Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Ukifahamu katiba ilivyo juu ya mamlaka ya urais hata siku moja hakuna wa kukuazima kiti hicho. Ukikabidhiwa urais wa JMT Umekabidhiwa. Kumbuka ya Mkapa na Nyerere.Kwani wakati anakabidhiwa kijiti hakuambiwa kuwa mwisho ni 2025, au aliambiwa tatizo amenogewa na Asali?
Watangulizi wa Mkapa na Nyerere hawakufia madarakani.Ukifahamu katiba ilivyo juu ya mamlaka ya urais hata siku moja hakuna wa kukuazima kiti hicho. Ukikabidhiwa urais wa JMT Umekabidhiwa. Kumbuka ya Mkapa na Nyerere.
Mimi hata uandike nini sikuamini tena mkuu sikuamini ulisema DAB kafa kwa kulishwa sumu tunamuona DAB anadunda hizi fix fix nyingi hizi tunapumbazana tu humu mengine soma yaache humu humuNitaandika Tena sijapangilia vema Bali ntaeleweka.
fungua japo kwa code mkuuMimi niliogopa sana Mheshimiwa Rais aliposema AMETUMIWA CLIP YA KATIBU MKUU WA CCM na kaisikiliza...
Unajua Nani alimtumia na kwanini Amtumie??
Uking’amua hili basi
Mimi niliwaza sana kwanini clip ya Km isikilizwe halafu ifanananishwe na Dr silaa na yule kijana wa chalinze...mama shtukàaa. We love you..hatutaki utoke nje ya reli...Kuna watu piga kushoto. Hao wapo karibu yako lkn hawana uzoefu na haya mambo...hawajui sayansi ya siasa. Mom pleasee, I beg you mama. Huyo kijana aliyepanda mazabauni huko kaskaz asirudie tenaa. Anatuharibia mamboMimi niliogopa sana Mheshimiwa Rais aliposema AMETUMIWA CLIP YA KATIBU MKUU WA CCM na kaisikiliza...
Unajua Nani alimtumia na kwanini Amtumie??
Uking’amua hili basi
Umeuelewa vizuri mfumo ulivyo. Nategemea wengi JF wasome hoja hii, ni ya maana sana, si kuisoma tu bali na kuielewa kinaga ubaga.CCM huko ndani wanaogopana na mbaya zaidi ni kutokana na nafasi ya mwenyekiti kuwa na nguvu kubwa sana, kisiasa na kiserikali, kisheria na kitamaduni
Ukweli Rais wetu anapotoshwa ashauriwe awe makini na wanampa habari ya uongo.Mimi niliwaza sana kwanini clip ya Km isikilizwe halafu ifanananishwe na Dr silaa na yule kijana wa chalinze...mama shtukàaa. We love you..hatutaki utoke nje ya reli...Kuna watu piga kushoto. Hao wapo karibu yako lkn hawana uzoefu na haya mambo...hawajui sayansi ya siasa. Mom pleasee, I beg you mama. Huyo kijana aliyepanda mazabauni huko kaskaz asirudie tenaa. Anatuharibia mambo
Too lateKwamfano akavunja Baraza la mawaziri sasa hivi, je, aweza kujenga hiyo nidhamu uchwara?
Hana code yoyote huyo unapigwa fix za kidukurilo tu hapo ukija kushtuka empty endelea na business zakofungua japo kwa code mkuu
Ni fix tupu mmekaa kuamini kila mnachoona kimeandikwa mnapumbazwa wajinga msiojua kituUmeandika ukweli 101%
Toa utabiri Mkuu angalau sisi wanyonge tunaweza Kuwa na matumaini tena ndani ya nchi yetu.Duh...!.
P
Ulitaka mama wa kichinaHana huo uwezo wa kuelewa vitu vikubwa kama hivyo, huyu ni mama wa kiswahili
Mkuu lakini kuna mambo alisema na yakawa unakumbuka swala la mombo na kina nape alifanya time travelling and it was boom. britanicca niwakumzingatia.Hana code yoyote huyo unapigwa fix za kidukurilo tu hapo ukija kushtuka empty endelea na business zako
Usikiamini kila unachoona kimeandikwa wengine ni maagent wametumwa kwa kazi hio tu kuwapumbaza wajinga wajinga msiojua kitu sio kila unachoona kimeandikwa unaamini hususani fake ID sura haipo hayupo verified Jina la utani unapumbazwaMpango wa kumfanya asigombee unaendelea kufanikiwa siku hadi siku!
Balozi za wakubwa zikianza matamko TU ujue mambo tayari!
Ndio maana yule mzee alilopoka "labda mambo yaharibikie sana"!!!
Na ndio maana hata katika mambo serious Huwa anatoa mipasho tu!!!Hana huo uwezo wa kuelewa vitu vikubwa kama hivyo, huyu ni mama wa kiswahili