Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

Mnakata watumishi mishahara yao bila ridhaa huu ni zaidi ya ujambazi.
 
Lakini walishahaidiwa, walishaambiwa wanaotaka kufanya sherehe za kujipongeza kwa kuteuliwa, wajiandae kufanya siku watakapotumbuliwa.
 
Yani Zitto na Kafulila wakiongea tu nchi inayumba.
 
Siyo mbaya akiwa anabadili kikosi mara kwa mara, Maana tunachoitaji ni waadilifu na si kama wakina naniliuuuuu......!
 
 
Waziri wa seraikali za mitaa P. Makonda, Waziri wa mambo ya ndani, (mkuu wa mkoa Arusha), Waziri wa wanawake Mrs. J. P. Magu ups asifanye kama kagame na mseveni marafiki zake wakamfundisha mchezo mzuri. Mrs. Mkapa, waziri wa nyumba, maendeleo ya makazi na ubinafsishaji wa majumba ya kikoloni. kigermani na kiigereza mansions.
 
Napendekeza Wizara ya Mambo ya Ndani na Utalii awaweke watu wenye military experience
 
Nahisi Kama mwezi wa kwanza yupo
Kuna ule msemo unaosema "USIEMPENDA KAJA"

Usishangae kupewa wizara nyingine tena itakayo mfanya awe anaonekana sana kwenye media!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…