Wewe umetaka kuonesha chuki yako kwa mashoga tu tangu mwanzo. Ndiyo maana ukaweka hiyo video.Ni kweli, hakukuwa na ulazima wa kuweka hiyo video. Naweza kuifuta ila mada ikabaki inaongelea kitu kilekile
Tumehoji kwanini kaileta kutokana na maelezo yake kwamba haifai kuwepo kwenye mitandao ya kijamii, haina maadili na bla bla kibao.Jamaa kajaribu kuweka maada na kielelezo lakini jambo la ajabu eti blah blah blah,oh kwanini umeleta uku,
Unaingilia maisha ya watu blah blah,ili ni jukwaa huru mtu anaweza kupost chochote ilimradi havunji sheria za JF, amejaribu kuweka video ili watu waelewe zaidi nini ana maanisha lakini wajuaji wameshuka chini ya uzi wake na kuweka nuksi.
Itoshe kusema kuishi nje ya nchi ukaona jinsi wanavyo ishi,usijaribu
Mkuu hoja yako inaonekana rahisi sana lakini kiuhalisia inaacha pengo kubwa.Kwanini ufatilie vitu usivyovipenda? Mbona kwenye hii mitandao kuna vitu ambavyo waweza kuchagua kuvifatilia na usivovipenda unaweza kudhani havipo?
Chagua kile unachoona kinafaa, maana kuna vingine ambavyo hujui kama vipo na nivyakuogofya.
Wewe ndiye huna hoja umeanzisha uzi mzima kuitaka serikali kuzuia maudhui social media wakati huna hata standard ya nini cha kuzuia na nini cha kuachiwa, uko dangerously vague.Wewe huna hoja, kwanza ulikuwa unaongelea mada ambayo haipo kabisa. Sasahivi unataka kujificha kwenye comments za wenzako. Hebu kwenda 🚮🚮
Pia hata huko nchi za nje huwa wanapinga maudhui hayo kuwafikia watotoJamaa kajaribu kuweka maada na kielelezo lakini jambo la ajabu eti blah blah blah,oh kwanini umeleta uku,
Unaingilia maisha ya watu blah blah,ili ni jukwaa huru mtu anaweza kupost chochote ilimradi havunji sheria za JF, amejaribu kuweka video ili watu waelewe zaidi nini ana maanisha lakini wajuaji wameshuka chini ya uzi wake na kuweka nuksi.
Itoshe kusema kuishi nje ya nchi ukaona jinsi wanavyo ishi,usijaribu kufanya ni jambo la kawaida ata uku kwetu
Hivi hawa watoto mnaowazungumzia hapa kwamba wanaweza kuona hayo mambo ni watoto wa umri gani?Mkuu hoja yako inaonekana rahisi sana lakini kiuhalisia inaacha pengo kubwa.
Suala hapa sio tu “kufuatilia au kutofuatilia content”, bali ni nani ana-access hiyo content.
Wewe kama mtu mzima unaweza kuchagua unachoangalia, lakini mtoto hana uwezo huo huo wa kufanya filtering sahihi. Algorithm za social media hazichagui umri kwa usahihi, content inaweza kumfikia mtoto bila yeye kuitafuta.
Kwa hiyo kusema “usiifuatilie” ni rahisi kwa mtu mzima, lakini kwa watoto sio realistic.
Ndiyo maana hata duniani kote kuna concept ya age restriction—sio kwa sababu watu wanataka kuingilia uhuru wa wengine, bali kulinda makundi ambayo hayajakomaa kifikra.
Pia hoja ya kuchagua unachopenda inaishia kwa individual responsibility, lakini hapa tunazungumzia public platforms ambazo zinatumika na kila mtu, wakiwemo watoto.
Kwa kifupi:
Sio kila kitu kinaweza kuachwa kwenye “ignore usichopenda”, kuna vitu vinahitaji mipaka (boundaries), hasa vinapohusisha maudhui ya watu wazima yanayoweza kuwafikia watoto.
Hapa hoja si censorship ya kila kitu, bali ni responsibility ya kuhakikisha content inawafikia watu sahihi kulingana na umri wao.
Ngoja tuliweke sawa hili.Tumehoji kwanini kaileta kutokana na maelezo yake kwamba haifai kuwepo kwenye mitandao ya kijamii, haina maadili na bla bla kibao.
Kwa kuileta hapa hana tofauti na walioipost huko maana kama kweli ina maudhui ya kingono kama alovyosema why ailete huku? Kuna watoto wetu humu unadhani wakiona itakuaje?
Anyway hao watoto wanaangalia wapi hayo maudhui? i mean wanamiliki simu?Hii ni video yenye homosexual content, so ni sexual content and any sexual content is 18+.
Dunia nzima inajua hilo suala
Maandishi bila video mtu mzima yoyote angeelewa.Ngoja tuliweke sawa hili.
Kwahiyo mkuu jamaa alitakiwa afanyaje ili kufikisha duku duku lake humu jukwaani.
Mkuu huyu mbona anaonekana kabisa kuwa ni tayari ni ameshakuwa Kisu cha Mkunjo?Siingilii personal life na najua watu walioleft group wakiishi maisha yao hawani affect
Lakini moja ya vitu vya hovyo ambavyo hawa watu wanafanya ni kuandaa content ambazo ni very sexualized, au mwanaume unakuta anajilegeza mno
Sasa sikuhizi hadi watoto wadogo wana access na social media wakiona watu wanafanya hivi watoto wanaweza kuona ni kawaida.
Mbona Bongo kwenye mziki tunafanya vizuri sana kuzuia wasanii wasifike mbali, tunaona ukivuka mipaka tu BASATA wanakula sahani moja na wewe, kwa nini wasianze kuweka sheria kwa content creators pia?
Kuna content nyingine zinatia kinyaa, watu wanavuka mipaka
View attachment 3561899
Sikuhivi all ages zina access na social media. So anyone below 18 yrs hapaswi kuona baadhi ya contentHivi hawa watoto mnaowazungumzia hapa kwamba wanaweza kuona hayo mambo ni watoto wa umri gani?
Homosexual content ni nini? Unapimaje hii ni homosexual content?Hii ni video yenye homosexual content, so ni sexual content and any sexual content is 18+.
Dunia nzima inajua hilo suala
Naonaga hiyo mijadala ata Tajiri Elon namuonaga sana kwenye tweets zake yupo against sana na huu upuuzi.Pia hata huko nchi za nje huwa wanapinga maudhui hayo kuwafikia watoto
Hawa wanaotetea wana mambo yao binafsi tu ila wanajua sio sahihi
View attachment 3561969
Yeah, simu, iPads nkAnyway hao watoto wanaangalia wapi hayo maudhui? i mean wanamiliki simu?
Damn you went hard.Mkuu,
Achana na ujinga wa kutaka ku police maisha ya watu.
Unaweza kuvaa kiatu ukatembea dunia nzima mguu wako usiguse ardhi.
Au unaweza kutaka kutandika zulia dunia nzima mguu wako usiguse ardhi.
Acha kujaribu kutandika zulia dunia nzima.
Acha kujaribu kuweka morality yako ndiyo iwe morality ya dunia.
Hao unaowasema wanaume wanajifanya wanawake na wao wana haki zao za kufanya hivyo kama wewe ulivyo na haki zako za kuishi unavyotaka.
Wana human rights, wana sexual orientation rights, wana minority rights.
Kwa nini wanakushughulisha hivyo?
Kwani wamekulazimisha uwaangalie?
Huwezi kuwa unfollow ukagoma kuangalia vitu usivyotaka?
Unajua hapa sasa hivi umempa promo sana huyo jamaa kutakuwa na mamia kama si maelfu ya watu watampa views kwa sababu umeweka video yake hapa?
Wewe mwenyewe mbona umepost hapa JF video ambayo unasema haifai kwa watoto?Sikuhivi all ages zina access na social media. So anyone below 18 yrs hapaswi kuona baadhi ya content
Kama ni sawa kupost hayo maudhui basi at least yasiwe yanapostiwa carelessly, at least yawe restricted to certain accounts, labda za age 18 na kuendelea
Mzazi kumpa simu mtoto under 15 ni kosa la mzazi mwenyewe. Kama wewe umeshimdwa kumlinda usitegemee dunia ikakusaidia kumlinda.Sikuhivi all ages zina access na social media. So anyone below 18 yrs hapaswi kuona baadhi ya content
Kama ni sawa kupost hayo maudhui basi at least yasiwe yanapostiwa carelessly, at least yawe restricted to certain accounts, labda za age 18 na kuendelea
Kwahiyo maandishi umeelewa lakini video hujailewa.Maandishi bila video mtu mzima yoyote angeelewa.