Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Mada izingatiwe tafadhali; hawazungumzii vigezo vya Jiji bali hali ya usafiri na elimu.Inasonga mbele kuelekea wapi ? Hicho ni kijiji kikubwa wala siyo Jiji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada izingatiwe tafadhali; hawazungumzii vigezo vya Jiji bali hali ya usafiri na elimu.Inasonga mbele kuelekea wapi ? Hicho ni kijiji kikubwa wala siyo Jiji
Katikati ya mji (Mwanjelwa,Soweto,Mabatini,Simike,Nzovwe.......)ndiyo zipo nyumba za aina hiyo na zinaharibu muonekano wa mji kwa kweli.Ukiweka uwiano wa majiji hapa Tanzania Mbeya ni jiji la hovyo sana hasa katika mpangilio wa nyumba yaani kila sehemu ni slum tu vinyumba vya matope vimesongamana sana. Kwa upande wa vyakula Mbeya ni Super 100% unaenjoy sana ukiwa Mbeya
mbeya ni chafu sana mzee, wala usiitaje kabisa. naongea kwa ufahamu mzuri kwasababu mbeya ni mojawapo ya makazi yangu, among others.Hakika sijaona mji wenye system nzuri ya daladala kama Mbeya. Stendi kubwa zipo tatu kuna ya mjini ambayo ni stendi kuu ya zamani na ni kubwa kiasi kwajili ya mabasi ya mikoani na daladala, kuna stendi kabwe hii ni kwajili ya daladala na bajaji na pia utaikuta stendi kuu ya nane nane.
Nimejaribi kufananisha na miji mingine bado sijaona, kwa mfano pale Arusha hakuna hata stendi moja inayoeleweka kwajili ya daladala yaani hata stand ya mabasi ya mkoani pale town bado sana.
Elimu -
Shule za msingi - zipo shule tatu za serikali za mtaala wa Kiingereza ada laki 3, ipo Shule ya Azimio, Mkapa na Magufuli. Shule za private nazo zipo kuna Umoja, Riverside, Saint Mary, Uwata, n.k. shule za serikali pia zipo kibao kama utitiri, Sisimba ndio kinara na kongwe
sekondari - zipo za umoja wa wazazi kuanzia Sangu, Meta, Ivumwe, Mbalizi, n.k huku niseme tu ya kwamba ufaulu upo ila na njiti zinatembezwa hasa, ukija shule za serikali nazo zipo Samora, Mbeya day, forest, n.k ukija private nazo zipo st marys, uwata, pandahill, Swilla, n.k. shule za kata ni nyingi sana.
Vyuo - M.U.S.T, Udsm - mchas, Udsm - ucc, Mzumbe, Tia, Open, utumishi, cbe, Saut, Adem, Tumaini, Teku, n.k ukija vyuo vya uuguzi na ufundi napo vimejaa si mchezo kuna Mbalizi, k's, moravian, veta, n.k ni vingi sana.
Kwa hali hii wacha niwape pongezi Mbeya
Tz hatuna miji tuna vijiji vilivyojaa watuInasonga mbele kuelekea wapi ? Hicho ni kijiji kikubwa wala siyo Jiji
yan saa tano na nusu usiku utembee na palivyo na wasela mavi mbeya mkuu ?we jamaa unatisha kabwe to mafiati hapazidi km 2 daladala ya nini
Duu! Kweli mbaya hana sababu yaani mbeya-kyela barabara mbovu?wivu mbaya saaana!Mbeya kuna barabara mbaya sijawahi kuona kwanza ni nyembamba sana jiografia yake ni mbaya sana milima mingi yani kwa wale wenzangu na mie wa Daslam wapenda mbio hiku kudanja ni dakika sifuri ukitoka tu barabarani umeingia kwenye miti au korongo biashara imeisha...mfani barabara ya kutoka mbeya kwenda kyela mbaya sana
Hili ndilo wengi wasilolijua, Mbeya ndiko mmoja wa marais wa makaburu alipata elimu yake, na hapo si pengine ila ni Mbeya European Boarding School, (Mbeya School au Iyunga).Hakika sijaona mji wenye system nzuri ya daladala kama Mbeya. Stendi kubwa zipo tatu kuna ya mjini ambayo ni stendi kuu ya zamani na ni kubwa kiasi kwajili ya mabasi ya mikoani na daladala, kuna stendi kabwe hii ni kwajili ya daladala na bajaji na pia utaikuta stendi kuu ya nane nane.
Nimejaribi kufananisha na miji mingine bado sijaona, kwa mfano pale Arusha hakuna hata stendi moja inayoeleweka kwajili ya daladala yaani hata stand ya mabasi ya mkoani pale town bado sana.
Elimu -
Shule za msingi - zipo shule tatu za serikali za mtaala wa Kiingereza ada laki 3, ipo Shule ya Azimio, Mkapa na Magufuli. Shule za private nazo zipo kuna Umoja, Riverside, Saint Mary, Uwata, n.k. shule za serikali pia zipo kibao kama utitiri, Sisimba ndio kinara na kongwe
sekondari - zipo za umoja wa wazazi kuanzia Sangu, Meta, Ivumwe, Mbalizi, n.k huku niseme tu ya kwamba ufaulu upo ila na njiti zinatembezwa hasa, ukija shule za serikali nazo zipo Samora, Mbeya day, forest, n.k ukija private nazo zipo st marys, uwata, pandahill, Swilla, n.k. shule za kata ni nyingi sana.
Vyuo - M.U.S.T, Udsm - mchas, Udsm - ucc, Mzumbe, Tia, Open, utumishi, cbe, Saut, Adem, Tumaini, Teku, n.k ukija vyuo vya uuguzi na ufundi napo vimejaa si mchezo kuna Mbalizi, k's, moravian, veta, n.k ni vingi sana.
Kwa hali hii wacha niwape pongezi Mbeya
Mwendo wa 1Km ya Dar ni kama utembee kilometre 4 jijini Mbeya😅!!! Usiniulize kwaniniHuko Dar km 1 kuna daladala utakuwa huna nauli
Vi hiace vipo sana hasa mwanjelwa-uyole.mkuu, labda mbeya ya zamani, siku hizi daladala nyingi ni costa kubwa tu
Toa jibu kwa nini? Kwamba km 1 ya Dar ukiipima Mbeya inasoma 4 au mimi ndio sijaelewa? Vipimo no tofauti? 😝😝Mwendo wa 1Km ya Dar ni kama utembee kilometre 4 jijini Mbeya😅!!! Usiniulize kwanini
Waulize wamiliki wa passo majibu wanayo😅Toa jibu kwa nini? Kwamba km 1 ya Dar ukiipima Mbeya inasoma 4 au mimi ndio sijaelewa? Vipimo no tofauti? 😝😝
Mbeya barabara ni nzuri acha ujingaWaulize wamiliki wa passo majibu wanayo😅
Uzuri sijakataa ila hali ya hewa pia!Mbeya barabara ni nzuri acha ujinga
Saa moja na nusu ile jioni kutoka sokomatola kwenda mbalizi utasumbuka sanaUkiwa kabwe saa tano tu usafiri wa kwenda mafiat tu ni wakutafuta kwa tochii mbona hakuna maajabu? Dadala zenyewe vile vi-hiace vidogo vishapitwa na wakati.
Hali ya hewa imefanyaje? Huko kwenu Dar masika shida kiangazi tabu kila sehemu harufu..Uzuri sijakataa ila hali ya hewa pia!
Nikikwambia utembee Ubungo flyover unikute External sahizi unaweza ukaamua ukodishe boda boda njiani😂😂😂!
Dar hapafai kutembea kwa mguu mzee unaeza kufia njiani!