Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

Mawaziri ukawa nini? Wapo walioimba wana imani na MTU fulani na ndani ya chama wapo kibao.
 
Hivi tunategemea nin kama watu wanafungiwa ndani hawawezi kutoka nje kujifunza nin kinaendelea dunian
Walikuwa wanaenda lunch tu na kuuza sura na kusimamia biashara zao lkn sio kwenda kujifunza. Dunia imekuwa kijiji kama vipi wa google tu na kuangalia CNN
 
makamba jr yupo kimya sana.uwaziri naona sio dili tena kwenye awamu hii
 
Unachezea safari za nje kuzuiliwa? Deal utapiga vipi ?
 
Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa

1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa

2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.

Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.

My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.

Stay tuned
Mtu wa kutumbua ni Mtukufu mwenyewe...yan ye ndo jipu lililowiva kushinda yote!
 
Jaffo anapaswa kuwa waziri kamili,, huyu jamaa kwa kweli ni naibu waziri mchapa kazi sana na anaendana na kasi ya Rais wetu
 
Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa

1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa

2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.

Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.

My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.

Stay tuned
Naona atapangua akipanga kwa sababu walio chaguliwa almost vichwa ngumu, hivi mtu kama nape alie zoeya kuongea sana atafanya nini? Rais amekosa mawaziri na washauri ndio maana serikali inashindwa kufikia malengo.

Pia rais kuwaacha upinzani kuwa sehemu ya serikali kwa kukosoa kila hatua zinazo kosea ni donda kubwa, kupuuza makubaliano ya kimataifa kama kulinda haki za binadamu na uhuru wa kuongea, ni moja ya kuharibikiwa kwa serikali, tumeanza kukosa fedha za MCC na sasa mengine yanakuja.

Tunamshauri rais Magufuli akubali mabadiliko, akubali democracy, ili taifa lisonge mbele.
 
Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa

1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa

2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.

Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.

My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.

Stay tuned
Mkuu umesahau tetesi nyingine kuwa Katibu Mkuu wa chama kimoja kikubwa cha upinzani ataondolewa kwa kile kinachodaiwa 'Hana uwezo wa kuendana na siasa za sasa za nchi na za kimataifa'!

Stay tuned!
 
Kama wameshindikana huko,chukua hata mawaziri vivuli wa ukawa watakufaa sana
 
Najua moja tu; hakuna aliyegombea uwaziri, hiyo ni zawadi atoayo rais. Na zawadi huwa ya furaha unapoipewa, lakini mwenye uwezo aweza pia mpatia mtu mwingine. Shida iko wapi hapo?? Si bado anarudi kwenye ubunge wake?? Hata kama ni wa kuteuliwa, hawezi kuwa waziri bila kuwa mbunge hivyo ataendelea na kula ubunge wake.
 
Back
Top Bottom