zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Acheni fix za kijingaIla kwa ishu ya sumu kuna ukweli, yule mwana sasa siyo mzima kuna humu amevaa kanzu na kilemba, ukiizoom utaona midomo yake imeungua mithili ta mnywaji wa pombe kali na ngozi yake iko pale sana.
Fix za kijinga indeed.Wanakaa kwenye vijiwe vya konyagi na kuzua uzushi wa kila aina.Acheni fix za kijinga
Katiba ipo haipo, CCM inaunganisha nchi kwa misingi ya dini,kabila,ukanda,pande za muungano,hakuna chama chenye uwezo huo nje ya CCMCcm haiweki balance, kuna kitu kinaitwa katiba we will follow hiyo line until uongozi mwingine
Take it or leave it.Acheni fix za kijinga
CCM wapo zaidi ya 12m,siyo 500Angalia hiki kiazi, yani ina maana watu 60m wameshikwa akili hadi mwisho wa dunia na watu 500 na familia zao? Ndio akili yako ilipoishia? Kweli watanzania ni special specie
CCM wapo zaidi ya 12m,siyo 500
Chadomo wapo wangapi na wangapi wanna magari, wangapi kondoo wanaovishwa tshet?ccm ni 500 tu na wana v8 na famila zao acha umbulula wewe, wengine wote kondoro, wanavalishwa tshirt na kuswagwa tu! Hamna chochote wanachopata zaidi ya kusindikiza upepo tu
Fix kabisa siamini chochote anachokiandika amesababisha watu wawe wananiangalia vibaya, kuna mambo yanayoandikwa humu hutakiwi kuyachukua km yalivyo wengi ni wapotoshajiFix za kijinga indeed.Wanakaa kwenye vijiwe vya konyagi na kuzua uzushi wa kila aina.
Kama huyu aliyesema kuna mpasuko.Akimaliza kuota angalie asijekuta amejinyea.
Nashukuru kuwa umelielewa hili la 2015 la mgawanyiko (mpasuko) wa CCM. Kifupi hakuna hata uchaguzi mmoja mkuu toka Nyerere afariki, umepita bila vuguvugu ndani ya CCM muda wa kipindi cha mwaka mmoja na ushehe mpaka uchaguzi. Hata sasa ni hali ya kawaida, wala si kitu cha ajabu. Kumbuka 2020- Magufuli vs kundi Membe.Mpasuko ndani ya CCM usabababishwa na kambi za chaguzi kuu, kwa bahati mbaya 2015 Uchaguzi ule uliiacha CCM ilogawanyika sana na ikashindwa kurejea kuwa moja, na hata kama walirejea ni kwa unafiki wa juu juu tu! Ndo maana hata leo hii haya mnayoyaona anayakoroga Samia ni matokeo ya kambi za ccm
Kuna mtu alidharauliwa kama Mkapa wakati amechaguliwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM. Lakini akajipanga na heshima ikaja baada ya uchaguzi.Alipaswa baada ya kurithi kiti angetaka nguvu asingekimbilia kufanya teuzi muda huo huo, angevunja Baraza la Mawaziri alafu akakaa Kama mwezi bila kufanya teuzi, ili kisaikolojia hawa wabunge wawe attention kuwa na adabu kwa Katiba na President na pia angechukua muda huo kujua nani Anafaa wapi na Nani hafai wapi! Hivo zile dharau walizokuwa wamejenga kwake akili zingewakaa Sawa kwanza hawa wanasiasa kwa kusibiria kwa shahuku Nani anateuliwa Nani hateuliwi
Ingempa heshima sana, na pia angejenga nguvu ya KAULI YA KIMAMLAKA, kwa sasa Rais anategemea na hao watoto pendwa ndo wamwambie sema hiki sema kile
Sikio la kufa halisikii dawa. Nilisoma Uzi huko nyuma uliowashauri CHADEMA, kuachana na kugombea nafasi ya Urais mpaka 2035. Kwa muda huu wajipange na serikali za mitaa na ubunge. Wapo sahihi, kwani CHADEMA haijajipanga. Silaha waliobakia nayo kwa sasa si hoja bali ni maandamano. Any way hata kuku humkamia mwewe.Ninamlaumu Mbowe kwa kutoa tarehe ya mbele sana ya maandamano badala ya maandamano kuanza siku hiyo Hiyo !
Watanzania ni watu wa kuvaa suala likiwa hot sana
Nashukuru kwa kuliona hili. Ukija tena okota maoni mawili, matatu ya wachangiaji.Nitaandika Tena sijapangilia vema Bali ntaeleweka
Mkuu Crimea kwani Mwalimu wake Kikwete hayupo ili amshauri?Huyu bibi kafeli vibaya sana
Chadomo wapo wangapi na wangapi wanna magari, wangapi kondoo wanaovishwa tshet?
Do you wanna tell us that we've turned into a "Ndabaningi" sort of Country? It's terrible!Nchi hii hivi sasa inayumba ; haiwezi kuyumba zaidi ya hapa. Iliyobaki ni nchi kuanguka!
It’s a country without the rule of law where criminals abduct citizens in broad daylight! It is now a failed state.!😭😭
Mkuu ni aibuNakubaliana na wewe
Tulia dada angu wewe huwezi kuelewaAcha dharau Kwa mamlaka ya nchi
Mkuu Crimea kumbuka kaongoza miaka 10 na chawa wake wamsifu hakuna Jasusi East Africa kama yeye, ni kiboko ya Paul Kagame, yuko very smart, pia husemwa sehemu nyingi nyeti ana watu wengi asilimia kubwa, Jewii, polish na Twish kwamba ana watu karibu 90% na sifa lukuki,Kikwete ndio hamna kitu mle
Hamna kitu kama hicho, nchi haiwezi yumba. Tena ndo inaweza kuwa imara zaidiCCM haiwezi kuruhusiwa kupasuka,ikipasuka nchi itayumba