Kuna Maudhui Mengine kwenye Social Media yanapaswa kuzuiwa Tanzania

Mzazi kumpa simu mtoto under 15 ni kosa la mzazi mwenyewe. Kama wewe umeshimdwa kumlinda usitegemee dunia ikakusaidia kumlinda.
Sio kweli, dunia hadi leo inaendelea kulinda watoto, ndio maana hata hizo social media, serikali za huko mambele zinajaribu kila kukicha kutengeneza mazingira magumu kwa baadhi ya content kuwafikia watoto
 
Wewe umetaka kuonesha chuki yako kwa mashoga tu tangu mwanzo. Ndiyo maana ukaweka hiyo video.

Na hiyo video haina explicit content kihivyo, na hata kama hutaki kwa wanao kuna njia za kuwakataza wao wasiangalie, wanaotaka waangakie, wengine wakacheka kwa kuona huu ujinga wa kawaida wa mitandaoni tu. Hususan kwa sababu hujatupa hata standard ya what is explicit and what is allowed.

Kwa hiyo kama hizi ndizo aina za video zinazokutatiza inaonekana wewe una obsession na censorship tu.
Mkuu naona unachanganya mambo mawili tofauti kabisa na hapo ndipo hoja yako inapoteza mwelekeo.

Mjadala ulioanzishwa hapa haukuwa kuhusu kupinga au kuunga mkono ushoga, bali ulikuwa kuhusu maudhui ya watu wazima (adult content) kuweza kufikiwa na watoto kirahisi kwenye mitandao.

Mleta mada alishasema wazi hana shida na watu wazima kuchagua wanachotaka kufanya au kuangalia. Hoja yake iko kwenye mipaka ya nani anapaswa kuona nini, hasa linapokuja suala la watoto.

Sasa kugeuza mjadala na kuanza kum-label kama anapinga kundi fulani ni kupotosha hoja ya msingi (diversion). Hii haijibu hoja iliyopo, bali inaibadilisha.

Tujaribu kubaki kwenye hoja:
Je, ni sawa kwa maudhui ya watu wazima kufikika kwa urahisi kwa watoto kwenye social media?

Hilo ndilo swali la msingi. Masuala ya nani anaishi vipi maisha yake binafsi ni mjadala mwingine kabisa.

Kama tunataka mjadala uwe na maana, tujadili hoja iliyopo badala ya kumuwekea mtu maneno ambayo hajayasema.
 
Damn you went hard.
Huyo mtu yeye mwenyewe anaeneza video anayosema ni sexual na haifai kwa watoto.

Anaitoa huko TikTok anaileta hapa JF ionwe na watu zaidi, potentially watoto wengi zaidi waione.

Hapo hapo anasema anataka kuwakinga watoto wasione video hizi zenye sexual content.

Yeye haoni contradiction kati ya maneno yake na matendo yake.

Haoni kuwa na yeye anaeneza video yenye sexual content.

Mpaka hapo utaona tu huyu akili yake fupi.
 
Watoto wananunuliwa simu na wazazi
Just go straight to the point, kwani unataka kusema nini
kumbe shida wanayo wazazi

anyway point ni kuwa zuia na kemea watoto kupewa simu na siyo upambane kuzuia maudhui mitandaoni. kuna terms and conditions za mitandao husika na hawajavunja hizo conditions.

cha mwisho japo siyo kwa umuhimu, anzisha social media yako mkuu ambayo utazuia hayo Maudhui. kila la kheri
 
Sio kweli, dunia hadi leo inaendelea kulinda watoto, ndio maana hata hizo social media, serikali za huko mambele zinajaribu kila kukicha kutengeneza mazingira magumu kwa baadhi ya content kuwafikia watoto
Kuna content za watoto na za watu wazima. Pia kuna jinsi ya kufanya kwenye kifaa husika ili kuzuia content za watu wazima zisionekane. Ndo hivyo ambavyo dunia ina protect watoto.
Kwahiyo unapompa mtoto wako simu, laptop ama kifaa chochote chenye aaccess ya internet hakikisha umechukua hizo tahadhari.
Hata websites za porn zipo wazi tu, ukikuta mwanao anaangalia utailaumu dunia?
 
Mkuu naona unachanganya mambo mawili tofauti kabisa na hapo ndipo hoja yako inapoteza mwelekeo.

Mjadala ulioanzishwa hapa haukuwa kuhusu kupinga au kuunga mkono ushoga, bali ulikuwa kuhusu maudhui ya watu wazima (adult content) kuweza kufikiwa na watoto kirahisi kwenye mitandao.

Mleta mada alishasema wazi hana shida na watu wazima kuchagua wanachotaka kufanya au kuangalia. Hoja yake iko kwenye mipaka ya nani anapaswa kuona nini, hasa linapokuja suala la watoto.

Sasa kugeuza mjadala na kuanza kum-label kama anapinga kundi fulani ni kupotosha hoja ya msingi (diversion). Hii haijibu hoja iliyopo, bali inaibadilisha.

Tujaribu kubaki kwenye hoja:
Je, ni sawa kwa maudhui ya watu wazima kufikika kwa urahisi kwa watoto kwenye social media?

Hilo ndilo swali la msingi. Masuala ya nani anaishi vipi maisha yake binafsi ni mjadala mwingine kabisa.

Kama tunataka mjadala uwe na maana, tujadili hoja iliyopo badala ya kumuwekea mtu maneno ambayo hajayasema.
Post ya kwanza kabisa imeshambulia mashoga. Mtoa mada ni homophobic mpaka mimi kanishambulia kwa homophobic slur kaniita msenge. Fuatilia mada usidandie treni kwa mbele.

Na hoja ya adult content nimeuliza adult content ni ipi na isiyo adult ni ipi, watu tofauti wanaweza kuona kitu kilekile, wengine wakasema hii ni adult content, wengine wakasema si adult content, sasa tunatumia standard gani? Mpaka sasa sijajibiwa.

Mtoa mada anataka serikali ifanye censorship bila kuweka hata standard nini kifanyiwe censorship, kwa serikali hii ambayo kikawaida tu inafanya censorship sana kisiasa. Huoni hatari hapo?

Zaidi, mtoa mada hajitambui. Hajui anataka nini.

Anasema anapinga watoto kuona adult content, na wakati huo huo yeye anasambaza hiyo anayoiita adult content ionwe na watu zaidi, potentially watoto zaidi.
 
Kwahiyo maandishi umeelewa lakini video hujailewa.

Kwani alichokiandika kimeenda tofauti na video aliyopost???

Au mkuu amekumalizia bando lako ndio maana hujapenda
Sijaona tatizo lolote mimi kuangalia hiyo video. Bali nimeshangaa yeye kuendelea kusambaza video ambayo amesema in sexual.content.
 
Huyo mtu yeye mwenyewe anaeneza video anayosema ni sexual na haifai kwa watoto.

Anaitoa huko TikTok anaileta hapa JF ionwe na watu zaidi, potentially watoto wengi zaidi waione.

Hapo hapo anasema anataka kuwakinga watoto wasione video hizi zenye sexual content.

Yeye haoni contradiction kati ya maneno yake na matendo yake.

Haoni kuwa na yeye anaeneza video yenye sexual content.

Mpaka hapo utaona tu huyu akili yake fupi.
Jamii Forums ngumu sana kukuta watoto wadogo
Hii sio platform ambayo watoto wengi wanaitumia na unaweza kujua hilo kwa kuangalia mijadala na comments zinazojadiliwa humu
Watoto this generation wapo based in platforms kama Tiktok, instagram, Netflix, nk
Acha kuwa dramatic we mzee
 
Hili jibu la kijinga sana kwa sababu huna data, huna metrics, huna chochote umejibu kijingajinga tu.

Watu wanaingia hapa, wanajisahau, wanawaachia watoto simu wacheze games.

Watoto wenyewe wengine wana simu, JF haina age verification.

Wewe huna njia ya kujua nani anaingia JF na ana umri gani.

Umejibu ujinga mtupu.

Na hapo ndipo unajionesha kuwa wewe nia yako ni kuwabagaza mashoga, huna nia ya kuwalinda watoto.

Ungekuea na nia ya kuwalinda watoto na unaamini kweli hiyo video ni sexual content, usingeiweka hapa. Na hata kama ungeiweka kwa kughafilika tu, ungeiondoa.
 
Hivi hawa watoto mnaowazungumzia hapa kwamba wanaweza kuona hayo mambo ni watoto wa umri gani?
Swali zuri, lakini halibadili hoja ya msingi.

Tunaposema watoto, kisheria na kijamii tunamaanisha watu walio chini ya miaka 18. Hawa bado wako kwenye hatua ya ukuaji wa kiakili na kimaamuzi, ndiyo maana hata sheria nyingi duniani zinawawekea mipaka kwenye maudhui ya watu wazima.

Hoja hapa sio tu umri wao halisi, bali ni uwezo wao wa kuchuja na kuelewa wanachokutana nacho kwenye mitandao.

Mtoto wa miaka 13, 15 au hata 17 anaweza kuwa na simu na access ya internet, lakini hiyo haimaanishi ana utayari wa kisaikolojia wa kushughulikia maudhui ya watu wazima.

Na ndio maana mjadala hauko kwenye “ni watoto wa umri gani”, bali uko kwenye ukweli kwamba:
maudhui ya watu wazima yanawafikia watu ambao hawajakomaa vya kutosha kuya-handle.

Hapo ndipo hoja ya kuweka mipaka inapotokea.
 
Hili jibu la kijinga sana kwa sababu huna data, huna metrics, huna chochote umejibu kijingajinga tu.

Watu wanaingia hapa, wanajisahau, wanawaachia watoto simu wacheze games.

Watoto wenyewe wana simu, JF haina age verification.

Wewe huna njia ya kujua nani anaingia JF na ana umri gani.

Umejibu ujinga mtupu.
Wewe ndio unaandika ujinga tangu mwanzo wa mada hadi sasahivi. Kwanza huna hata uwezo wa kustick kwenye hoja
Sawa nimeipost, so what? Nimepost kama evidence ya ninachoongea na sijapost original video, nimepost video ambayo hata yenyewe kupitia body language inaonesha kupinga kuliko ku support. Nimeweka na maelezo kwenye mada ambayo maelezo yanaonesha kabisa yanapinga nini so sio sawa na kushare carelessly for everyone to see as if it's a normal thing
Umeishiwa hoja baada ya kushindwa kuniingiza kwenye mada yako uliyokuwa unaforce niijadili. Bure kabisa 🚮
 
Wewe ndio unaandika ujinga tangu mwanzo wa mada hadi sasahivi. Kwanza huna hata uwezo wa kustick kwenye hoja
Sawa nimeipost, so what? Nimepost kama evidence ya ninachoongea na sijapost original video, nimepost video ambayo hata yenyewe kupitia body language inaonesha kupinga kuliko ku support. Nimeweka na maelezo kwenye mada so sio sawa na kushare carelessly for everyone to see as if it's a normal thing
Kwa hiyo umeishiwa hoja baada ya kushindwa kuniingiza kwenye mada yako uliyokuwa unaforce niikadili. Bure kabisa 🚮
Wewe mwenyewe unasambaza unachokiita sexual content, kwenye mtandao ambao hauna age verification, halafu unasema unataka kuwalinda watoto wasione sexual content?

Unajua unataka nini wewe?

Ni kweli unataka kuwalinda watoto wewe au unataka kuwabagaza mashoga tu?
 
🤦🤦 Out of topic as usual, sihamishii mjadala huko. Tafuta kilaza mwenzako ukajadiliane nae
 
Post ya kwanza kabisa imeshambulia mashoga. Mtoa mada ni homophobic mpaka mimi kanishambulia kwa homophobic slur kaniita msenge. Fuatilia mada usidandie treni kwa mbele.

Na hoja ya adult content nimeuliza adult content ni ipi na isiyo adult ni ipi, watu tofauti wanaweza kuona kitu kilekile, wengine wakasema hii ni adult content, wengine wakasema si adult content, sasa tunatumia standard gani? Mpaka sasa sijajibiwa.

Mtoa mada anataka serikali ifanye censorship bila kuweka hata standard nini kifanyiwe censorship, kwa serikali hii ambayo kikawaida tu inafanya censorship sana kisiasa. Huoni hatari hapo?

Zaidi, mtoa mada hajitambui. Hajui anataka nini.

Anasema anapinga watoto kuona adult content, na wakati huo huo yeye anasambaza hiyo anayoiita adult content ionwe na watu zaidi, potentially watoto zaidi.
Mkuu umeleta mambo mengi kwa pamoja, lakini mengi yako yanaondoka kwenye hoja ya msingi.

Kwanza, kama kuna mtu ametumia lugha ya kuudhi au slur, hilo ni suala tofauti na linaweza kushughulikiwa kivyake. Lakini hilo halibadilishi hoja iliyopo hapa kuhusu maudhui ya watu wazima kufikika kwa watoto.

Pili, umeuliza “adult content ni ipi?” — hili si jambo jipya wala lisiloeleweka. Ndiyo maana kuna mifumo ya age rating duniani (kama 18+, R-rated n.k.) ambayo inaainisha maudhui yenye mambo kama ngono ya wazi, uchi, au ukatili uliopitiliza. Hatuanzi upya kufafanua kitu ambacho tayari kina standard zake kimataifa.

Tatu, hoja ya censorship imechukuliwa nje ya muktadha. Hakuna aliyesema kila kitu kifungiwe bila utaratibu. Kinachozungumziwa hapa ni kuweka mipaka ya nani anaweza kuona nini — hasa kulinda watoto. Hata kwenye platforms zenyewe kuna age restrictions; hilo si jambo jipya wala la kipekee.

Mwisho, kusema mtoa mada “anasambaza adult content” ni hitimisho lisilo na msingi bila ushahidi wa moja kwa moja. Kujadili uwepo wa maudhui fulani si sawa na kuyasambaza.

Tujaribu kurudi kwenye hoja:
Je, ni sawa au si sawa kwa maudhui ya watu wazima kufikika kwa urahisi kwa watoto?

Hapo ndipo mjadala ulipoanzia.
 
Siingilii personal life na najua watu walioleft group wakiishi maisha yao hawani affect
Lakini moja ya vitu vya hovyo ambavyo hawa watu wanafanya ni kuandaa content ambazo ni very sexualized, au mwanaume unakuta anajilegeza mno

Sasa sikuhizi hadi watoto wadogo wana access na social media wakiona watu wanafanya hivi watoto wanaweza kuona ni kawaida.

Mbona Bongo kwenye mziki tunafanya vizuri sana kuzuia wasanii wasifike mbali, tunaona ukivuka mipaka tu BASATA wanakula sahani moja na wewe, kwa nini wasianze kuweka sheria kwa content creators pia?
Kuna content nyingine zinatia kinyaa, watu wanavuka mipaka
View attachment 3561899
.. 'Bongo kwenye muziki tunafanya vizuri'... Tungo za matusi za akina Diamond na Harmonize na wengineo kwako huko ni kufanya vizuri?

Hiyo clip uliyotuwekea hapo wadhani huyo kijana ni rijali?

Clip za machoko mbona zinajulikana?
 
🤦🤦 Out of topic as usual, sihamishii mjadala huko. Tafuta kilaza mwenzako ukajadiliane nae
Out of topic kivipi?

Ama wewe ni

1. Mjinga sana. Huelewi contradiction ya wewe ku post unachokiita sexual content hapa JF kwenye mtandao ambao hauna age verification, mpaka watoto waone, huku ukijifanya unasimamia kuwalinda watoto dhidi ya kuona sexual content

Au wewe ni.

2. Muongo sana. Husimamii kuwalinda watoto dhidi ya kuona sexual content, unasema tu hilo lakini kiukweli wewe nia yako ni kuwabagaza mashoga.

Wewe ni mjinga sana ama muongo sana?
 
Mkuu umeleta mambo mengi kwa pamoja, lakini mengi yako yanaondoka kwenye hoja ya msingi.

Kwanza, kama kuna mtu ametumia lugha ya kuudhi au slur, hilo ni suala tofauti na linaweza kushughulikiwa kivyake. Lakini hilo halibadilishi hoja iliyopo hapa kuhusu maudhui ya watu wazima kufikika kwa watoto.

Pili, umeuliza “adult content ni ipi?” — hili si jambo jipya wala lisiloeleweka. Ndiyo maana kuna mifumo ya age rating duniani (kama 18+, R-rated n.k.) ambayo inaainisha maudhui yenye mambo kama ngono ya wazi, uchi, au ukatili uliopitiliza. Hatuanzi upya kufafanua kitu ambacho tayari kina standard zake kimataifa.

Tatu, hoja ya censorship imechukuliwa nje ya muktadha. Hakuna aliyesema kila kitu kifungiwe bila utaratibu. Kinachozungumziwa hapa ni kuweka mipaka ya nani anaweza kuona nini — hasa kulinda watoto. Hata kwenye platforms zenyewe kuna age restrictions; hilo si jambo jipya wala la kipekee.

Mwisho, kusema mtoa mada “anasambaza adult content” ni hitimisho lisilo na msingi bila ushahidi wa moja kwa moja. Kujadili uwepo wa maudhui fulani si sawa na kuyasambaza.

Tujaribu kurudi kwenye hoja:
Je, ni sawa au si sawa kwa maudhui ya watu wazima kufikika kwa urahisi kwa watoto?

Hapo ndipo mjadala ulipoanzia.
Una kitu mkuu 🙏
 
Back
Top Bottom