Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache masihara,ubunge ni ajira na unapoamua ati wabunge wasihudhurie vikao hii si sahihi.Chadema naona Bado hawasomi mambo ya nyakati.walisusia uchaguzi wa madiwani wakati Kuna maeneo tayari walikuwa wanashinda na Sasa wanakuja na agenda ya kutohudhuria vikao vya bunge hii siyo sawa.wabunge ni wawakilishi want wananchi na si chama.Chama ni daraja tu la kuvukia mto.Halafu wabunge wakihama vyama mnasema wananunuliwa si kweli.Chama kinauliwa na Mwenyekiti wao.Waacheni wabunge wakawawakilishe wananchi ikizingatiwa kikao hiki ni muhimu sana kwa mustakabali wa wananchi.Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Wewe si ulishasema chama kimeshajifia muda mrefu?Sasa hapa unasema tena Mbowe awe makini kwani chama kitasambaratika!Sasa mbona hueleweki?Chama kilichokufa kinawezaje kusambaratika?😀😀😀😀!Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Wabunge wa ccm wanasema pale bungeni kuna corona na wao wenyewe wanahofia afya zao ila tatizo Kuna shinikizo la mwenyekiti wachape kazi, wanasema wanafanya kazi katika mazingira magumu huku wamejaa hofuhofu.Wamelazimishwa kufanya maamuzi ambayo hawajashirikishwa
Tusubiri bomu la linaenda kulipuka
Ni kweli maana kama ni kweli mbona jana walikuwa wanasema wahofia nani atakufa leo.
Ubunge si Ajira!!Tuache masihara,ubunge ni ajira na unapoamua ati wabunge wasihudhurie vikao hii si sahihi.
Mna jitekenya na kucheka wenyewe mazuzuKisambaratike mara ngapi. Baada ya uchaguzi chadema inazikwa.
Tokea uje na wiki ya kilele cha Corona,umeonekana mpiga domo tu!Mkuu mda ni mwalimu mzuri, kuna fukuto kubwa
Wabunge wengi wa Chadema wanaweza kuitisha Press muda wowote
Wewe si ulishasema chama kimeshajifia muda mrefu?Sasa hapa unasema tena Mbowe awe makini kwani chama kitasambaratika!Sasa mbona hueleweki?Chama kilichokufa kinawezaje kusambaratika?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!
Ila unajitahidi sana kupambana,hivi mnalipwa sawa na wenzako au?
Amekuepusha wewe,jamii ya CCM wanalia,wananchi wa kawaida wanalia ndugu zao kufukiwa kama mbuzi halafu bado unaleta porojo!Bado unaamini Tz waliokufa kwa Corona ni 16 na wenye maambukizi ni 480 tu?Utakuwa mwendawazimu kuamini hivyo!Mkuu km umefuatilia taarfa za shirika la afya duniani walitutabiria majanga lkn Mungu ametuepusha
sio rahisi kuacha posho, makamanda waziache kweli??
Tuache masihara,ubunge ni ajira na unapoamua ati wabunge wasihudhurie vikao hii si sahihi.Chadema naona Bado hawasomi mambo ya nyakati.walisusia uchaguzi wa madiwani wakati Kuna maeneo tayari walikuwa wanashinda na Sasa wanakuja na agenda ya kutohudhuria vikao vya bunge hii siyo sawa.wabunge ni wawakilishi want wananchi na si chama.Chama ni daraja tu la kuvukia mto.Halafu wabunge wakihama vyama mnasema wananunuliwa si kweli.Chama kinauliwa na Mwenyekiti wao.Waacheni wabunge wakawawakilishe wananchi ikizingatiwa kikao hiki ni muhimu sana kwa mustakabali wa wananchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabunge wa ccm wanasema pale bungeni kuna corona na wao wenyewe wanahofia afya zao ila tatizo Kuna shinikizo la mwenyekiti wachape kazi, wanasema wanafanya kazi katika mazingira magumu huku wamejaa hofuhofu.
Mie nawaona ni mandezi sana, yaani wanahatarisha maisha yao kwa kumuogopa mwenyekiti!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachoogopa wew ni nini?Si ndio furaha yako?Hivi viwanda kuzusha uongo haviwasaidii!Kimeshajifia tunaogopa kitasambaratika kabla ya bunge kuisha Mkuu
Ni kweli maana kama ni kweli mbona jana walikuwa wanasema wahofia nani atakufa leo.
Pia hakuna mtu anayependa kufa japo hatujui saa wala dakika pamoja na wao wakiwa Kama wabunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha umbea. Hili ni jukwaa la wenye akili.Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Amekuepusha wewe,jamii ya CCM wanalia,wananchi wa kawaida wanalia ndugu zao kufukiwa kama mbuzi halafu bado unaleta porojo!Bado unaamini Tz waliokufa kwa Corona ni 16 na wenye maambukizi ni 480 tu?Utakuwa mwendawazimu kuamini hivyo!
Eti wiki ya kilele,ndio kwanza tunaianza safari halafu mnaleta propaganda mfu!
Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho