Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

Mkuu umeandika vyema kabisa ila tatizo ni kwamba kiti kikubwa chura amepwaya sana. Inafika muda unaona kabisa anasikiliza huku na kule bila kuchuja mambo na hili unaliona vizuri kwenye teuzi zake na hotuba zake.

Yaani teuzi za chura ni dhahiri amepwaya anasikiliza tu kila kinachokuja kwa vijana wake bila kuchuja kwa akili yake wala kusoma kwa utulivu profile za viongozi anaowateua na ni wachache sana ila kwasababu anakurupuka anajikuta anadharirika, kwa kuteua na kutengua kila mara just kwasababu walioteuliwa hawana sifa sahihi au ni marehemu.

Pili ni kwenye hotuba zake, mtu anayetumia akili hata wakati unasoma kama jambo halijakaa sawa basi ukishasoma then unajaribu kuelezea kwa namna ya kidiplomasia. Lakini pia hotuba zake zimekuwa za vijembe zaidi kuliko point za msingi.

Mwisho kabisa huyu chura hana sauti ya kimamlaka na wala hawezi kuwa nayo. Ni wanawake wachache sana wanasauti za kimamlaka. Ila pia huwezi kuongea kimamlaka huku unarembua macho sorry kama nitakuwa nimeattach personality.

Na kwa upande wa upinzani kiukweli sasa hivi upinzani wetu wako weak sana hawana ushawishi uliojaa mashiko na kuamsha hisia kwa wananchi ni kama wamezoeleka sana kupiga kelele. Wangefanya kama Marekani ukiona kiongozi anaanza kupwaya kwenye hotuba tafuta mwingine; Biden alianza kuzingua jamaa wakamleta Kamala fasta. Sasa ukiangalia upinzani inahitaji mtu mwenye hekima ambaye anaweza kuzungumza na akatoa sauti za mamlaka na zenye kuamsha hisia kulingana na uelekeo wa nchi.
 
MOja ya source nazoziamini sana jf
 
Ndani ya CCM wengi wanamwona ni mzanzibari na mwanamke, na wanaamini wana akili na wamekitumikia chama kuliko Samia , kuna story moja huko nyuma JPM alikataa kufanya kazi chini ya mwanamke, ndio akili za CCM
 
Sijui ndo Kama drafti ukiwa nje unaona ila ukiwa ndani huoni njia yoyote ya kusukuma kete ila hapana mambo mengine yapo dhahiri shahiri bila hata cheti cha darasa la saba unayang'amua.
 
Wausuke tu naipasuke tu. Kujiona miungu watu ifikie mwisho. Japo siegemei chama chochote ila aman itakuepo ikiwa mambo ya kinyama hatuyasikii na kuyaona.
 
Ccm ingenufaika vipi na hayo maandamano!??
Kauli mbiu ndo inawaangusha hao chadema!!

Maandamano hayatabiriki hata siku Moja!!, Sumu haionjwi?!! Hata kina Nyerere hawakuwahi kuyakubali!!
 
Usikiamini kila unachoona kimeandikwa wengine ni maagent wametumwa kwa kazi hio tu kuwapumbaza wajinga wajinga msiojua kitu sio kila unachoona kimeandikwa unaamini hususani fake ID sura haipo hayupo verified Jina la utani unapumbazwa
Hapana kabla hajaandika nilisha jua hili jambo!!

Mama hatogombea kabisa!wamemchezesha boko sana!
 
Yani leo nataka nipost kwa kizungu zungu tuu haya twende kazi " THIS IS VERY VERY TACTICAL MOVES" nimekumbuka ada yangu sana.
 
Hapa umepuyanga, mwenyewe ndio anajiua niambie wapi alifanya sahihi kabla ya makonda kurudi?

Kipindi anatoa kauli kila mtu apige kwa urefu wake? Makonda alikuwepo? Mama anatakiwa asimame kimamlaka siyo kusilikiza umbea.
 
Mimi niliogopa sana Mheshimiwa Rais aliposema AMETUMIWA CLIP YA KATIBU MKUU WA CCM na kaisikiliza...

Unajua Nani alimtumia na kwanini Amtumie??

Uking’amua hili basi
Mimi pia ilinifikrisha mno kauli hiyo.Kwamba Katibu Mkuu anaweza kwenda kutoa Tamko nzito kama lile halafu Mwenyekiti wake hajui nini kinaenda kusemwa.
 
Kuna kitu kimoja pengine wengi hawakioni, ni kuwa toka Rais Samia amuweke karibu Zero brain Makonda aka Bashite mambo yake ndani ya CCM na serikalini yamekuwa yakienda hovyo mno na wengi wanasema amekuwa mshauri wake mkuu.
Sasa Bashite huyu kweli kuwa mshauri wa #1 hiyo ni hasara kuliko zote.
 
Mkuu unakimbilia wapi?
Hujaeleza kinaga ubaga makundi ndani ya CCM yalivyojipanga dhidi ya mama.
Otherwise its wishful thinking!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…