Nje kidogo ya mada.
Jana nimemuona Maulid Kitenge anatembea pale Jamhuri stadium like that yeye ni biscuit atameguka. Visigino kavibinua . Na anaongea Kwa swaga flani hivi. Ni kama vile jamaa alihisi watu wengi wanamfaham yaani superstar. Duh kumbe nilimuona Mimi tu na nilipowauliza wenzangu wakashangaa ndo nani mtu huyu