Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

Naungana nawewe britanicca kwa 100% na kuna sehemu nimeandika haya. Kuna watu wanamtengenezea mchezo. Aonekane ni kiongozi mbaya asiye sikiliza wananchi, hajali. Kishawekewa chuki na uadui na wananchi wengi, na hashtuki. Angeacha maandamano hata hao Chadema wangempenda na kuwa na heshima kubwa juu yake.
 
Mimi niliogopa sana Mheshimiwa Rais aliposema AMETUMIWA CLIP YA KATIBU MKUU WA CCM na kaisikiliza...

Unajua Nani alimtumia na kwanini Amtumie??

Uking’amua hili basi
Yaani mama na Katibu Mkuu hawako chungu kimoja?
Hapa kuna neno!
Na nani kamtumia mama,au kuna "nner CCM" katika utawala wa mama?
All in all, ngumu kumesa!
 
Maadui wa kwanza wa Samia ni wale ambao hawakutaka awe rais muda ule alipofariki Magufuli ikabidi Mabeho aingilie kati na kumwahidi utii wa jeshi siku ile pale Chato wakati wa mazishi ya JPM.

Ni rais mzenji halafu mwanamke, hivyo ni vikwazo viwili anavyokutana navyo muda wote akiwa pale ikulu.

Hata akifanya kitu kikubwa kiasi gani atasubiriwa akosee ili yale mazuri anayofanya yaweze kuwekwa kwenye kundi la mabaya pia!
 
ccm ni 500 tu na wana v8 na familia zao acha umbulula wewe, wengine wote kondoro, wanavalishwa tshirt na kuswagwa tu! Hamna chochote wanachopata zaidi ya kusindikiza upepo tu
Mkuu 500 hao wote sema familia tatu ya akina kinana,makamba na kikwete wengne hao ni kusifu na kuabudu na kuvalishwa kofia na nguo za kijani kama nyoka

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu 500 hao wote sema familia tatu ya akina kinana,makamba na kikwete wengne hao ni kusifu na kuabudu na kuvalishwa kofia na nguo za kijani kama nyoka

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app

Inashangaza hawa vijana bongofleva wanavyojipa umuhimu kwenye miradi ya familia za watu, wakati kazi yao ni kuwaimbia mapambio tu
 
Kwangu Mimi Samia is best president ever...
 
Maandamano hayawezi kuruhusiwa kama siyo ya chama cha kisiasa au taasisi inayojulikana kisheria. Maandamano unayo yataka wewee ni yale ya hoya hoya, ambayo hayaratibiwi na mtu yoyote, hayo nimagumu sana kufanyika humu nchini kwetu.
 
Maandamano ya Chadema yaliandaliwa kwa hisani ya Msoga na Bumbuli...
 
Upangaji wa tarehe iliwapa watawala kupanga walichopanga

Hili wengine tulijua mapema

Wangesitisha halafu wakae kimya then wangeitisha zoezi usiku mmoja kabla ya zoezi kufanyika.

Bado wana muda wa kurekebisha.

Zoezi liendelee
Wasitoe ratiba wala njia kuu

Mwenyekiti awe anapitia humu kupata udaku…

Polisi watarudi kwenye vituo vyao hawataishi kubaki Dar.

Tutafika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…