye fungu gani lililoidhinishwa kupitia bajeti ipi ya Serikali?
Hawajui kuwa Rais sio mmiliki wa fedha za wananchi. Fedha za wananchi zinapaswa kutumiwa kwa utaratibu ulioidhinishwa na Bunge tu kupitia bajeti iliyopitishwa Bungeni.
Ni ujinga tu wa Watanzania ila kiukweli fedha hizi ndo fedha zinazopaswa kwenda kununulia madawa ya hospitali, kulipa walimu wanaofundisha watoto wetu vizuri ili kuwapa motisha na kurekebisha miundombinu ya barabara ambazo ni mbovu karibia kwenye majiji na vijiji vyote.
Shughuli nyingi za Chama cha Mapinduzi zinazofanyika kwenye Mikoa na Wilaya zinatumia fedha za Serikali kutoka kwenye Ofisi za Halmashauri husika.
Wakurugenzi wa Halmashauri wanatoa mamilioni ya fedha kufadhili shighuli hizo za CCM kwa maelekezo ya Wanasiasa ili kulinda nafasi zao. Fedha hizi zinapaswa kutumiwa kwa shughuli za maendeleo ya wananch kama kuwanunulia madawa hospitali, kuwatengenezea barabara nzuri za lami na zege kwenye mitaa na vijiji vyao na kuwawekea miundombinu mizuri ya maji mpaka majumbani mwao.
Mfano mwingine tumeona jana kwenye sherehe ya miaka 48 ya chama cha Mapinduzi. Idara ya Itifaki ndiyo iliyokuwepo kwenye maadhimisho yale. Kwa maana nyingine fedha za kugharamia maazimisho yale zimetoka Serikalini tena kodi za wananchi.
Kutokana na ujinga wa Watanzania kamwe huwezi kukuta wakiuliza shughuli hizo za CCM zinaghalamiwa kwa fedha zipi zilizotoka wapi ila kila siku wanaona hawana huduma nzuri na kupata mahitaji mazuri ambayo ni haki zao za msingi.
Ila Watanzania hao wakiona Trump kasitisha misaada na ndugu zao wanakosa dawa za ukimwi na kuanza kufubaa huku wengine waliojiriwa kwenye mashirika ya marekani wakikaa nyumbani kwa kukosa kazi bado hawapati akili ya kuanza kudai KATIBA MPYA ili kuwabana vizuri hawa CCM wasitumie fedha zao vibaya na kuwafanya waishi maisha ya kubahatisha.
Hitimisho.
Kama kuna kitu Watanzania wote wanapaswa kukipambanania kwa nguvu zote na namna zote ni KATIBA MPYA.
Lord Denning
Dubai
Msingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya kufanywa chochote kile. Na fedha hizo wanasiasa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na CCM.
Kusema ukweli TANZANIA sio masikini. Nchi hii ni tajiri sana ila ukweli ni kwamba fedha za walipakodi zimekuwa zikitapanywa na kutumiwa vibaya na Wanasiasa tena hovyo hovyo.
Ujinga wa Watanzania unawafanya pia kushangilia matumizi mabaya ya fedha zao. Na hili ndo linawafanya CCM leo hii kuendelea kung'ang'ania Katiba hii kwa kuwarubuni Watanzania eti Katiba haitawaletea ugali mezani.
Tanzania ndo nchi pekee ambayo Rais anajiamulia tu kununua magoli ya Timu (Club za michezo) bila fedha hizo kuidhinishwa kwenye bajeti yeyote ile alafu watu hawaulizi wala kuhoji chochote kile.
Tanzania ndo nchi ambayo Rais anaweza toa mamilioni ya fedha kununua gari la Askofu au kuchangia ujenzi wa kanisa au msikiti alafu mitanzania ikashangilia au kukaa kimya wakati walipaswa kumuhoji Rais anatumia fedha hizo kutoka kwenye fungu gani lililoidhinishwa kupitia bajeti ipi ya Serikali?
Hawajui kuwa Rais sio mmiliki wa fedha za wananchi. Fedha za wananchi zinapaswa kutumiwa kwa utaratibu ulioidhinishwa na Bunge tu kupitia bajeti iliyopitishwa Bungeni.
Ni ujinga tu wa Watanzania ila kiukweli fedha hizi ndo fedha zinazopaswa kwenda kununulia madawa ya hospitali, kulipa walimu wanaofundisha watoto wetu vizuri ili kuwapa motisha na kurekebisha miundombinu ya barabara ambazo ni mbovu karibia kwenye majiji na vijiji vyote.
Shughuli nyingi za Chama cha Mapinduzi zinazofanyika kwenye Mikoa na Wilaya zinatumia fedha za Serikali kutoka kwenye Ofisi za Halmashauri husika.
Wakurugenzi wa Halmashauri wanatoa mamilioni ya fedha kufadhili shighuli hizo za CCM kwa maelekezo ya Wanasiasa ili kulinda nafasi zao. Fedha hizi zinapaswa kutumiwa kwa shughuli za maendeleo ya wananch kama kuwanunulia madawa hospitali, kuwatengenezea barabara nzuri za lami na zege kwenye mitaa na vijiji vyao na kuwawekea miundombinu mizuri ya maji mpaka majumbani mwao.
Mfano mwingine tumeona jana kwenye sherehe ya miaka 48 ya chama cha Mapinduzi. Idara ya Itifaki ndiyo iliyokuwepo kwenye maadhimisho yale. Kwa maana nyingine fedha za kugharamia maazimisho yale zimetoka Serikalini tena kodi za wananchi.
Kutokana na ujinga wa Watanzania kamwe huwezi kukuta wakiuliza shughuli hizo za CCM zinaghalamiwa kwa fedha zipi zilizotoka wapi ila kila siku wanaona hawana huduma nzuri na kupata mahitaji mazuri ambayo ni haki zao za msingi.
Ila Watanzania hao wakiona Trump kasitisha misaada na ndugu zao wanakosa dawa za ukimwi na kuanza kufubaa huku wengine waliojiriwa kwenye mashirika ya marekani wakikaa nyumbani kwa kukosa kazi bado hawapati akili ya kuanza kudai KATIBA MPYA ili kuwabana vizuri hawa CCM wasitumie fedha zao vibaya na kuwafanya waishi maisha ya kubahatisha.
Hitimisho.
Kama kuna kitu Watanzania wote wanapaswa kukipambanania kwa nguvu zote na namna zote ni KATIBA MPYA.
Lord Denning
Dubai
Usishangae ndo mana watu wanaua hadi ndugu zao na kuhonga ili wawe Marais au MawaziriKuwa kiongozi kwenye taifa kama Tanzania ni raha sana unajiamulia tu ufanye nn
Ushahidi ni pale Magufuli alipoenda ofisi ya CCM jioni baada ya watumishi wa chama kukas zaidi ya miezi sita bila mishahara, akawaahidi kuwa kesho watalipwa mishahara akienda ofisini kwake na wakalipwa. Mwaka juzi waxiri wa fedha alisema wamechukua pesa za serikali kukarabati viwanja vya mpira, ndiyo unaons vyote viliwekwa taa na nyasi bandia.Weka ushahidi!
Hapana,,nch za kiarabu ziko tofauti kama Misri,,morroco etcUkiondoa south africa nchi zote za africa zinafanana!
Kabisa mkuu, cheo ni kitamu sana Kwa nchi kama tzUsishangae ndo mana watu wanaua hadi ndugu zao na kuhonga ili wawe Marais au Mawaziri
Na ww hiyo asubuhi wakati unawaangalia vijana wakifungiwa muziki na kukata viuno ww huwa huna shughuli zingine za kufanya bana?Mapema asubuhi vijana wanafungiwa mziki wanajazana
Wanakatika mauno 😄
Hivi kama mtu una shuguli yako utaacha na kwenda kuwashangaa wasanii wakikatika uno???
Au ndiyo ukosefu wa ajira
Ova