The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Etani na mawakala wake kamwe hawawezi kutamka haki. Haki ipo upande wa Mungu. Dhuluma ndiyo mwongozo wa shetani, na huyondite mleta mada anamtumikia."Amani ni tunda la haki. Haki huzaa amani"
Kuna popote umetamka "haki" kwenye bandiko lako? Kwanini haki mnaiogopa mno hadi kujifanya hamuijui?
Sh
Etani na mawakala wake kamwe hawawezi kutamka haki. Haki ipo upande wa Mungu. Dhuluma ndiyo mwongozo wa shetani, na huyondite mleta mada anamtumikia.
Mleta mada ni mtumishi mwaminifu wa ibilisi. Watu wa Mungu kamwe hawawezi kuvunjwa moyo na mtumishi wa shetani.
Kupinga dhuluma hakuegemei dini. Watu wote wema wenye Roho wa Mungu, siku zote huoshi kwa kuitafuta na kuitumikia haki, bila ya kujali dini zao.
Mleta mada endelea kumtumia shetani wako lakini hutawabadilisha wana wa Mungu waishio kwa kutenda haki.
We kiaz mm nitoe kweny hilo kundi lenu la wapumbavu, haki haija kwa kuomba Mungu bila matendo.
We kiaz mm nitoe kweny hilo kundi lenu la wapumbavu, haki haija kwa kuomba Mungu bila matendo.
Mkianza kugawa AK-47 mniite ntajiunga kweny kupigania uhuru lakn huo upumbavu wenu wa kuandamana fanyen wenyew mara kumi nikatik nmchague mama Samia
Kutekwa na kuuawa kwa watu kama Soka, Sativa, Ally Kibao, Mdude na Polepole ndiyo amani unayoizungumzia?Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.
Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Mkapa ndo alibaki kama God father ndo alimsandia JK kumkata Lossawa Mzee aliombwa aongee kitu Ali ilikua mbaya ukumbi umelipuka Ndo akasema Lowassa anakatwa Membe anakatwa anawapa Magufuli anasema ambae hataki mlango uko wazi atoke njeKiukweli I wish Mkapa angekuwepo maana alikuwa na ile sauti ya mamlaka
Misikiti je ndugu mwandishi ?Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.
Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Sasa si mtulize vinyeo watanzania wa leo sio wa mwaka 1961. Majizi na Mafisadi hamna pakujifichaMtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.
Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Bure ww muimba taarabu unazan CCM ni kama malaya zako wa mtaani unaweza kuwaondoa muda wowote.Huku ndiko kunakoitwa kuwashwa washwa. Kwamba utolewe wapi ulikowekwa huko na nani?
Au kutiki au kutotiki kwako kumbe kumhusishe nani?
Bure kabisa!
Bure ww muimba taarabu unazan CCM ni kama malaya zako wa mtaani unaweza kuwaondoa muda wowote.
Ukombozi unahitaj mikakati sio mihemko na kupost post mitandaon
qumanyokoo zako, amani ya qumqnina zakoMtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.
Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Mnatosha hao wengine. Swali kipi kinakuwasha?Wengine tutapiga
Tatizo hao wasiojukikan wameyakoroga kuteka ma padre na kujeruhi baadhiMtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.
Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
WanaviherehereTatizo hao wasiojukikan wameyakoroga kuteka ma padre na kujeruhi baadhi
Kama hili ni kweli basi ni hatarii...Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini.
Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado.
Kama hili ni kweli basi ni hatarii...
Ila kama ni wishful thinking ..then it'll NEVER happen
"---nia ovu", wamewateka na kuwaua waTanzania wangapi?Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya makanisa kama la Gwajima. Kama sehemu ya agenda ya nia yao ovu.
Wakristo msiwaunge Mkono hao viongozi walioamua kutaka kuiharibu nchi. Msikubali! Lindeni amani. Na bado