Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The best time ni asbh kisha fanya vikazi vya hapa na pale ili dawa i respond mapema,ingawa itakuendesha kwa masaa not less of 8hrs!!!Muda sahihi wa kuitumia hiyo 'Habbat Mulk' ni muda gani, asubuhi? au hata usiku baada ya kula?
-Kaveli-
The best time ni asbh kisha fanya vikazi vya hapa na pale ili dawa i respond mapema,ingawa itakuendesha kwa masaa not less of 8hrs!!!
nilimeza usiku nimeharisha tu kidogo asubuhi kama mara tatu hivi.
ila wanashauri umeze asubuhi kabla ya chochote .kesho nitameza tena nilinunua za buku zipo kama 20
Salaam wana JF
Kwa wale wasafiri wa kanda ya ziwa hasa kutokana Mwanza kwenda mikoa mingine mtakua mashahidi kwa hili
Kuna watu wanapanda kwenye basi kuanzia pale Shinyanga na kushukia Tinde au Nzega,watu hawa wamekua wakiuza Dawa mbalimbali za asili(Tiba mbadala)
Sasa Jana wakati nasafiri aliingia jamaa mmoja Ustadhi kwenye basi letu na kuanza kutangaza kuhusu Dawa anazouza
Kuna moja ilinivutia,ni mbegu flani kwa jina nimesahau,muuzaji akadai mbegu hiyi unaitafuna na kushushia na maji baada ya muda utaanza kuhisi hali tofauti mdomoni na tumboni kutaanza kuunguruma hapo sasa utaenda chooni kuharisha na utashuhudia uchafu mwingi ukitoka
Akaenda mbali zaidi na kusema ili uamini jitahidi uharishie kwenye beseni uone mavitu yatakayotoka tumboni
Abiria wengi walinunua nami nikashawishika kuinunua hiyo mbegu
Sasa bado sijaitumia naomba kama kuna ambaye aliwahi kutumia hii mbegu atiririke hapa uzoefu alioupata baada ya kuitumia.
Ni hayo tu wakuu
Ulichemka sanaa [emoji38]Sitasahau siku nimepita jion ubungo nikakuta watu wanauza hizo dawa za kusafisha tumbo nikanunua then asubuhi nikamix yote kwenye soup nikagonga. Nikaingia kwenye bus tayari kwa safari ya kuelekea Iringa Laahaula kufika maili moja blow down valves zikaanza kutuma signal na konda ananiambia hasimami... Sitasahau ile siku kwakweli.
aisee hatari sana hiyo kitu *****, first time nlikula tumbo likaanza kuunguruma sauti za ajabu like kuna mdudu tumboni, si nkatest kujamba kumbe maronyoso ndo yalikuwa njiani aisee ushuz ulinuka sana hapo hapo nkawah toi kutest kujamba tena koki ikafunguka yalitoka kwa spidi ya tsunami!