Amka utawehuka chizi weweMtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.
Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Litakuwa Jambo jema SanaMtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.
Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Kahaba lazima aachie Tanganyika la yatamkuta yaliyo wakuta wajomba zake kule ZanzibarMtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.
Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Bado hajamalizana na huyo anamrukia Msigwa.Umeishamalizana na Mr. Tabasamu? Maana naona una mambo mengi sana ya kufanya!
Hakuna amani Acha unafikiMtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.
Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Ufufuo pia ....KATOLIKI HATUTAPIGA KURA OVA
Hio inajulikana kwetu tuliosoma cUbeR.Mwenzetu huyu.
Huyu fala October 2pm ni mwenzetu kama Captain Tesha ila yeye hataki kujidhihirisha waziwazi kama mwenzake. Hizi mada zake zimekuwa nyingi sana humu ila hazitakiwi kusomwa juu juu tu...
Amani unayoizungumzia wewe ni ipi? Angela kiziga unamfahamu? Ufisadi anaoufanya unaufahamu. Umewahi kumsikia Mama kwenye kampeni akiongelea ufisadi? Akiongelea kukomesha hivi vitendo vya kuteka na kuua watu? Au kwako wewe hizo sio issues za msingi?Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.
Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Kwa hiyo wewe upo upande wa watekaji, waf*raji, wauaji, mafisadi??Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani.
Kiukweli I wish Mkapa angekuwepo maana alikuwa na ile sauti ya mamlakaNani atakanya aya kwa sasa Taifa halina God father kama ilivyokuepo Mkapa
Kwani na wewe ni catholicWengine tutapiga