Kuna mikutano ya siri kutuondoa watu weusi duniani

So ulitaka Wathailand wa uwawe..? na siyo mTz, sasa ndyo nn sindo yaleyale. Wazee Acheni hizi mambo za ubaguzi.
Aisee we Bingwa wa kugeuza hoja ukweli ni kwamba Hamas wamemuua Molel kwa ajili ya Rangi yake.
 
Kwakweli mabogas ni Wengi !
😂😅😀
 
Watachukua muda course na wao wanamakundi
Na kipi hasa cha kuwafanya watu weupe watake kuwaondoa watu wa rangi nyingine. ??!
Hii maneno haingii akilini kabisa !
Hao jamaa naamini sio wajinga kiasi hicho !
Na ieleweke hii Dunia watu wote tunategemeana!
Tajiri atakuwa na shida na masikini amfanyie kazi zake na masikini hali kadhalika atakuwa na shida na tajiri ili apate ajira !
Siku zote tukumbuke uzuri wa Dunia unaletwa na mchanganyiko wa rangi tofauti tofauti 🙏🙏
 
Lifutwe tu, maana kuna wasomi ukiwangalia vitu wanavyofanya unaniuliza hawa Mungu kawajalia elimu tukijua watatusaidia kutuvusha kumbe uwiii! Ukianza na majumbani hawaeleweki ni hovyo kabisa, wamebeba makomwe yao nikama mzigo tu
 
Inasikitisha kwa kweli, teknolojia zinazotumika duniani wanagundua weupe, mpaka kulima kwa mkono weupe wanagundua vipawatila vya kunyanyua kwa mikono. Mwafrika anatumia tu teknolojia walizogundua na kutengeneza weupe
Ilikuwa mbuni wa teknolojia duniani inahitaji kuwekeza kwenye elimu bora. Elimu bora inawezesha tafiti bora kufanyika na hicho ndicho kitu kubwa kwenye kupata teknolojia mpya
 
Wanaraka watu weusi tufwee karibu wote ni kikundi cha watu tu sio wote
 
Tunapiganishwa kama mambuzi huko Kongo, hatujitambui, nakubali bila wazungu wachache wenye moyo safi, races za mtu Mweusi zingeondoshwa mapema sana duniani, infact hata HIV, hili ni jaribio la siri lililofail, although wapo ambao wapo kwenye labs mpaka wakati huu, na Ukraine ndipo kwenye labs kubwa na nzuri sana, hii melanin yetu hii.
 
Hiyo mipango ya siri iko wapi?
 
Hofu tu na mbinu za kujustify ujinga wetu! Hatujachangia lolote kwnye maendeleo ya dunia zaidi ya mbolea nani apoteze resources zake kutumaliza?
 
Achana na ujinga huu.

Wangetaka kuua Waafrika wewe usingekuwapo hapa. Ungeshakufa na surua zamani sana.
Tafita hupingwa kwa tafiti, ujinga ni kusuggest otherwise.

Pia tofautisha kutaka ‘kuua’ na ‘kudhibiti idadi’. Au huna uwezo wa kutofautisha ili kindly usaidiwe?

Lengo ni ‘kudhibiti idadi’ sio ‘kuua’, Get it?
 
Tafita hupingwa kwa tafiti, ujinga ni kusuggest otherwise.

Pia tofautisha kutaka ‘kuua’ na ‘kudhibiti idadi’. Au huna uwezo wa kutofautisha ili kindly usaidiwe?

Lengo ni ‘kudhibiti idadi’ sio ‘kuua’, Get it?
Sasa hapo tafiti iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…