Kuna mikutano ya siri kutuondoa watu weusi duniani

Ta

Tatizo sio DNA mwafrika akigundua kitu wala hakiwezi kutiliwa manani kuanzia na serikali zetu. Pia kinachotusumbua Africa ni ugonjwa wa husuda wazungu hawana huu ugonjwa.

Ukigundua kitu kilichokuwepo tena kikiwa na quality ndogo Nani atakizingatia kwèñye ulimwengu huu weñye ushindani Mkubwa
 
Hii thread ni pathetic, muondolewa kwa sababu zipi?
 
Wazungu wanatukingia kifua ??????!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kichekesho πŸ˜…πŸ˜‚
 
Kukiwa na mapigano hapa afrika na wakimbizi wakikimbia ni nani anayewapa asylum? Kuna wakimbizi wanenda Doha, Saudi au Dubai? Si wakimbizi wote wanaenda ulaya
Kwa sababu Uchumi wote wa hii Dunia wanaushikilia wao Wazungu !
World Bank 🏦
IMF 🏦
Dollar πŸ’΅
Korosho inayovunwa Nanjilinji bei inapangwa huko majuu ,
Pamba inalimwa Imalaseko lakini Bei inapangwa huko majuu !
Ndio maana tukiamua kuwa wakimbizi inatubidi tuende kwa matajiri zetu πŸ˜…πŸ’΅πŸ¦ πŸ™πŸ™πŸ‘
 
H

alafu eti anayetukingia kifua ni Mzungu. πŸ˜…
Tena nadhani huyo Mzungu ni Rais Trump πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€
Wazungu siyo wote wanaajenda sawa. Wako wanaotupambania sana tu dhidi ya mipango mibaya. Kumbuka ni wazungu baadhi ambao walipigana vita marekani dhidi ya wazungu wenzao kuhakikisha weusi wanakuwa huru toka utumwani. Hadi leo hii kuna wazungu wengine, wachina, wa Irani, waarabu na wa asia wanawashangaa wazungu ambao walitupambania tuwe huru ukizingatia tuna mijitu mabogas kama wewe ambao tunakaa kwenye bara lenye rasilimali nyingi lakini bado tunaishi kama manyani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…