Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
Mifumo hiyo hiyo anayolalamikia Donald Trump kuwa imeoza?Hayo yote unayosema hayatafanikiwa maana Katiba ya Marekani imejenga mifumo imara sana.
Tulia uone Trump anavyopigwa speed governor na mifumo.
Sio Wizara, sio mahakama, sio walimu, amegusa karibia kila nyanja, halafu nyie mnakoromea kuna mifumo mizuri? Mifumo gani hiyo?
Trump amechaguliwa kwasababu za Katiba kufigiswa, kwasababu Uchumi ni mbovu usiotoa haki kwa wote, Kwasababu za ushoga, kwasababu za rushwa, lakini hayo hamyasemi kqamba huko wanakotufundisha haya napo kumeoza
Nani wa kumpiga speed governor, Wajinga waliomchagua?
mnafanya huku shamba la bibi na shamba la utafiti.